Rais Magufuli lengo lake ni jema kuhusu Sukari, lakini akatumia approach isiyo sahihi

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,263
104,002
Kama tuna nia ya dhati ya kumsaidia Rais Magufuli kutatua changamoto ya sukari nchini, hatuna budi kumshauri kitaalamu, na sio kishabiki. Majuzi niliweka andiko hapa juu ya crisis ya sukari nchini nikieleza mbinu za kiuchumi za kukabiliana na changamoto hii na sio kutumia ubabe.

Kama kweli unaipenda Tanzania na unamtakia heri Rais JPM afanikiwe ni vizuri kumshauri, kumpongeza na kumkosoa pale anapoteleza. Kuna watu wamenifuata inbox wanalalamika "Malisa hii serikali haina jema kwako, kila siku kuiponda?"

Kwanza nieleza wazi kuwa huwa sipondi serikali. Kuponda maana yake ni kupinga tu bila kuwa na hoja. Mimi huwa nafanya "intellectual critics" (kukosoa kwa hoja na kushauri kwa kupendekeza alternatives ili kuleta ustawi kwa wananchi). Na Hii ndio maana ya usomi.

Rafiki yangu mmoja yeye kila jambo analofanya Magufuli anashangilia na kusema "NINA IMANI NA MAGUFULI". Ni jambo jema kuwa na imani na mtu lakini kama humsaidii wala kumshauri pale anapoteleza imani yako haina maana. Lazima tujifunze kuwa critical na tuelewe kuwa kukosoa si dhambi, hasa kama ukosaji unafanywa kwa maslahi ya taifa.

Haiwezekani sukari imefika Sh.4000 katika baadhi ya maeneo ya nchi, halafu sisi tunashauri alternatives za Rais kufanya ili kutatua tatizo hili tunaonekana wabaya. Huku wengine wakishangilia kuwa WANA IMANI na Rais. Hiyo imani yako kwa Rais itakusaidia nini kama bibi yako atashindwa kunywa chai kutokana na mfumuko wa bei ya sukari? Hata mimi nina imani kubwa sn na mama yangu lakini anapoteleza huwa namwambia "my lovely mamito hapa umechemsha".Then namshauri njia bora ya kufanya asiteleze tena.

Kupiga tu makofi kwa Rais kuwa una imani nae ni uzwazwa. Hata waliomuangusha JK wengi ni wale waliokua wakimpigia makofi na kuimba kuwa wana IMANI nae. Tuliomkosoa tukaonekana wabaya, leo JPM anamkosoa JK kwa mambo yaleyale, lakini cha ajabu watu walewale walioimba kuwa wana imani na JK ndio haohao wanaomshangilia JPM. Uzwazwa.!

Sasa turejee kuhusu hili la sukari. Kwanza nipende kuweka wazi kuwa hakuna mtu mwenye lengo la kuona watanzania wanataabika. Hakuna mtu mwenye nia ya kuona watu wakishindwa kunywa chai kwa kukosa sukari. Hakuna mtu aliye tayari kuona sukari ikiuzwa Sh.5000/= kwa kilo.

Kwahiyo both "wakosoaji" na wale "washangiliaji" wa JPM wote tuna nia moja ya kuona bei ya sukari ikipungua. Tatizo ni kwamba tunatofautiana approach.

Washangiliaji wanaamini approach anazotumia JPM ni sahihi na hazitakiwi kukosolewa. Yani wanamuona JPM ni kama malaika hawezi kukosea, na kumkosoa ni dhambi. Kwahiyo akisema hakuna kuingiza sukari nje bila kibali maalumu wanashsngilia, bei ikipanda wanalia, lakini tukishauri wanakasirika. Kichekesho. Wanasahau kuwa JPM nae ni binadamu na ana madhaifu yake.

Binafsi naamini tangu mwanzo kabisa wa suala hili JPM alikosea approach. Na makosa ya Rais wetu huyu mpendwa ndiyo yanayotugharimu hadi hivi sasa. It was one mistake with several goals. Wenye "upeo" tuliona Rais kakosea, lakini tuliposema tukaonekana wabaya. Washangiliaji wakaendele kushangilia kuwa wana IMANI na Rais. Leo wameona matokeo wanaanza kulia.

Ngoja nieleze kwa kifupi ni kwanini apprpach aliyotumia JPM tangu mwanzo ilikua na makosa, na ni kwanini approach anazoendelea kutumia hadi sasa haziwezi kusaidia badala yake zitafanya hali kuwa mbaya zaidi.

‪#‎MOSI‬
Ikumbukwe kabla ya February 18 Rais JPM alipotoa katazo la kuzuia sukari ya nje "bila kibali maalumu" hakukua na tatizo la sukari nchini. Sukari ilikuwepo ya kutosha na iliuzwa kwa bei ya kawaida. Lakini baada ya tangazo la Rais tatizo likaanzia hapo. Sukari ikaanza kukosekana na ikaanza kupanda bei kiholela. Kwa hiyo tamko la Rais ndiyo chanzo cha leo kununua sukari Sh.4000/= kwa kilo.

Swali ni je Rais alizuia sukari ya nje kwa nia mbaya? Jibu ni hapana. Rais alikua ana nia njema ya kulinda viwanda vyetu vya ndani (infant industries) dhidi ya viwanda vikubwa vya nje. Viwanda vyetu bado ni vichanga (infant) kwahiyo tusipoweka njia nzuri za kuvilinda, vitakufa kutokana na ushindani wa nje. Hii ni mbinu ya kawaida kbs ktk uchumi iitwayo Protectionism.

Kwahiyo LENGO la JPM lilikua jema ila NJIA (approach) aliyotumia ni MBAYA. Na hili ndio tatizo kuwa la Rais wetu. Ana MALENGO MAZURI sana juu ya Taifa letu lakini anatumia NJIA ZISIZO SAHIHI kufikia hayo malengo. Matokeo yake anakwama njiani.

Ndio maana Mbowe aliposema JPM ana nia njema ya kulifikisha taifa hili mahali fulani lakini hata yeye mwenyewe hajui ni wapi, watu walimbeza. Lakini ndio ukweli. Serikali haikutakiwa kumbeza Mbowe bali kuchukua ushauri wake na kuufanyia kazi. Wakae na Rais wajue nia yake ya kule anakotaka kufika halafu wamshauri njia ya kufika. Tusipomshauri njia sahihi za kutumia atashindwa kufikia malengo yake.

Kwa mfano hili la sukari alisema "nasitisha uagizaji wa sukari ya nje kuanzia leo". Hii si sahihi. Na bahati mbaya washauri wake hawakumshauri vizuri. Bila shaka nao ni walewale wa kuimba mapambio ya kwamba wana imani na JPM.

Hakutskiwa kuzuia uingizwaji wa sukari kwa ghafla (kuanzia leo). Masuala ya kiuchumi huwezi kufanya drastic channge bila kuleta athari kwa wananchi. Kwahiyo Rais angeweza kutoa mwezi mmoja under ceteris peribus ili watu wajipange.

Kisha hakupaswa kuzuia sukari yote kutoka nje. Alitakiwa kuruhusu iingie kiasi fulani kucover deficit. Kumbuka demand ya sukari nchini ni tani 420,000 lakini uzalishaji wa sukari kwa viwanda vya ndani ni tani 300,000 tu. Kwahiyo tuna deficit ya tani 120,000. Hizi Rais Magufuli alitakiwa aruhusu ziendelee kuingizwa.

‪#‎PILI‬
Kwa kuzuia sukari kutoka nje, wafanyabiashara wakubwa (tycoons) wametumia mwanya huo KUMHUJUMU Rais. Wamenunua stock yote ya ndani na wanaitoa kwa kujisikia, wakijitetea kwamba uhaba wa sukari unatokana na kuzuiwa sukari kutoka nje. Nahati mbaya Rais JPM nae akaingia ktk mtego huu. Akaagiza serikali kununua sikari tani 100,000 (kwa mujibu wa Waziri mkuu) ili kucover hiyo deficit iliyosemwa kuwa ipo. Another WRONG APPROACH.

Kama ni kamari tunasema kete ya JPM imeliwa. Hawa "matycoon" walikua wanamtega JPM na bahati mbaya hakuelewa huo mtego. Akaagiza serikali inunue hiyo sikari iliyopelea. Hili ni kosa. Rais hakutakiwa kuiambia serikaki inunue sukari kucover deficit. Alitakuwa awape hao "matycoon" msalaba huo waubebe wenyewe ili aweze kuwawajibisha. Waswahili husema mchawi mpe mwanao akulelee.

Ikiwa hawa matycoon wanaojiita "wadai wa sukari" wangeruhusiwa kuagiza hiyo sukari iliyopelea lazima wangetoa na ile waliyoificha, ili wasionekane waongo. Lakini kwa kuwa serikali imejitwika msalaba huo, hawa jamaa watakaa kimya na hiyo sukari ya nje ikifika hawatatoa ya kwao waliyoficha.

Kwahiyo sukari ya nje itakuja lakini bado tatizo la sukari litaendelea kuwepo. Kama huamini subiri wiki ijao ifike then uone kama bei ya sukari itapungua madukani. Hii ni trick ambayo serikali wameshindwa kuishtukia.

‪#‎TATU‬
Serikali kutumia ubabe kutatua changamoto ya sukari, WRONG APPROACH. Uchumi ni sayansi, na changamoto zake hutatuliwa kwa mbinu za kisayansi si ubabe. Ukitaka kuamini ubabe hausaidii kwenye uchumi kamuilize mzee Mugabe.

Katika Ulimwengu wa ubepari ambapo njia kuu za uchumi zimeshikiliwa na watu binafsi ni ngumu serikali kutumia ubabe na kufanikiwa. Hawa matycoon wanachofanya sasa hivi ni kutunishiana misuli na serikali lakini anayeumia ni mwananchi.

Kwa mfano leon nilikua Nzega jamaa mmoja wa duka la jumla alikua akiuza sukari mfuko wa kilo 25 kwa Shilingi 54,000/=. Baada ya muda akafunga duka kwenda kula. Aliporudi akasema mfuko ni 60,000/=. Yani kajisikia tu kupandisha baada ya kuona wateja ni wengi.

MY TAKE.!
Hii ni vita kati ya mabepari against serikali. Vita hii inaweza kuchukua muda mrefu kuisha huku wananchi wakizidi kiteseka maana wao ndio wahanga wakuu. Na ubaya ni kwamba hawa mapepari wana mbunu nyingi "chafu" za kupambana na dola. Hata kama watashindwa ktk vita hii lakini watakua wameshaumiza sana wananchi.

Kwahiyo mwambieni Rais JPM asome kdg kuhusu CAPTAIN OF INDUSTRY ataelewa kuwa ubabe sio mbinu sahihi ya kukabiliana na changamoto za kiuchumu. Kuna mambo yanahitaji ubabe lakini si uchumi. Mimi binafsi naunga mkono ubabe kwenye baadhi ya mambo lakini sio masuala ya kiuchumi. Uchumi una formular zake, una principle zake. Letz abide the formulars.

Huko Amerika wakati wa Sugar Revulution "matycoon" wa huko walihujumu serikali zao hadi kuhakikisha viwanda vyote vya sukari vya serikali vimekufa ili waruhusiwe kuanzisha vyao maana vya serikali vilikua vinawawekea "kauzibe"

Sasa sitaki na sisi tufike huko. Japo tunaweza kufika huko tusipokua makini. Wale rafiki zangu wanaoimba WANA IMANI NA MAGUFULI kwenye kila afanyalo inabidi wakae kimya kidogo kipindi hiki wasije wakatuponza. Au wakizungumza wamshauri JPM kitaalamu na apime kabla ya kuchukua maamuzi.

Narudia kusema; Kumshangilia Rais na kuimba kuwa una imani nae hata anapoteleza humsaidii, unampoteza. Masuala ya kiuchumi hayatatuliwi kibabe. Lazima JPM akubali kuwa yeye ndiye aliyekosea (from the first attempt) hadi tulipofikia. Si lazima akiri hadharani kuwa alikosea. No. Anapaswa kujua Moyoni kuwa yeye ndiye kiini cha tatizo la sukari nchini.

LENGO lake lilikua JEMA lakini akatumia APPROACH isiyo SAHIHI. Akatuponza.

Kwahiyo atafute wadau wa sukari akae nao na kujadili suluhisho. Awaruhusu waingize sukari lakini ktk kiwango cha kucover deficit tu, na azuie serikali isiendelee kuigiza sukari nchini. Kwa kufanya hivyo tutakuwa tumesolve tatizo la sukari, wakati huo tukijipanga kutafuta long term plans ili tuzalishe sukari ya kujitosheleza na kuacha kuagiza kutoka nje.
 
Hahahahahahaaaaa. Eti atafute wadau wa sukari akae nao. Pambafu sana wewe. Hawa hawa wanaoficha sukari sasa akae nao meza moja? Magufuli hayupo cheap kiasi hicho. Mnataka akifanya hivyo mgeuze story. Ameshafanya maamuzi kuwa hao walioficha sukari watakiona na hawatakuja kufanya tena biashara. wanachezea maisha yao. full stop
 
Mawazo mazuri sana

Je kwa hiki kilichotokea sasa cha kuchukuliwa sukari yao waliyokaificha na kuamua kuigawa bure nini athari yake?
 
Le kumkoma nyani giladi in Le mutuz voice, Mi natazama movie tu hii ni zaidi lord of the ring.
 
Hahahahahahaaaaa. Eti atafute wadau wa sukari akae nao. Pambafu sana wewe. Hawa hawa wanaoficha sukari sasa akae nao meza moja? Magufuli hayupo cheap kiasi hicho. Mnataka akifanya hivyo mgeuze story. Ameshafanya maamuzi kuwa hao walioficha sukari watakiona na hawatakuja kufanya tena biashara. wanachezea maisha yao. full stop

Yaani wewe bado upo kwenye kampeni tu? wenzio washatoka huko, zungumzia hoja iliyopo mbele yetu acha hoja za kishabiki!!
 
Unasema magufuli katumia approach mbaya, wakati wew vilevile una very idiotic approach, yaani awape mzigo waku cover deficit ya sugar wakati wao walionayo wanaficha, sasa unamshauri nin wakati mpendekezo yako nikuteketeza wananchi zaidi, ni wakati mtambuekuendesha nchi sio kama familia hii haiendeshwi kwa hisia au hulka, be critical
 
Unazo akili nyingi lkn huna maarifa..........
 
Hahahahahahaaaaa. Eti atafute wadau wa sukari akae nao. Pambafu sana wewe. Hawa hawa wanaoficha sukari sasa akae nao meza moja? Magufuli hayupo cheap kiasi hicho. Mnataka akifanya hivyo mgeuze story. Ameshafanya maamuzi kuwa hao walioficha sukari watakiona na hawatakuja kufanya tena biashara. wanachezea maisha yao. full stop
Zwazwa
 
Mi nimekuelewa sana, lakini pia sidhani kama serikali inatakiwa kupigia magoti matycoon. Halafu kitu kingine umesahau mguu, Magufuli hasikilizagi ushauri. Ye akiamua kitu haulizi mtu. Hiyo ndio problem. Kabla sijasoma post yako hata mimi nilikuwa nashangilia kila kitu anachofanya. Sasa hivi hili la sugar nalielewa kidogo. Lakini je, alipiga marufuku bila kujali deficit? Source yako ya hiyo taarifa ya deficit ni ipi? Inaweza kuwa hakuna deficit wala nini, unaweza kuta ni kikundi tu kimepiga hesabu kama zako kinataka kucheza nae awajue wao ni zaidi. Sijui!!
 
Mazoea yana shida
Nyie ndio wale wale, WAKIGUSWA SERIKALI ITAYUMBA.
Kuficha sukari ni uhujumu uchumi. Kama walikuwa wanafanya awamu zilizopita sio awamu hii. Wasubiri kiwembe cha Magufuli kiwapitie.
 
Hahahahahahaaaaa. Eti atafute wadau wa sukari akae nao. Pambafu sana wewe. Hawa hawa wanaoficha sukari sasa akae nao meza moja? Magufuli hayupo cheap kiasi hicho. Mnataka akifanya hivyo mgeuze story. Ameshafanya maamuzi kuwa hao walioficha sukari watakiona na hawatakuja kufanya tena biashara. wanachezea maisha yao. full stop
Pole kwa kushangilia huku mkuu wako akianguka
 
Ni vizuri kuwa critical thinker. Yaani QUESTIONING ANSWERS THAN ANSWERING QUESTIONS.
Umejitahidi article yako ya leo, mwambie na VUTA-NKUVUTE akuige.
Pia ungekuwa unafanya ka-editorial ktk gazeti la Mwanahalisi, unaweza make ka fortune fulani na hivi vi article vyako.
 
Binafsi nimekuelewa sana.. Tatizo JPM anafanya mambo kwa mhemko sana.
Kati ya wewe na Magu naona wewe ni mkurupukaji na mhemukaji. Umesahau kuwa bodi ya Sukari ilisha pokea malalmiko kutoka kwa hawahawa wafanyabiashara kuwa sukari ya ndani haiuziki sababu ya sukari inaagizwa kutoka nje na kwamba imejaa katika maghala na CHADEMA ikawa inaishauri serikali kuzuia vibali na wakti huo mzee wa msoga alikua ni mpangaji magogoni hakuwasikia sasa kafika mpangaji mwingine magogoni anyeendana na sera zenu CHADEMA naye mnampinga sasa sijui sisi wanachi tufuate lipi???? KWELI KWA MTAJI HUU HAMUWEZI MKAJA MKAPEWA NCHI NA HUYU MAGU ATAWASAMBARATISHA MAANA PAMOJA NA UIGIZAJI WAKE WA MOVIE WANANCHI WANAMUAMINI ZAIDI KULIKO UPINZANI MAANA KOSA LAO KUBWA WANAPINGA KILA KINACHOFANYWA HATA KAMA NI KIZURI NA AWALI WALIKIPENDEKEZA.
 
Back
Top Bottom