Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 34,679
- 40,931
Rais magufuli atakua mgeni wa heshima katika mkutano wa mwaka wa taasisi ya mawakili ya afrika mashariki, utakaofunguliwa tarehe 25 na kumalizika 26 novemba,2016, katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa mwalimu nyerere, hapa Dar Es Salaam.
Mkutano huo utaongozwa kwa theme ifuatayo; enhancing business competition through a greater democratization in East Afrika.
Mawakili wote karibuni!.
Mkutano huo utaongozwa kwa theme ifuatayo; enhancing business competition through a greater democratization in East Afrika.
Mawakili wote karibuni!.