Uanasheria koko huu issue sio place of oath mjinga mkubwa Wewe ni muapishaji chadema kina wanasheria wapumbavu ndio.maana walishauri chadema iwafukuze uanachama wabunge kwa eti kosa la kuhudhuria vikao vya bunge wakati ni wajibu waoUna hoja ya nguvu sana, lkn sidhani kama place of oath ina matter sana kwenye uhalali wa kiapo. Ngoja niangalie sheria inasemaje kuhusu hilo!
Hii ni awamu isiyoheshimu chochote cha kwenye Katiba au utawala bora.Najua hili suala la kumuapisha Waziri Mwigulu limejadiliwa kwa njia tofauti tofauti.
Ila naomba niliangalie kwa mtazamo wa baadae. Sina mfano wowote wa Waziri au mtumishi mkubwa wa Umma aliyepewa kiapo katika mazingira ya bar. Hata kwa mazingira tu ya kawaida, suala hili linaleta maswali ya kimaadili na kiuongozi.
Kama kuna maamuzi yoyote ya kisheria yatakayofanywa au kumshirikisha Waziri huyu, ambayo kimsingi ni yote amefanya toka ameapishwa hadi pale utakapotengua uteuzi wake au kuchukua ushauri wangu na kumuapisha upya, nachelea kusema kuwa uteuzi wake na maamuzi yote atakayofanya, au hata kushiriki tu kuyafanya, chini ya kiapo kile yanawezana kuwa ni batili.
Hakuna ubaya wa kurudia kiapo. Nakumbuka kulikuwa na hitilafu fulani katika kiapo cha Barack Obama, ikabidi arudie kiapo kile wakati mwingine kabla ya kuanza shughuli za Urais.
Kiapo siyo lazima kifanyike kukiwa na media na kutoa hotuba ila nadhani ni muhimu kukiwa na ushahidi kuwa kimefanyika kwa usahihi, hasa kwa viongozi wakubwa. Kiapo ni alama kubwa ya uhalali wa kiongozi wa umma.
Una hoja ya nguvu sana, lkn sidhani kama place of oath ina matter sana kwenye uhalali wa kiapo. Ngoja niangalie sheria inasemaje kuhusu hilo!
Mzee wa Kujifukiza haelewi hayaNajua hili suala la kumuapisha Waziri Mwigulu limejadiliwa kwa njia tofauti tofauti.
Ila naomba niliangalie kwa mtazamo wa baadae. Sina mfano wowote wa Waziri au mtumishi mkubwa wa Umma aliyepewa kiapo katika mazingira ya bar. Hata kwa mazingira tu ya kawaida, suala hili linaleta maswali ya kimaadili na kiuongozi.
Kama kuna maamuzi yoyote ya kisheria yatakayofanywa au kumshirikisha Waziri huyu, ambayo kimsingi ni yote amefanya toka ameapishwa hadi pale utakapotengua uteuzi wake au kuchukua ushauri wangu na kumuapisha upya, nachelea kusema kuwa uteuzi wake na maamuzi yote atakayofanya, au hata kushiriki tu kuyafanya, chini ya kiapo kile yanawezana kuwa ni batili.
Hakuna ubaya wa kurudia kiapo. Nakumbuka kulikuwa na hitilafu fulani katika kiapo cha Barack Obama, ikabidi arudie kiapo kile wakati mwingine kabla ya kuanza shughuli za Urais.
Kiapo siyo lazima kifanyike kukiwa na media na kutoa hotuba ila nadhani ni muhimu kukiwa na ushahidi kuwa kimefanyika kwa usahihi, hasa kwa viongozi wakubwa. Kiapo ni alama kubwa ya uhalali wa kiongozi wa umma.
Hii hapa ndio.ushahidi Wa wazi kuwa chadema akili hamna kabisa Raising akishinda uchaguzi huapishwa popote hata porini sembuse waziriUna hoja ya nguvu sana, lkn sidhani kama place of oath ina matter sana kwenye uhalali wa kiapo. Ngoja niangalie sheria inasemaje kuhusu hilo!
Katiba inasema waziri aapishiwe wapi?Hii ni awamu isiyoheshimu chochote cha kwenye Katiba au utawala bora.
Chato hakuna ikulu ndogo.Kuna Rais aliwahi kuapishwa akiwa angani na ndege wewe unazungumzia waziri kuapishwa ikulu ndogo !
Vijana wa ufipa acheni kunywa mbege asubuhi
Mkuu koona bado ipo wanawezashuhudia wengine wewe usiwepo. Tumwombe MunguUanasheria koko huu issue sio place of oath mjinga mkubwa Wewe ni muapishaji chadema kina wanasheria wapumbavu ndio.maana walishauri chadema iwafukuze uanachama kwa eti kosa la kuhudhuria vikao vya bunge
Katiba tu iko wazi kuwa raising ataapishwa haisemi ataapishwa wapi chato ,mtaa Wa ufipa au wapi sembuse waziri!!! Chadema MNA akiki ndogo mno ndio maana October lazima muondoke wote hapiti mtu
Wajinga Wa chadema mkiungana mkono kwenye ujinga Rais akishinda katiba haitaji ataapishwa wapi aweza apishwa hata bar ni uamuzi tu sembuse kiwaziri .kwa hiyo Wewe na mleta Mazda si mnajiona mlivyo wapumbavu halafu nyie ndio think tank ya chadema very sadMzee wa Kujifukiza haelewi haya
CHATO NI IKULU NDOGO?!Kuna Rais aliwahi kuapishwa akiwa angani na ndege wewe unazungumzia waziri kuapishwa ikulu ndogo!
Vijana wa ufipa acheni kunywa mbege asubuhi
Haya katiba inasema raidi ataapishwa wapi eneo lipi mjinga wewe.Katiba inasema ataapishwa haitaji eneo na waziri hivyo hivyoHii ni awamu isiyoheshimu chochote cha kwenye Katiba au utawala bora.
Hii maada sichangii tena naomba niachie wapumbavu Wa chadema muendelee kujikuna na kujitekeza wenyewe katiba inasema raisi na mawaziri wataapishwa haitaji wataapishwa .wapi waweza apishwa popote naishia hapa endeleeni na upumbavu wenu kujadili kijinga bye byeChato hakuna ikulu ndogo.
Raisi wa JMTZ anaweza kuapisha Kiongozi hata juu angani kwenye ndege au chini ya handaki, mnachukulia Uraisi wa nchi kama kitu poa sana ninyi, mnadanganywa sana Mainstream media za Muzungu, Muzungu hayuko hivyo mnavyo mfikiria.
Low IQ!
Mbege alafu wanachanganya na K vantKuna Rais aliwahi kuapishwa akiwa angani na ndege wewe unazungumzia waziri kuapishwa ikulu ndogo!
Vijana wa ufipa acheni kunywa mbege asubuhi
Umepanic kinoma!Hii maada sichangii tens nsomba niachie wapumbavu Wa chadema muendelee kujikuna na kujitekeza wenyewe katiba inasema raising na mawaziri wataapishwa haitaji wataapishwa .waweza apishwa popote naishia hapa endeleeni na upumbavu wenu kujadili kijinga bye bye