Rais Magufuli, muapishe upya Waziri wako. Kuna siku mahakama itabatilisha maamuzi yake

Uanasheria koko huu issue sio place of oath mjinga mkubwa Wewe ni muapishaji chadema kina wanasheria wapumbavu ndio.maana walishauri chadema iwafukuze uanachama wabunge kwa eti kosa la kuhudhuria vikao vya bunge wakati ni wajibu wao

Katiba tu iko wazi kuwa raising ataapishwa haisemi ataapishwa wapi chato ,mtaa Wa ufipa au wapi sembuse waziri!!! Chadema MNA akiki ndogo mno ndio maana October lazima muondoke wote hapiti mtu

Mkuu jazba yote hii ya nini?
 
Haya katiba inasema raidi ataapishwa wapi eneo lipi mjinga wewe.Kstibs inasema ataapishwa haitaji eneo na waziri hivyo hivyo

Chadema mumevurugwa kilanachoshika hakishikiki mumechanganyikiwa huku lockdown imebuma,huku kufukuza wabunge kumebuma huku lijuakali kumebuma mukp confused!!! Ukiwa confused no vizuri utulie
Katiba inasema ataapishwa kichochoroni Chato. Haya tumekubali
 
Wajinga Wa chadema mkiungana mkono kwenye ujinga Raising akishinda katiba hsotaji ataapishwa wapi aweza apishwa hata bar no uamuzi tu sembuse kiwaziri .kwa hiyo Wewe na mleta Mazda si mnajiona mlivyo wapumbavu halafu nyie ndio think tank ya chadema very sad

Yaani hapo ndipo.bongo za mleta Maada zimechemka kiwango cha juu kabisa kkubwa huo ndio ushauri Wa kumpelekea Raisi!!!! Aisee

Rais Magufuli ananisikiliza sana mimi. Siyo majivuno ni fact tu nakwambia.

Nimetoa angalizo tu. Apokee, aache hilo liko juu yake.
 
Labda nyakati za vita. Na hapa hatuongelei angani au kwenye handaki, tunaongelea BAR!

Na hizo habari za ‘muzungu’ zinaingiaje?

Mnauchukulia Uraisi poa sana, hiyo ndiyo shida yenu, isitoshe Katiba yetu inasemaje kuhusu mahali ambapo Raisi wetu anapaswa/lazimika kumuapisha Kiongozi?
 
Mnauchukulia Uraisi poa sana, hiyo ndiyo shida yenu, isitoshe Katiba yetu inasemaje kuhusu mahali ambapo Raisi wetu anapaswa/lazimika kumuapisha Kiongozi?

Kama unataka kulazimisha kuwa ni jambo linalokubalika, mara ya mwisho Waziri au kiongozi yoyote wa Umma ameapishwa BAR ni lini?

Na unavyosisitiza kuwa tunachukulia Urais poa, una maana gani? Rais ana miiko ya kumuongoza kama mtumishi yoyote yule wa Umma.

Narudia. Nimetoa angalizo tu.
 
Wajinga Wa chadema mkiungana mkono kwenye ujinga Rais akishinda katiba haitaji ataapishwa wapi aweza apishwa hata bar ni uamuzi tu sembuse kiwaziri .kwa hiyo Wewe na mleta Mazda si mnajiona mlivyo wapumbavu halafu nyie ndio think tank ya chadema very sad

Yaani hapo ndipo.bongo za mleta Maada zimechemka kiwango cha juu kabisa kkubwa huo ndio ushauri Wa kumpelekea Raisi!!!! Aisee
Povu lote la nini? Mbona mada ambazo si za mrengo wa kisiasa unachangia vizuri tu?
 
Kama unataka kulazimisha kuwa ni jambo linalokubalika, mara ya mwisho Waziri au kiongozi yoyote wa Umma ameapishwa BAR ni lini?

Na unavyosisitiza kuwa tunachukulia Urais poa, una maana gani? Rais ana miiko ya kumuongoza kama mtumishi yoyote yule wa Umma.

Narudia. Nimetoa angalizo tu.

Nimeuliza Katiba yetu inasemaje kuhusu mahali ambapo Raisi wetu analazimika kumuapisha Kiongozi?
 
Uanasheria koko huu issue sio place of oath mjinga mkubwa Wewe ni muapishaji chadema kina wanasheria wapumbavu ndio.maana walishauri chadema iwafukuze uanachama wabunge kwa eti kosa la kuhudhuria vikao vya bunge wakati ni wajibu wao

Katiba tu iko wazi kuwa raising ataapishwa haisemi ataapishwa wapi chato ,mtaa Wa ufipa au wapi sembuse waziri!!! Chadema MNA akiki ndogo mno ndio maana October lazima muondoke wote hapiti mtu

Yaani kama kuna mapimbi nyoko basi wewe ni zaidi ya pimbi. Ina maana yeyote anayetoa maoni au mawazo yake tena kwa mujibu wa katiba ni lazima awe Chadema? Pumbavu kabisa wewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua hili suala la kumuapisha Waziri Mwigulu limejadiliwa kwa njia tofauti tofauti.

Ila naomba niliangalie kwa mtazamo wa baadae. Sina mfano wowote wa Waziri au mtumishi mkubwa wa Umma aliyepewa kiapo katika mazingira ya bar. Hata kwa mazingira tu ya kawaida, suala hili linaleta maswali ya kimaadili na kiuongozi.

Kama kuna maamuzi yoyote ya kisheria yatakayofanywa au kumshirikisha Waziri huyu, ambayo kimsingi ni yote amefanya toka ameapishwa hadi pale utakapotengua uteuzi wake au kuchukua ushauri wangu na kumuapisha upya, nachelea kusema kuwa uteuzi wake na maamuzi yote atakayofanya, au hata kushiriki tu kuyafanya, chini ya kiapo kile yanawezana kuwa ni batili.

Hakuna ubaya wa kurudia kiapo. Nakumbuka kulikuwa na hitilafu fulani katika kiapo cha Barack Obama, ikabidi arudie kiapo kile wakati mwingine kabla ya kuanza shughuli za Urais.

Kiapo siyo lazima kifanyike kukiwa na media na kutoa hotuba ila nadhani ni muhimu kukiwa na ushahidi kuwa kimefanyika kwa usahihi, hasa kwa viongozi wakubwa. Kiapo ni alama kubwa ya uhalali wa kiongozi wa umma.
Keynez, tusaidie tuwekee sheria ya kiapo na ibara ya katiba husika- vinginevyo acha ramli.
 
Nimeuliza Katiba yetu inasemaje kuhusu mahali ambapo Raisi wetu analazimika kumuapisha Kiongozi?

Unavyotaka sana kujua sheria na Katiba zinasemaje utadhani sheria nyingi hazijakanyagwa na kudharauliwa kwa kiwango cha kutisha. Sijui kwenye hayo, kama ulikuwa unataka kujua Katiba inasemaje?
 
Unavyotaka sana kujua sheria na Katiba zinasemaje utadhani sheria nyingi hazijakanyagwa na kudharauliwa kwa kiwango cha kutisha. Sijui kwenye hayo, kama ulikuwa unataka kujua Katiba inasemaje?
Keynez, mujibu tu mkuu acha porojo
 
Kutokana na mazingira, kuna mtu anaweza kuhoji utimamu wa akili wa either mtoa au mpokeaji wa kiapo. Anaweza kuhoji labda kulikuwa na ushawishi wa Joni Mtembezi au hata Gongo kabla ya utolewaji wa kiapo. Watauliza, uwepo wa ofisi zote za Umma nchini tena wakati wa Amani, kwa nini ilikuwa lazima kufanyia shughuli ile BAR? Wanasheria hauwajui wewe?

Na madai haya yakipata nguvu mahakamani (inahitaji Jaji aseme tu kuna hoja ya msingi ya kujibiwa), Mwanasheria ataenda mbele zaidi na kuhoji hata uhalali wa uteuzi wenyewe, ukizingatia mazingira ya kufukuzwa kazi kwa Mwigulu hapo kabla na maneno aliyotamka Rais Magufuli. Wakili na Mwanasheria wa Serikali lazima jasho liwatoke.

Too bad hatuna tena Wanasheria wenye ujasiri huu.
Vipi kuhusu kutumia shamba la bibi kumwapisha rais ni kosa?
 
Keynez, tusaidie tuwekee sheria ya kiapo na ibara ya katiba husika- vinginevyo acha ramli.

Mlivyo bendera fuata upepo, nyie ndiyo mtarudi hapa kumsifia atakapoamua kurudia kiapo. Ngoja niwape material ya kutumia wakati ukifika.

142D7B58-C002-40C7-8BE9-B35FD6CB6517.jpeg

Mind you, ni Jaji Mkuu ndiyo alikosea kutamka mstari wa Kiapo na hata siyo Obama lakini ikalazimu kurudia kiapo, isitoshe hili la kumuapishia mtu BAR.

Feel free kuitumia hii picha wakati ukifika.
 
Unavyotaka sana kujua sheria na Katiba zinasemaje utadhani sheria nyingi hazijakanyagwa na kudharauliwa kwa kiwango cha kutisha. Sijui kwenye hayo, kama ulikuwa unataka kujua Katiba inasemaje?

Kwa nini unazunguka kujibu swali ,,straight forward” namna hiyo? Kama unajua Katiba inavyosema nieleze, kama haujui ni sawa pia, sema tu, sijui, ...
 
Uanasheria koko huu issue sio place of oath mjinga mkubwa Wewe ni muapishaji chadema kina wanasheria wapumbavu ndio.maana walishauri chadema iwafukuze uanachama wabunge kwa eti kosa la kuhudhuria vikao vya bunge wakati ni wajibu wao

Katiba tu iko wazi kuwa raising ataapishwa haisemi ataapishwa wapi chato ,mtaa Wa ufipa au wapi sembuse waziri!!! Chadema MNA akiki ndogo mno ndio maana October lazima muondoke wote hapiti mtu
Comrade tulia uandike vizuri...Usiwe na jazba na haraka hivi.Unao watetea wapo wanaingiza mamilioni wewe huku unapewa bando na elfu saba tu. TUMEISHINDA COVID-19
 
Uanasheria koko huu issue sio place of oath mjinga mkubwa Wewe ni muapishaji chadema kina wanasheria wapumbavu ndio.maana walishauri chadema iwafukuze uanachama wabunge kwa eti kosa la kuhudhuria vikao vya bunge wakati ni wajibu wao

Katiba tu iko wazi kuwa raising ataapishwa haisemi ataapishwa wapi chato ,mtaa Wa ufipa au wapi sembuse waziri!!! Chadema MNA akiki ndogo mno ndio maana October lazima muondoke wote hapiti mtu
Walifukuzwa ubunge kwa kukiuka maamuzi ya chama na yao wenyewe.
Ili uje ubaya wa adui yako fuatilia ayatendayo na si jina lake.
 
Kwa nini unazunguka kujibu swali ,,straight forward” namna hiyo? Kama unajua Katiba inavyosema nieleze, kama haujui ni sawa pia, sema tu, sijui, ...

Na ninavyojua jinsi hamtaki kuonekana mmekosea, ndani ya mwezi mmoja ujao anaenda kumuhamisha wizara ili tu aepukane na hili.
 
Back
Top Bottom