Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Wakongwe na wajuzi wa siasa tujuzeni vijana wa juzi juzi. Hivi rais kuonekana na kukubali kushindwa katika kiwango ambacho kila mmoja wetu ataona kwa mtazamo huo, NI MPAKA AFANYE AU KUSHINDWA kufanya nini.
Sihiitaji kuorodhesha mambo ambayo ni msingi wa kukua na kushikamana kwa nchi ambayo Rais wetu ameonekana kushindwa kabisa na hana muda wa kupambana kuyashinda. Sasa ni mpaka mambo yawe makubwa kiasi gani ili ionekane dhahiri kushindwa.
Nyaraka mbili muhimu sana zilizotolewa na makanisa Katoliki wakati wa kuanza kwaresma na hii iliyotolewa na Kanisa langu la Lutheran zimeweka wazi kuwa Rais kushindwa.
Tunataka mpaka afanye nini ili tuongee lugha moja kama wananchi.
Kwa umri wangu mdogo nimepata kuona wananchi wakipiga chini Rais wa Brazil na huyu wa South Afrika Jacob Zuma. Hawa waliambiwa wazi kuwa nyinyi ni watu wa hovyo.
Je sisi kibongobongo ni mpaka Magufuli atufanye nini