Rais Magufuli Mpongeze Uhuru HARAKA

Status
Not open for further replies.
si kwa mapovu hayo.... vp mamvi ashapeleka salamu za pongezi... bavicha mna taabu kweli kweli
Huyo lowassa kwani ni Rais...
Sio kila kitu ni siasa....
Au kwani huo msimamo binafsi wa magufuli ndio lazima tu kuunga..mkono bila...kujua hapa ni nchi na nchi
Kwa kagame hata dakika 20 hazikupita pongezi
 
Bavicha bhana, wamepoteza credibility kwa watanzania wanaanza kudandia vitu havina impacts kwao!
Hata mi naangalia comments za bavicha..yaani kama wanalazimisha Maji kupanda mlima..naona wanampangia magu cha kufanya kwa muda wanaotaka wao.teh..kuishiwa hoja za msingi hakujawahi kumuacha mtu salama.
 
  • Huo ndiyo ukosefu wa akili tunaousema.

  • Hili ni suala la kitaifa na huwez kulifanya kisiri siri kama mnavyodhania.

  • Na sijui hizo guts za kupiga simu kama mnazo...kwan kagame na museven unadhan hawajampigia simu kenyata?

  • Ukiachilia mbali kumpigia simu wameona utaratibu wa kutoa salaam kwa niaba ya nchi

  • Kumbe ndiyo maana hajatuma salaam had sasa kwa kuwa mmeshampigia simu?

  • Teh teh teh...
    CCM hatukurupuki, tunafahamu nini tufanye, tumeshaongea na Uhuru kwa njia zingine za mawasiliano, na salaam za pongezi tulishazituma!!
Kwa kuwa nia yako ni kuichonganisha Ikulu ya Tanzania dhidi ya majirani zetu - uchonganishi huo hautafanikiwa - KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Reactions: Gut
Tena wapo serious kweli mitandao yote....JPM atampongeza Uhuru kama protocol zinavyotaka ....sijui wanashangilia nini? ....
It is not about party politics there is a growing concern about JPM style of leadership in the country. Tanzanians came in support of Uhuru as an automatic reaction against the one he (JPM) supports.
 
Uchaguzi wa mwaka 2015 hao wapinzani wa Kenya na huyo Odinga alikuwa upande wa Magu na CCM so undhani upinzani wange msupport vipi mwaka huu wakati yeye ndo alianza kunyea kambi

G.O.M.D
 
Hata mi naangalia comments za bavicha..yaani kama wanalazimisha Maji kupanda mlima..naona wanampangia magu cha kufanya kwa muda wanaotaka wao.teh..kuishiwa hoja za msingi hakujawahi kumuacha mtu salama.

Tunajua Roho yake inamsokota sana

Mwambien apige moyo konde atoe salaam za pongez haraka sana
 
Wewe Jamaa huna akili unampangia rais?
 
Tunasubiri atakae mshauri magu atume Salam aone atakavotumbuliwa. Maghu anaumwa kichwa aamini kilichotokea
 
Anayewatuma amekosea njia
 
Wanachofanya chadema ni kusteam out frustration zao kwa kupitia Kenya!!!!!! As if Kenyatta kushinda kutawaongezea kipato chao Tanzania .Ni Sawa na mtu anayesifia mke wa jirani yake kuwa ni mzuri wakati wake mbaya kupindukia.
Amin nakuambia kunawatanzania wasio amini siasa za vyama na walio CCM ambao wako "frustrated" kama ulivyosema na wamefurahia ushindi wa Kenyata dhidi ya Odinga.
 
Kwa taarifa yako licha ya urafiki kati ya Magu na Odinga bado Magu hamkubali Odinga awe rais.

Sent using Jamii Forums mobile app
kama hamukubali basi asingezuia wafanyabiashara wa kenya kipindi karibu na uchaguzi kuingia Tz na uku odinga kwny kampeni yke akitumia kwa sera ya kuongea na Magu wafanyabiashara wa kenya kurusiwa kufanya biashara bila usumbufu

G.O.M.D
 
Mbona hamjauliza kwa Nini nchi za magharibi na asia hazijatuma salamu za pongezi haraka? Pia mleta mada tukuulize Kenyatta alimpongeza magufuli haraka aliposhinda uchaguzi?

Yohana kahumia sana rafiki yake kukosa urais.
 
Tena wapo serious kweli mitandao yote....JPM atampongeza Uhuru kama protocol zinavyotaka ....sijui wanashangilia nini? ....
Protocal gani zilimfanya ampongeze Kagame (boss) ndani...ya dakika 20' baada ya.matokeo...kutoka zimefanya hadi...sasa...awe kimyaaaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…