Rais Magufuli, muapishe upya Waziri wako. Kuna siku mahakama itabatilisha maamuzi yake

Keynez

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
2,397
3,884
Najua hili suala la kumuapisha Waziri Mwigulu limejadiliwa kwa njia tofauti tofauti.

Ila naomba niliangalie kwa mtazamo wa baadae. Sina mfano wowote wa Waziri au mtumishi mkubwa wa Umma aliyepewa kiapo katika mazingira ya bar. Hata kwa mazingira tu ya kawaida, suala hili linaleta maswali ya kimaadili na kiuongozi.

Kama kuna maamuzi yoyote ya kisheria yatakayofanywa au kumshirikisha Waziri huyu, ambayo kimsingi ni yote amefanya toka ameapishwa hadi pale utakapotengua uteuzi wake au kuchukua ushauri wangu na kumuapisha upya, nachelea kusema kuwa uteuzi wake na maamuzi yote atakayofanya, au hata kushiriki tu kuyafanya, chini ya kiapo kile yanawezana kuwa ni batili.

Hakuna ubaya wa kurudia kiapo. Nakumbuka kulikuwa na hitilafu fulani katika kiapo cha Barack Obama, ikabidi arudie kiapo kile wakati mwingine kabla ya kuanza shughuli za Urais.

Kiapo siyo lazima kifanyike kukiwa na media na kutoa hotuba ila nadhani ni muhimu kukiwa na ushahidi kuwa kimefanyika kwa usahihi, hasa kwa viongozi wakubwa. Kiapo ni alama kubwa ya uhalali wa kiongozi wa umma.
 
Una hoja ya nguvu sana, lkn sidhani kama place of oath ina matter sana kwenye uhalali wa kiapo. Ngoja niangalie sheria inasemaje kuhusu hilo!
Uanasheria koko huu issue sio place of oath mjinga mkubwa Wewe ni muapishaji chadema kina wanasheria wapumbavu ndio.maana walishauri chadema iwafukuze uanachama wabunge kwa eti kosa la kuhudhuria vikao vya bunge wakati ni wajibu wao

Katiba tu iko wazi kuwa raising ataapishwa haisemi ataapishwa wapi chato ,mtaa Wa ufipa au wapi sembuse waziri!!! Chadema MNA akiki ndogo mno ndio maana October lazima muondoke wote hapiti mtu
 
Najua hili suala la kumuapisha Waziri Mwigulu limejadiliwa kwa njia tofauti tofauti.

Ila naomba niliangalie kwa mtazamo wa baadae. Sina mfano wowote wa Waziri au mtumishi mkubwa wa Umma aliyepewa kiapo katika mazingira ya bar. Hata kwa mazingira tu ya kawaida, suala hili linaleta maswali ya kimaadili na kiuongozi.

Kama kuna maamuzi yoyote ya kisheria yatakayofanywa au kumshirikisha Waziri huyu, ambayo kimsingi ni yote amefanya toka ameapishwa hadi pale utakapotengua uteuzi wake au kuchukua ushauri wangu na kumuapisha upya, nachelea kusema kuwa uteuzi wake na maamuzi yote atakayofanya, au hata kushiriki tu kuyafanya, chini ya kiapo kile yanawezana kuwa ni batili.

Hakuna ubaya wa kurudia kiapo. Nakumbuka kulikuwa na hitilafu fulani katika kiapo cha Barack Obama, ikabidi arudie kiapo kile wakati mwingine kabla ya kuanza shughuli za Urais.

Kiapo siyo lazima kifanyike kukiwa na media na kutoa hotuba ila nadhani ni muhimu kukiwa na ushahidi kuwa kimefanyika kwa usahihi, hasa kwa viongozi wakubwa. Kiapo ni alama kubwa ya uhalali wa kiongozi wa umma.
Hii ni awamu isiyoheshimu chochote cha kwenye Katiba au utawala bora.
 
Una hoja ya nguvu sana, lkn sidhani kama place of oath ina matter sana kwenye uhalali wa kiapo. Ngoja niangalie sheria inasemaje kuhusu hilo!

Kutokana na mazingira, kuna mtu anaweza kuhoji utimamu wa akili wa either mtoa au mpokeaji wa kiapo. Anaweza kuhoji labda kulikuwa na ushawishi wa Joni Mtembezi au hata Gongo kabla ya utolewaji wa kiapo. Watauliza, uwepo wa ofisi zote za Umma nchini tena wakati wa Amani, kwa nini ilikuwa lazima kufanyia shughuli ile BAR? Wanasheria hauwajui wewe?

Na madai haya yakipata nguvu mahakamani (inahitaji Jaji aseme tu kuna hoja ya msingi ya kujibiwa), Mwanasheria ataenda mbele zaidi na kuhoji hata uhalali wa uteuzi wenyewe, ukizingatia mazingira ya kufukuzwa kazi kwa Mwigulu hapo kabla na maneno aliyotamka Rais Magufuli. Wakili na Mwanasheria wa Serikali lazima jasho liwatoke.

Too bad hatuna tena Wanasheria wenye ujasiri huu.
 
Najua hili suala la kumuapisha Waziri Mwigulu limejadiliwa kwa njia tofauti tofauti.

Ila naomba niliangalie kwa mtazamo wa baadae. Sina mfano wowote wa Waziri au mtumishi mkubwa wa Umma aliyepewa kiapo katika mazingira ya bar. Hata kwa mazingira tu ya kawaida, suala hili linaleta maswali ya kimaadili na kiuongozi.

Kama kuna maamuzi yoyote ya kisheria yatakayofanywa au kumshirikisha Waziri huyu, ambayo kimsingi ni yote amefanya toka ameapishwa hadi pale utakapotengua uteuzi wake au kuchukua ushauri wangu na kumuapisha upya, nachelea kusema kuwa uteuzi wake na maamuzi yote atakayofanya, au hata kushiriki tu kuyafanya, chini ya kiapo kile yanawezana kuwa ni batili.

Hakuna ubaya wa kurudia kiapo. Nakumbuka kulikuwa na hitilafu fulani katika kiapo cha Barack Obama, ikabidi arudie kiapo kile wakati mwingine kabla ya kuanza shughuli za Urais.

Kiapo siyo lazima kifanyike kukiwa na media na kutoa hotuba ila nadhani ni muhimu kukiwa na ushahidi kuwa kimefanyika kwa usahihi, hasa kwa viongozi wakubwa. Kiapo ni alama kubwa ya uhalali wa kiongozi wa umma.
Mzee wa Kujifukiza haelewi haya
 
Una hoja ya nguvu sana, lkn sidhani kama place of oath ina matter sana kwenye uhalali wa kiapo. Ngoja niangalie sheria inasemaje kuhusu hilo!
Hii hapa ndio.ushahidi Wa wazi kuwa chadema akili hamna kabisa Raising akishinda uchaguzi huapishwa popote hata porini sembuse waziri
 
Raisi wa JMTZ anaweza kuapisha Kiongozi hata juu angani kwenye ndege au chini ya handaki, mnachukulia Uraisi wa nchi kama kitu poa sana ninyi, mnadanganywa sana Mainstream media za Muzungu, Muzungu hayuko hivyo mnavyo mfikiria.

Low IQ!
 
Uanasheria koko huu issue sio place of oath mjinga mkubwa Wewe ni muapishaji chadema kina wanasheria wapumbavu ndio.maana walishauri chadema iwafukuze uanachama kwa eti kosa la kuhudhuria vikao vya bunge

Katiba tu iko wazi kuwa raising ataapishwa haisemi ataapishwa wapi chato ,mtaa Wa ufipa au wapi sembuse waziri!!! Chadema MNA akiki ndogo mno ndio maana October lazima muondoke wote hapiti mtu
Mkuu koona bado ipo wanawezashuhudia wengine wewe usiwepo. Tumwombe Mungu
 
Mzee wa Kujifukiza haelewi haya
Wajinga Wa chadema mkiungana mkono kwenye ujinga Rais akishinda katiba haitaji ataapishwa wapi aweza apishwa hata bar ni uamuzi tu sembuse kiwaziri .kwa hiyo Wewe na mleta Mazda si mnajiona mlivyo wapumbavu halafu nyie ndio think tank ya chadema very sad

Yaani hapo ndipo.bongo za mleta Maada zimechemka kiwango cha juu kabisa kkubwa huo ndio ushauri Wa kumpelekea Raisi!!!! Aisee
 
Hii ni awamu isiyoheshimu chochote cha kwenye Katiba au utawala bora.
Haya katiba inasema raidi ataapishwa wapi eneo lipi mjinga wewe.Katiba inasema ataapishwa haitaji eneo na waziri hivyo hivyo

Chadema mumevurugwa kilanachoshika hakishikiki mumechanganyikiwa huku lockdown imebuma,huku kufukuza wabunge kumebuma huku lijuakali kumebuma mukp confused!!! Ukiwa confused no vizuri utulie
 
Chato hakuna ikulu ndogo.
Hii maada sichangii tena naomba niachie wapumbavu Wa chadema muendelee kujikuna na kujitekeza wenyewe katiba inasema raisi na mawaziri wataapishwa haitaji wataapishwa .wapi waweza apishwa popote naishia hapa endeleeni na upumbavu wenu kujadili kijinga bye bye
 
Raisi wa JMTZ anaweza kuapisha Kiongozi hata juu angani kwenye ndege au chini ya handaki, mnachukulia Uraisi wa nchi kama kitu poa sana ninyi, mnadanganywa sana Mainstream media za Muzungu, Muzungu hayuko hivyo mnavyo mfikiria.

Low IQ!

Labda nyakati za vita. Na hapa hatuongelei angani au kwenye handaki, tunaongelea BAR!

Na hizo habari za ‘muzungu’ zinaingiaje?
 
Hii maada sichangii tens nsomba niachie wapumbavu Wa chadema muendelee kujikuna na kujitekeza wenyewe katiba inasema raising na mawaziri wataapishwa haitaji wataapishwa .waweza apishwa popote naishia hapa endeleeni na upumbavu wenu kujadili kijinga bye bye
Umepanic kinoma!
Kunywa maji sister black.
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom