SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,096
- 75,541
Mbona wameshaponzeka hawa,Angalieni hizo dharau zenu zitawaponza.
Mbona wameshaponzeka hawa,Angalieni hizo dharau zenu zitawaponza.
Mhaya wa ajabu ajabu kama wewe hayupo.... kwanza hujajibu mleta mada alicho uliza..... Oli mfela.....unajadil upuuzi kwenye mada ambazo watu wanalia, wameumizwa kwa risasi na mapanga na kumwaga damu,kufa ..., wamefungwa na hawajui kesho yao.....Oli mfela mno.....Pengine inawezekana uko sawa hafai ,,,,kwa hiyo ndio mnataka mumtoe kwa njia ya waraka na maandamano? ikulu hakuna njia ya mkato ukitaka njia ya mkato lazima utenguke kiuno....hahahaha kumbe mnataka kwenda ikulu kwa kupitia waraka ....hahahaha
Unajuaje? Na je kama wewe ndo utatangulia kabla yake?mpaka atakapomaliza muda wake 2025 na utakuwa umeshafariki wew
Katiba ibadilishwe aendelee kutawalaYanamaanisha kwa mambo makubwa ambayo rais Magufuli analifanyia taifa hili, hakuna haja ya kufanya uchaguzi wa rais 2020, rais Magufuli aachwe tuu and lets save money, time and resources.
P
Muulize uende nchi gani wakat Tz ndo kwako.... tutapambana hapahapa..... kadri muda unavo enda watz wanazidi kumwelewa hy jamaa yetu na soon watatenda. .. ... na atakae kimbia nchi ni pamoja na hao wachumia tumbo wake wanao andika wasicho kiamini ili wapate mkate wao.....Hao Marais feki walitokana na chama gani?
hakunaga umungu mtuuUnajuaje? Na je kama wewe ndo utatangulia kabla yake?
Au na wewe umeamua kujipa U-mungu mtu kama mzee kipara?
Naunga mkono hoja na pia nimeshauri hiviKatiba ibadilishwe aendelee kutawala
Wengi tutakuwa hatupo njaa na risasi.mpaka atakapomaliza muda wake 2025 na utakuwa umeshafariki wew
Thinks niko poa.Asante bro, uwe na amani na siku njema kwako.
Jumapili njema..na karibu kwenye uzi ulioanzishiwa mahali japo Jina pascal limetumika kufikisha ujumbe mahali.
Pascal Mayalla
Case in point.Siku wenye akili mbovu kama yako wakifa
Haya ya Mtu mzima!!??Yanamaanisha kwa mambo makubwa ambayo rais Magufuli analifanyia taifa hili, hakuna haja ya kufanya uchaguzi wa rais 2020, rais Magufuli aachwe tuu and lets save money, time and resources.
P
Viongozi wa dini achaneni na siasa. Hubirin mambo ya kuponya roho tu. Siasa na wanasiasaNaunga mkono hoja na pia nimeshauri hivi
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
P
Sio kila maandishi/maandiko ni kwaajili ya uelewa wako.Pasco unachoweza ni kuandika tu. Lakini huna msaada kwa jamii ya sasa.
Hilo ntakuambia bila kumung'unya maneno.
Kwenye JF umepewa kazi ya kusema sana kuhusu kijarida cha "The Economist",, ingawa unaweka mafumbo mafumbo yasiyo na maana.
Kama the Economist ni wachochezi ..je na hawa maaskofu wetu?!
Halafu kuandika kwa mafumbo ktk jamii ambayo wengi uelewa wao umeharibiwa ni kufeli kwa mwandishi kufikia hadhira.
Nakuambia usijisifu eti ooh uandishi wangu wa hali ya juu hivyo watu hawanielewi.
Maana hadi unamwambia BAK apande kiwango ndo akuelewe.
Huko ni kufeli ktk uandishi..
Ni sawa na Mwl aseme wanafunzi hawanielewi kwa sababu najua sana.
Acheni mambo ya ukanda. Mnatuharibia nchi
Naomba link ya huo uzi.karibu kwenye uzi ulioanzishiwa mahali japo Jina pascal limetumika kufikisha ujumbe mahali.