Rais Magufuli mpaka afanye nini ili idhihirike hafai?

Rais Magufuli mpaka afanye nini ili idhihirike hafai?

Pengine inawezekana uko sawa hafai ,,,,kwa hiyo ndio mnataka mumtoe kwa njia ya waraka na maandamano? ikulu hakuna njia ya mkato ukitaka njia ya mkato lazima utenguke kiuno....hahahaha kumbe mnataka kwenda ikulu kwa kupitia waraka ....hahahaha
....Aiseee kwa hiyo mnataka kuwatengua viuno waliotoa waraka? Hamtaki tena kuombewa?
 
Huwezi kuona hoja zangu kwa kuwa wewe ni kada wa Lumumba. Wakati hujawahi kukemea kauli na matendo ya huyu dhalimu ikiwemo matusi na mauaji mie kumuita
dhalimu inakuuma sana! Unataka nimuite MTUKUFU!!! KAMWE siwezi kuwa mnafiki wa kumuita binadamu dhalimu MTUKUFU!!! Sahau hilo kabisa

Kwa mara nyingine huna mamlaka ya kuniamulia namna ya kuandika humu. Anzisha forum yako huko utaweza kunipangia niandike nini lakini si humu. Acha kujibaraguza!

Hahaaa kasome kozi ya philosophy utajifunza namna ya kujenga hoja,
Iko hivi:-
Huwezi kuonekana mwema kwa kufuata au kutenda matendo sawa na unayemkosoa halafu ukataka wewe uonekane na hekima.
 
tatizo ccm kuna vijana wengi wanaotumika kinyume na maumbile..
sasa hawa ni ngumu kumuona mnyarwanda hafai..
 
Huwezi kuona hoja zangu kwa kuwa wewe ni kada wa Lumumba. Wakati hujawahi kukemea kauli na matendo ya huyu dhalimu ikiwemo matusi na mauaji mie kumuita
dhalimu inakuuma sana! Unataka nimuite MTUKUFU!!! KAMWE siwezi kuwa mnafiki wa kumuita binadamu dhalimu MTUKUFU!!! Sahau hilo kabisa

Kwa mara nyingine huna mamlaka ya kuniamulia namna ya kuandika humu. Anzisha forum yako huko utaweza kunipangia niandike nini lakini si humu. Acha kujibaraguza!
Nani kakwambia hayo maneno ya kuita mtukufu?
Don't force others to comply with you!!
Thankiu
 
Mashabiki na Wafuasi wa upinzani uwa mna short temper ya ajabu, halafu kwasababu mnajua kupiga kelele basi mnadhani mpo wengi lakini matokeo yakitoka mnabaki mnashangaa. Mtajifunza lini?
....Kuna uchaguzi nowadays au kuna ulanguzi?
 
Evidence please of any line where I forced you to comply with me.

Nani kakwambia hayo maneno ya kuita mtukufu?
Don't force others to comply with you!!
Thankiu
 
Katiba ipi?, au ivunjwe mara ngapi?!. Kuhusu uchaguzi wa rais, 2020, kwenye politics, kuna kambi mbili kuu, kuna kundi la wishful thinkers ambao watataka kumsimamisha mgombea kushindana na Magufuli kwa sababu ni haki yao kusimamisha mgombea huku waki wish, watashinda.

Na kuna kundi la ma realist ambao tunajua for sure, hakuna mgombea wa kushindana na Magufuli na bado akaambulia kitu!. Hivyo uchaguzi huo ni igizo tuu la uchaguzi!. Lets save time, money and resources.
P
Nimekuelewa kuwa Jp hatakubali kushindwa, hivyo tayari amejiandaa na kuweka mazingira kumaliza 10yrs kwa namna yoyote
 
Yanamaanisha kwa mambo makubwa ambayo rais Magufuli analifanyia taifa hili, hakuna haja ya kufanya uchaguzi wa rais 2020, rais Magufuli aachwe tuu and lets save money, time and resources.

P
Ila Huyu mtu namheshimu sana Lakini...Hatubezi kwamba Rais hajafanya chochote,Lakini ni kweli amefanya Makubwa kiasi cha kutokua na Haja ya Uchaguzi?Nahisi unampigia chapuo kwa sababu ya Ukabila tu na Si kujificha kwenye Kichaka cha utendaji
 
Huna hoja wewe unakurupuka kuandika upuuzi wako nakuomba ushahidi huna ushahidi sasa unajibaraguza eti too tempered!!!! 😱😱😱😱 Tangu lini kuomba ushahidi ili uthibitishe ulichoandika ni kuonyesha hasira!?

Ujuha wenu mwisho lumumba humu hamna mamlaka ya kumpangia yoyote yule aandike mtakavyo nyinyi.

Hahaaa!! Too tempered though!!
 
Huna hoja wewe unakurupuka kuandika upuuzi wako nakuomba ushahidi huna ushahidi sasa unajibaraguza eti too tempered!!!! 😱😱😱😱 Tangu lini kuomba ushahidi ili uthibitishe ulichoandika ni kuonyesha hasira!?

Ujuha wenu mwisho lumumba humu hamna mamlaka ya kumpangia yoyote yule aandike mtakavyo nyinyi.
Kuzuiwa kutukana wengine ndio kuamrishwa?
 
Kwa mamlaka gani uliyokuwa nayo humu!? Wapi humu ulikemea matusi ya dhalimu dhidi ya wastaafu na Watanzania? Au yeye ana RUKHSA ya kuwatukana Watanzania bila kukemewa!?

No more moments with cheap mind!! Byee!
 
Pengine inawezekana uko sawa hafai ,,,,kwa hiyo ndio mnataka mumtoe kwa njia ya waraka na maandamano? ikulu hakuna njia ya mkato ukitaka njia ya mkato lazima utenguke kiuno....hahahaha kumbe mnataka kwenda ikulu kwa kupitia waraka ....hahahaha
Tatizo hawawezi kumtoa kupitia sanduku la kura ndiyo sasa wanatafuta njia mbadala. Wameshindwa asubuhi yupo JPM hadi 2025
 
Unfortunately cheap mind is in the state house and people all over our beautiful country including religious leaders are tired of his antics.

It is about time to tell him that ENOUGH IS ENOUGH!!

Alutta continua! continua!

No more moments with cheap mind!! Byee!
 
Labda mpaka ampige mtu hadharani
Hata akimpiga mtu hadharani bado wale wasiojali maslahi ya umoja wa kitaifa ambao wapo kwenye nafasi za kiuongozi watatafuta jinsi ya kuhalalisha kitendo jicho ovu.
 
Kwani kufaa au kutofaa kunapimwaje ili na mm nichangie maana tamu na mm nilivyo na hasira mkuu lete vigezo nitiririke hapa
 
Back
Top Bottom