Rais Magufuli kuzindua ukuta katika migodi ya Tanzanite Mirerani

Huo ukuta kwa mbaaali naziona expansion joints! Ningependa kujua una urefu wa size gani!
 
Hivi kwa nini hajengi ukuta kuzunguka migodi ya dhahabu huko kwao Geita?
 
Akimaliza kuzimdua ukuta anaenda Arusha kuzindua nyumba za Askari, hakuna kupumzikaa,
IMG_20180403_184029.jpg
 
Kwani rais kuzindua ukuta Kuna ubaya... Kwa maana nyinyi si mmemtuma akafanye kazi ikulu, halafu kwani akizindua yeye Kuna ubaya gani au akizindua waziri au mkuu wa mkoa Kuna kitu kitabadilika?? Jamani halafu sio kila kitu tunabeza vyengine tuviache
 
Back
Top Bottom