Rais Magufuli, muapishe upya Waziri wako. Kuna siku mahakama itabatilisha maamuzi yake

Uanasheria koko huu issue sio place of oath mjinga mkubwa Wewe ni muapishaji chadema kina wanasheria wapumbavu ndio.maana walishauri chadema iwafukuze uanachama wabunge kwa eti kosa la kuhudhuria vikao vya bunge wakati ni wajibu wao

Katiba tu iko wazi kuwa raising ataapishwa haisemi ataapishwa wapi chato ,mtaa Wa ufipa au wapi sembuse waziri!!! Chadema MNA akiki ndogo mno ndio maana October lazima muondoke wote hapiti mtu
Mama yako kaacha kazi pale kimboka? Au yupo uwanja wa fisi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Rais aliwahi kuapishwa akiwa angani na ndege wewe unazungumzia waziri kuapishwa ikulu ndogo!

Vijana wa ufipa acheni kunywa mbege asubuhi

CCM msifanye Watz wote ni wajinga.
Hivi nyumbani alikozaliwa Rais inaweza kuwa ni Ikulu ndogo na sehemu mwafaks ya kumwapisha Waziri au Mtumishi yeyote wa umma?
 
Wajinga Wa chadema mkiungana mkono kwenye ujinga Rais akishinda katiba haitaji ataapishwa wapi aweza apishwa hata bar ni uamuzi tu sembuse kiwaziri .kwa hiyo Wewe na mleta Mazda si mnajiona mlivyo wapumbavu halafu nyie ndio think tank ya chadema very sad

Yaani hapo ndipo.bongo za mleta Maada zimechemka kiwango cha juu kabisa kkubwa huo ndio ushauri Wa kumpelekea Raisi!!!! Aisee
Kimaadili imekaaje kiongozi kuapishwa bar ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una hoja ya nguvu sana, lkn sidhani kama place of oath ina matter sana kwenye uhalali wa kiapo. Ngoja niangalie sheria inasemaje kuhusu hilo!
Alitakiwa afanye hiyo homework unayotaka kumsaidia kabla ya kupost hii thread,
Lakini ndo hivo tena ndo wachambuzi wetu tuliobaki nao siku hizi.
 
Kuna Rais aliwahi kuapishwa akiwa angani na ndege wewe unazungumzia waziri kuapishwa ikulu ndogo!

Vijana wa ufipa acheni kunywa mbege asubuhi
Yeye amemtaja waziri Mwigulu Nchemba
Wewe hujamtaja huyo rais alieapishwa kwenye ndege au rais wa manzese
Wewe unajiita bia yetu kati yako na yeye nani ni mlevi?
 
Kuna Rais aliwahi kuapishwa akiwa angani na ndege wewe unazungumzia waziri kuapishwa ikulu ndogo!

Vijana wa ufipa acheni kunywa mbege asubuhi
Aisee imeharibu kabisaaaa... Ikulu ndogo siku hizi ipo pale J's Hotel; Chato??
 
Hii maada sichangii tens nsomba niachie wapumbavu Wa chadema muendelee kujikuna na kujitekeza wenyewe katiba inasema raising na mawaziri wataapishwa haitaji wataapishwa .waweza apishwa popote naishia hapa endeleeni na upumbavu wenu kujadili kijinga bye bye
Mbona kama wewe ndo uko kama hayo maneno uliyotumia kwa wenzako
 
Back
Top Bottom