kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,022
- 11,966
Da mkuu una mimba ya chadema?Ni kweli kabisa.
Chadema wamekalia majungu tu kuhusu Corona!
Da mkuu una mimba ya chadema?Ni kweli kabisa.
Chadema wamekalia majungu tu kuhusu Corona!
Ni kweli kabisa.
Chadema wamekalia majungu tu kuhusu Corona!
Hapa bungeni tuna vyama vitatu CCM, Bawacha na ACT wazalendo by Ndugai!Da mkuu una mimba ya chadema?
Kabisa. Maana wabunge, RC, RAS, DC na madiwani wote Tabora ni Chadema na wamebaki kupiga majungu kuhusu Corona tu.Ni kweli kabisa.
Chadema wamekalia majungu tu kuhusu Corona!
Haya nayo ni majunguKingine, huo Mji umekaliwa na Waarabu wengi. Waarabu ni sumu kwenye miji ya Kiafrica. Sijui huwa Wana laana gani? Perhaps ni ile status yao wakati wa ukoloni - second citizens
Bwashee, kwa maelezo ya Mwenyekiti ni kwamba Ccm ni chama cha majungu!! Yaani huko mko busy tu kupika majungu!!
Hamfanyi maendeleo, nyinyi ni majungu tu!!