Rais Magufuli kuzindua ukuta katika migodi ya Tanzanite Mirerani

Hahaha hahaha nimecheka sana yaani ukuta unazunduliwa na rais wa nchi badala ya mkuu wa wilaya ama mkoa?!!! Nchi hii kweli imepatikana
Baada ya ukuta pia atakua Arusha mjini kwa uzinduzi mwingine tarehe 7 April.

tapatalk_1522773642680.jpeg
 
Siku hizi ukienda shule yako ya chekechea, mzinduaji yupo ready ready!
 
Back
Top Bottom