Rais Magufuli, mteue haraka Mtangazaji wa Cloudstv 360 Hassan Ngoma kwani tumemchoka sasa na Kujipendekeza Kwako

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa na ambayo imethibitisha kuwa huyu Mtangazaji wa Cloudstv 360 Hassan Ngoma ana matatizo makubwa yanayohitaji Tiba ya haraka au Kujikomba ( Kujipendekeza ) Kwake ni Asili yake aliyoirithi asubuhi hii akiongea na huku akiwa mkavu kabisa Usoni amesema kuwa tokea Mheshimiwa Rais JPM awe Madarakani hadi hii leo hajawahi hata Siku moja Kumtukana wala Kumdhihaki Kiongozi yoyote yule awe ndani ya CCM na Serikali yake au hata Upinzani.

Kama Mtangazaji huyu Hassan Ngoma leo hii anasema na huku akimtetea na akijikomba Kulikopitiliza kwa Mheshimiwa Rais JPM kuwa huwa hatukani Watu na hajawahi Kutukana namuomba nimuulize je ile Kauli ambayo kwa bahati nzuri Mheshimiwa Rais aliisema hadharani na akiwa Ikulu kuwa mara kwa mara amekuwa akiwatukana Tusi la Pumbavu Mawaziri wake Waandamizi Mpango na Kabudi Kwake Yeye hiyo siyo Dhihaka na hayo siyo Matusi na Udhalilishaji?

Hivi ni kwanini Mheshimiwa Rais JPM humteui huyu Hassan Ngoma anayejipendekeza Kwako kunakopitiliza ili Sisi huku tupumzike? Na hata ikitokea ukamteua leo au kesho ila kwa tunaomjua vyema huyu Mtangazaji Hassan Ngoma ni kwamba kama kuna Mchambuzi ambaye wakati wa Kampeni za mwaka 2015 alikuwa akikudharau, akikukosoa na hadi kukudhihaki katika chambuzi zake mbalimbali ni huyu Mtangazaji na tunaomjua tunashangaa imekuwaje leo hii anajifanya Kukupenda Wewe ambaye alikuwa hakutaki uwe Rais wa nchi hii.

Sina hakika kama kwa huu Utangazaji wa Kipuuzi, Kiunazi na wa Kujipendekeza wa Hassan Ngoma umeweza Kuongeza idadi ya Watazamaji wa Cloudstv 360 badala yake nahisi kuwa tokea huyu Mtangazaji awepo hapo idadi ya Watazamaji ( audience ) wa Clouds tv itakuwa imepungua mno na kama Uongozi wa CMG hautaliangalia hili huyu Mtu ( Hassan Ngoma ) atawasababishia matatizo hasa ya Kibiashara kwani kwa hizi ( Characters ) zake wapo Watu wengi ambao anawakwaza hasa.
 
Kungekuwa na uwezekano Binadamu akitoka Kujisaidia Haja Kubwa atahitaji Mtu wa Kumtawaza basi nadhani Jukumu hili kwa Kiongozi wake lingemfaa sana Mtangazaji Hassan Ngoma wa Cloudstv 360 na nadhani angelitekeleza vizuri kabisa. Anaboa hadi havumiliki tena!
Mr. Tanzanite
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa na ambayo imethibitisha kuwa huyu Mtangazaji wa Cloudstv 360 Hassan Ngoma ana matatizo makubwa yanayohitaji Tiba ya haraka au Kujikomba ( Kujipendekeza ) Kwake ni Asili yake aliyoirithi asubuhi hii akiongea na huku akiwa mkavu kabisa Usoni amesema kuwa tokea Mheshimiwa Rais JPM awe Madarakani hadi hii leo hajawahi hata Siku moja Kumtukana wala Kumdhihaki Kiongozi yoyote yule awe ndani ya CCM na Serikali yake au hata Upinzani.

Kama Mtangazaji huyu Hassan Ngoma leo hii anasema na huku akimtetea na akijikomba Kulikopitiliza kwa Mheshimiwa Rais JPM kuwa huwa hatukani Watu na hajawahi Kutukana namuomba nimuulize je ile Kauli ambayo kwa bahati nzuri Mheshimiwa Rais aliisema hadharani na akiwa Ikulu kuwa mara kwa mara amekuwa akiwatukana Tusi la Pumbavu Mawaziri wake Waandamizi Mpango na Kabudi Kwake Yeye hiyo siyo Dhihaka na hayo siyo Matusi na Udhalilishaji?

Hivi ni kwanini Mheshimiwa Rais JPM humteui huyu Hassan Ngoma anayejipendekeza Kwako kunakopitiliza ili Sisi huku tupumzike? Na hata ikitokea ukamteua leo au kesho ila kwa tunaomjua vyema huyu Mtangazaji Hassan Ngoma ni kwamba kama kuna Mchambuzi ambaye wakati wa Kampeni za mwaka 2015 alikuwa akikudharau, akikukosoa na hadi kukudhihaki katika chambuzi zake mbalimbali ni huyu Mtangazaji na tunaomjua tunashangaa imekuwaje leo hii anajifanya Kukupenda Wewe ambaye alikuwa hakutaki uwe Rais wa nchi hii.

Sina hakika kama kwa huu Utangazaji wa Kipuuzi, Kiunazi na wa Kujipendekeza wa Hassan Ngoma umeweza Kuongeza idadi ya Watazamaji wa Cloudstv 360 badala yake nahisi kuwa tokea huyu Mtangazaji awepo hapo idadi ya Watazamaji ( audience ) wa Clouds tv itakuwa imepungua mno na kama Uongozi wa CMG hautaliangalia hili huyu Mtu ( Hassan Ngoma ) atawasababishia matatizo hasa ya Kibiashara kwani kwa hizi ( Characters ) zake wapo Watu wengi ambao anawakwaza hasa.
Magu kweli anapenda kufanya kazi na vilaza ila sidhani kama anaweza kumchukua Hassan Ngoma maana huyo si kilaza tu bali mpumbavu!
 
Mnisamehe, hawa wanaojiita watangazaji mara nyingi (with some few exceptions) huwa ni form four failure! Watu Div zero ndio huwa wanakwenda huko kutangaza , kazi isiyohitaji akili yoyote as long as unaweza kubwatuka!
 
Naomba tu kuuliza..wakati huyo bwana akitoa maneno hayo ya kujipendekeza kulikopitiliza...yule ras wa kike alikuwepo? na yeye alichangia mada? Ila huyo jamaa kwa kumwangalia tu ni MNAFIKI MMKUBWA.
 
Katika hari isiyo ya kawaida leo asubui kituo hicho pendwa hapa nchini kimeoneka kikiachilia pini nzito za nyimbo za CCM mfululizo ambapo watangazaji wawili yaani Saamu Mswalisali na Mpiga Ngoma Ngoma wameoneka leo wameshindwa kabisa kujikaza, kujizuia au kujificha na kuanza kuselebuka studio huku wakitupa mikono juu ikiwa ishara ya kusarenda kwa chama.

Taarifa tulizozipata kutoka mmoja wa wafanyakazi ambaye alikataa jina lake kutajwa amesema huko nyuma ya kamera ndiyo ilikuwa balaa maana Edita alishindwa kutulia na kusimama na kuimba, kamera mani pia na wafanyakazi wote wameonekana wakiselebuka CCM MBELE KWA MBELE.
Ofisi zote za Clauzi wafantakazi wameonekana wakiwa na furaha sana.

Wamefikia hapo baada ya kuthibitisha kuwa hili jabali CCM ni zito na ni hatari hakuna mtu anaweza akaligusa wote wamesujudu na kuelekea kibla.
 
Jinyonge tu ewe kikaragosi wa ufipa
 
hao wameshapotea.
Clouds nilikuwa naipenda sana. Kuanzia power break fast, Leo tena, xxl, jahazi, amplifaya na sport extra vyote nilikuwa nasikiliza. Ila walipoanza mambo yao ya kujipendekeza kulipopita mipaka nimewapotezea mazima.
yaani wao kitu kidogo JPM JPM
Mimi mwenyewe nilikuwa nawapenda Sana wakati walikuwa NEUTRAL. Lakini tangu waingize siasa HUSUSAN 360 siwataki hata kidogo. Wameendekeza siasa na kuonyesha hisia zao LIVE. Weledi wameuweka PARKING. Kila uchao umaarufu wao unapukutika. Wataligundua hili when its too late. Just a matter of time!!!!!
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa na ambayo imethibitisha kuwa huyu Mtangazaji wa Cloudstv 360 Hassan Ngoma ana matatizo makubwa yanayohitaji Tiba ya haraka au Kujikomba ( Kujipendekeza ) Kwake ni Asili yake aliyoirithi asubuhi hii akiongea na huku akiwa mkavu kabisa Usoni amesema kuwa tokea Mheshimiwa Rais JPM awe Madarakani hadi hii leo hajawahi hata Siku moja Kumtukana wala Kumdhihaki Kiongozi yoyote yule awe ndani ya CCM na Serikali yake au hata Upinzani.

Kama Mtangazaji huyu Hassan Ngoma leo hii anasema na huku akimtetea na akijikomba Kulikopitiliza kwa Mheshimiwa Rais JPM kuwa huwa hatukani Watu na hajawahi Kutukana namuomba nimuulize je ile Kauli ambayo kwa bahati nzuri Mheshimiwa Rais aliisema hadharani na akiwa Ikulu kuwa mara kwa mara amekuwa akiwatukana Tusi la Pumbavu Mawaziri wake Waandamizi Mpango na Kabudi Kwake Yeye hiyo siyo Dhihaka na hayo siyo Matusi na Udhalilishaji?

Hivi ni kwanini Mheshimiwa Rais JPM humteui huyu Hassan Ngoma anayejipendekeza Kwako kunakopitiliza ili Sisi huku tupumzike? Na hata ikitokea ukamteua leo au kesho ila kwa tunaomjua vyema huyu Mtangazaji Hassan Ngoma ni kwamba kama kuna Mchambuzi ambaye wakati wa Kampeni za mwaka 2015 alikuwa akikudharau, akikukosoa na hadi kukudhihaki katika chambuzi zake mbalimbali ni huyu Mtangazaji na tunaomjua tunashangaa imekuwaje leo hii anajifanya Kukupenda Wewe ambaye alikuwa hakutaki uwe Rais wa nchi hii.

Sina hakika kama kwa huu Utangazaji wa Kipuuzi, Kiunazi na wa Kujipendekeza wa Hassan Ngoma umeweza Kuongeza idadi ya Watazamaji wa Cloudstv 360 badala yake nahisi kuwa tokea huyu Mtangazaji awepo hapo idadi ya Watazamaji ( audience ) wa Clouds tv itakuwa imepungua mno na kama Uongozi wa CMG hautaliangalia hili huyu Mtu ( Hassan Ngoma ) atawasababishia matatizo hasa ya Kibiashara kwani kwa hizi ( Characters ) zake wapo Watu wengi ambao anawakwaza hasa.
NAONAA UNAJIFAGILIA UTEULIWE HAHAHAA ATEUI KELELE ZA MITANDAAON KAAA KIMYA NYOTA ITAKUJA KWA MDAWAKEE
Else utasahaulika shauriyakooo
 
Back
Top Bottom