cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 26,776
- 73,522
Hapa kazi tu
Magufuli oyeeeee
Magufuli oyeeeee
cheupe dawa atakuwepo Kama Waziri wa madini??View attachment 733424
Haya wakuu,ni mwendo wa kuonyesha kazi kwa vitendo,sasa ni uzinduzi wa Ukuta wa Mirerani uliojengwa na Jeshi la Kujenga Taifa kwa kushirikiana na Wizara ya Madini.
Tukutane Mirerani-Manyara,siku ambayo RC Mnyeti ataunguruma mbele ya Rais wa nchi.
Kuna tatizo akizindua yeye??Nilikuwa naona Mawaziri ndo wanazindua pamoja na wakuu wa mikoa na Wilaya. Ila kwa sasa tutarajie hadi Daraja la kuunganisha mtaa kwa mtaa likizinduliwa na mkuu
Devotion, when you devote then you care a lot!Jamaa hachoki asee yuko bize kinoma
Hakuna tatizo ila hao wa chini yake basi wanalipwa mishahara ya bure.Kuna tatizo akizindua yeye??
awamu hii atawapoteza wengi hata wale waliowateule ndani ya chama,hachoki anahakikisha kila mradi usomeke umezinduliwa na...............Hahaha hahaha nimecheka sana yaani ukuta unazunduliwa na rais wa nchi badala ya mkuu wa wilaya ama mkoa?!!! Nchi hii kweli imepatikana
Kwenye kazi yuko vizuri.... Ila vitu vingine angekuwa anawaachia mawaziri husika sio kila kitu yeye.....Hapa kazi tu
Magufuli oyeeeee
pole ka kupigwa ban ulimtukana nani?Hongera kwa vijana wetu wakakamavu wanaostahili heshima ya kipekee.
Ni wapi imeandikwa kuwa kazi yao wa chini ninkuzindua miradi ili walipwe??Hakuna tatizo ila hao wa chini yake basi wanalipwa mishahara ya bure.
Kwani kuna sheria inavunjwa?Nilikuwa naona Mawaziri ndo wanazindua pamoja na wakuu wa mikoa na Wilaya. Ila kwa sasa tutarajie hadi Daraja la kuunganisha mtaa kwa mtaa likizinduliwa na mkuu
Kwani makaravati hayastahili kuzinduliwa na Rais?acheni wivu!Atazindua mpaka makaravati round hii
Labda anataka awapooze wafuasi wa mange wabadili nia.Jamaa hachoki asee yuko bize kinoma
Kuna mapya nadhani yamegundiliwa yana ukubwa wa ng'ombe ni vizuri kuyazuia yasitorokeUharibufu wa hela tu. Sasa liukuta la Nini! Yani madini yako ardhini mtu anayazungushia ukuta!