Rais Magufuli mpaka afanye nini ili idhihirike hafai?

Rais Magufuli mpaka afanye nini ili idhihirike hafai?

Pengine inawezekana uko sawa hafai ,,,,kwa hiyo ndio mnataka mumtoe kwa njia ya waraka na maandamano? ikulu hakuna njia ya mkato ukitaka njia ya mkato lazima utenguke kiuno....hahahaha kumbe mnataka kwenda ikulu kwa kupitia waraka ....hahahaha
Na wewe usijiondoe ufahamu kihivyo...hapa hakuna suala la watu kutaka ikulu bali ni katiba ya nchi na sheria pamoja haki za binadamu ziheshimiwe na watawala wakati wa kutekeleza wajibu wao.
Kama haupo kiitikadi ya kisiasa utaona wanaolalamika na kukosoa utawala ni wananchi kutoka kada zote hivyo kwa hili tusiweke masuala ya kiubabaishaji ya kisiasa.
 
Mbona Zitto ka adopt njia ya kuwafanya wananchi wanakua heard na involved kwenye jimbo lake Kigoma under ACT,

wapinzani wangefanya the same HUKO VIJIJINI,

VIJIJINI ndio sehemu CCM wananyakuaga sana kura,

its not majic

wawafuate huko huko kijijini,

ukiweza kubadilisha mtazamo wa wanakijiji,then ume win,na Magufuli atasahaulika

otherwise endeleeni kusubiri embe chini ya mnazi,

mkiendelea kudhalilishana kila siku,

lazima muwe na strategy au vision,

so mnakaa passive tu
 
Wao wako mtandaoni kuhemka. Hawajui kuwa ni Watanzania wachache sana wana access na mtandao. Kura zikipigwa huko vijijini (ambako ndiko kuna wakazi wapiga kula wengi) wanapigwa, na wimbo unakuwa ni ule ule kura zimeibwa miaka nenda miaka rudi. Siasa zile zile, viongozi wale wale, mbinu zile zile, matusi yale yale. Inauma sana !!!
 
Wao wako mtandaoni kuhemka. Hawajui kuwa ni Watanzania wachache sana wana access na mtandao.
Wacha wewe sasa mnaogopa nini kama mnajua walio na access na mtandao wako wachache? Kwa akili yako unafikiri mapinduzi hufanywa na watu mil.50?mburula kabisa
 
Pengine inawezekana uko sawa hafai ,,,,kwa hiyo ndio mnataka mumtoe kwa njia ya waraka na maandamano? ikulu hakuna njia ya mkato ukitaka njia ya mkato lazima utenguke kiuno....hahahaha kumbe mnataka kwenda ikulu kwa kupitia waraka ....hahahaha
Waliambiwa ikulu wataiona kwenye video wakafikiri matani.
 
Pengine inawezekana uko sawa hafai ,,,,kwa hiyo ndio mnataka mumtoe kwa njia ya waraka na maandamano? ikulu hakuna njia ya mkato ukitaka njia ya mkato lazima utenguke kiuno....hahahaha kumbe mnataka kwenda ikulu kwa kupitia waraka ....hahahaha
Sio sasa mkuu,hawa wa sasa ni motooooo
 
Wakongwe na wajuzi wa siasa tujuzeni vijana wa juzi juzi. Hivi rais kuonekana na kukubali kushindwa katika kiwango ambacho kila mmoja wetu ataona kwa mtazamo huo, NI MPAKA AFANYE AU KUSHINDWA kufanya nini.

Sihiitaji kuorodhesha mambo ambayo ni msingi wa kukua na kushikamana kwa nchi ambayo Rais wetu ameonekana kushindwa kabisa na hana muda wa kupambana kuyashinda. Sasa ni mpaka mambo yawe makubwa kiasi gani ili ionekane dhahiri kushindwa.

Nyaraka mbili muhimu sana zilizotolewa na makanisa Katoliki wakati wa kuanza kwaresma na hii iliyotolewa na Kanisa langu la Lutheran zimeweka wazi kuwa Rais kushindwa.

Tunataka mpaka afanye nini ili tuongee lugha moja kama wananchi.

Kwa umri wangu mdogo nimepata kuona wananchi wakipiga chini Rais wa Brazil na huyu wa South Afrika Jacob Zuma. Hawa waliambiwa wazi kuwa nyinyi ni watu wa hovyo.

Je sisi kibongobongo ni mpaka Magufuli atufanye nini
Wasio Julikana waendelee kuto Julikana mimi naiita awamu ya Watu wasiojulikana
 
Mashabiki na Wafuasi wa upinzani uwa mna short temper ya ajabu, halafu kwasababu mnajua kupiga kelele basi mnadhani mpo wengi lakini matokeo yakitoka mnabaki mnashangaa. Mtajifunza lini?
Tarehe 26 april
 
Sio vibaya kuwa a wishful thinker hope for the best with wishful thinking kuwa Magufuli atashindanishwa na ataanguka. Ila mimi being a realist, I advice you get prepared for the worst, kwa sababu Magufuli ashindwe kwa tume ipi, na uchaguzi upi huru na wa haki?.

Let's save time, money and resources.

P
itaanza kuangushwa Tume halafu yeye atafuatia , angalia makanisa yanachofanya .
 
Ni bora iwe just a full term of10 years, lakini kwa udikiteta huu, sidhani kama atakubali kuondoka, hivyo katika bandiko hili, nimependekeza tumpatie muda wa kutosha kama Museveni, Kagame na Mugabe!.

Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
P
Pascal my bro unajua ninakuheshimu na haitatokea nikuvunjie heshima yako kamwe. Najua una kitu kichwani na hilo nina uhakika.
Je! Tunyamaze sababu hatatukipiga kelele hatutabadili kitu?
Je! Heri kunhyamaza kuliko kusema ambacho hakitabadili matokeo?
LA HASHA
Tukiisema kweli itatuweka huru bila kujali itabadili matokea au la!
Tusinyamaze, tuonye, tushauri, tukaripie bila kujali tutabadili chochote
Au
Tupongeze inapostahili kufanya hivyo
Hii itatuweka huru, ili yakienda vibaya na tulionya hatutakuwa na hukumu.
Na akipokea ushauri akatoa matokeo mazuri pia tutapongeza bila UNAFIKI
nchi ni yetu wote, kikinuka kinatunukia wote bila kujali kwa kiwango gani kwa kila mwathirika.
Na mambo yakienda vyema tutafurahi pamoja na kizazi chetu.
Simama imara Pascal..
Kemea inapobidi...
Pongeza kwa dhati inapobidi pia
 
Ndio tatizo la hawa akina BAK na wengine na Da Mange wao. Wanataka uhuru wa kukosoa lakini wakikosolewa wao, tena kidogo tu, mvua ya matusi hii hapa.
Kweli uk
Kama wewe unatenda yaleyale ambayo dhalimu unayempinga anayafanya, then unampinga kwa lipi kama wote mnatenda yafananayo?
Jifunzeni kujenga hoja na sio kipaniki.
Hili ndo tatizo la akina mange and co. Wao hudhani democracy ni one way traffic . Kama ukitoa maoni tofauti wao ni matusi na block inakuhusu.
Je wakipewa dhamana wataeza kusikiliza na kutekeleza maoni ya wenye mtizamo tafauti(the pot calling kettle black)
 
Ndo hivyo wanadhani wako sahihi kila nyanja.
 
Wacha wewe sasa mnaogopa nini kama mnajua walio na access na mtandao wako wachache? Kwa akili yako unafikiri mapinduzi hufanywa na watu mil.50?mburula kabisa
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Alafu wewe unatafuta kukunwa naona unawashwawashwa
Makarai bhana, kwa hivyo ninyi mnataka kila mtu awe na mawazo sawa na yenu tuu...kwamba ndio anakuwa amepatia?!
Kwa mara ya kwanza kabisa Mungu akiniweka hai 2020 kura yangu mapeema asubuhi nampa JPM!!!.
 
Katiba ipi?, au ivunjwe mara ngapi?!. Kuhusu uchaguzi wa rais, 2020, kwenye politics, kuna kambi mbili kuu, kuna kundi la wishful thinkers ambao watataka kumsimamisha mgombea kushindana na Magufuli kwa sababu ni haki yao kusimamisha mgombea huku waki wish, watashinda.

Na kuna kundi la ma realist ambao tunajua for sure, hakuna mgombea wa kushindana na Magufuli na bado akaambulia kitu!. Hivyo uchaguzi huo ni igizo tuu la uchaguzi!. Lets save time, money and resources.
P
Mkuu kwann unatumia akil kubwa kuelezea jambo dogo

Inapaswa utumie akil ndogo kutatua tatizo kubwa ndipo tunaamin kam MTU fulan yupo vizur katika akil ake

Nakukubari San but watanganyika wengi wetu akil tumetoa shule za kata
 
Back
Top Bottom