Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,109
- 26,001
ITV leo wapende wasipende hili la mapigano ya wafugaji na wakulima linawaweka mahali si pazuri.
ITV, haipiti siku mbili lazima watarusha migogoro ya wafugaji na wakulima huko Mvomero.
Na mimi nimejiuliza mara nyingi, hawa wafugaji wana ubia na ITV?
MARA NYINGI KAMA SI ZOTE, wafugaji ndio wamekuwa wachokozi, maana wakulima wako maeneo yao ya asili wakati wafugaji wamesafiri all the way toka mikoa ya kaskazini.
ITV huwa tunawashangaa na asante Rais kumbe nawe linakukera.