Rais Magufuli: Majungu hayajengi na wala hayaleti maendeleo

Kingine, huo Mji umekaliwa na Waarabu wengi. Waarabu ni sumu kwenye miji ya Kiafrica. Sijui huwa Wana laana gani? Perhaps ni ile status yao wakati wa ukoloni - second citizens
Haya nayo ni majungu

Na bila shaka wewe sio mwarabu,
Sasa imekuwaje tena? Unapika majungu🤣🤣🤣
 
Siyo majungu tu yasiyo jenga! Hata ubinafsi, ukaidi, ubabe, ukatili, ubaguzi, ukabila, dhuluma, uonevu, uuaji, nk. Vyote hivi navyo havijengi.
 
majungu hayajengi,
tunahitaji viongozi wanao weza kung'amua kuwa haya ni majungu na ukweli, sio kiongozi unapokea majungu na kuyafanyia kasi utawaumiza watu wasio na hatia.
kwakweli majungu ni tabia inayo paswa kukemewa na kila kiongozi ktk nafasi yake.
moja ya tabia iliyo ota mizizi kwa watanzania ni kupigana majungu, sio Tabora tu bali kila kona ya nchi
 
watanzania walio wengi haswa watumishi wa umma wanatabia ya kupigana majungu sana na endapo utakutana na kiongozi anayependa na kuendekeza majungu na fitina basi lazima yule aliye pigwa jungu aumie.
sio Tabora tu bali ni kila ofisi za serikali utakuta wao kwa wao wanapogana jungu la kufa mtu.
ni wakati sasa kwa viongozi wote kukemea kwa vitendo tabia za majungu maofisini. na ikiwezekana wale wote wenye tabia za kuwapiga majungu wenzao wabainishwe na wachukuliwe hatua kali, kwani majungu yakiachiwa tutapoteza viongozi bora, maaana ukifanya utafiti mdogo utabaini wale wote wanao pigwa majungu ndio wachapa kazi hodari na wako makini na kazi hao ndio huchafuliwa kwa majungu.
watendaji wengine igeni mfano wa mhe. Rais kwa kukemea majungu ktk vitengo vyenu.
 
Bwashee, kwa maelezo ya Mwenyekiti ni kwamba Ccm ni chama cha majungu!! Yaani huko mko busy tu kupika majungu!!

Hamfanyi maendeleo, nyinyi ni majungu tu!!

Ahaaa ahaaa wako ccm wenyewe Majungu yanatoka wapi? Magufuli awe mkweli tu, anasema hata wapiga kura walikuwa wachache huko Tabora, kwani ni wapi kulikuwa na wapiga kura wengi? Magufuli ndio sababu ya watu kuacha kupiga kura, kwani anatumia madaraka yake vibaya kulazimisha ushindi kwa ccm. Asitake kusingizia mambo mengine.
 
Badala ya kusolve matatizo ya wizi na ufisadi unaofanywa na mkuu wa wilaya kufisadi milioni mia nane za ujenzi wa madarasa na michango ya madawati kasingizia majungu kumuokoa mkuu wa wilaya swahiba wake huku akiwa anaujua ukweli .
 
Back
Top Bottom