Rais Magufuli kutembelea China

Rais Magufuli kutembelea China

Mmm! Boeing 737 Max 8!Najua wazo lako na roho yako mbaya.Haendi na hiyo,anakwenda na ndege ya Rais, Dreamliner,Airbus A220-300 au Bombadier.
Dreamliner walisema inaanza kwenda China soon, nahisi ndo ataipanda. Kama Kenyatta alivyofanya KQ ilipoanza kwenda Marekani.
 
Every Tanzanian dream is to have a socialist economy in our country and that's what our President thinks of. Go! Go mr.President and open the socialist world for us
Usiishi katika ndoto. Ujamaa ulijifia kitambo, hata kwa China na Urusi umeprove failure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaelekea unawahusudu sana Wazungu mkuu,mbona ni washenzi wa kutupa.They do not have any moral value.
Mkopo ni Mkopo tu hata ukikopa kanisani au msikitini bila masharti bado definition yake haibadiliki na Hakuna free Mkopo. Zambia nao wanalia na wa China Tanesco yao na uwanja wa ndege umechukuliwa
 
China kitaleta imani ya wafanyabiashara wa China, hivyo Tanzania itakuwa kwenye nafasi ya kunufaika zaidi
Tanzania imekaa kwenye nyonga ya Afrika ambako China inaweza kunufaika zaidi,”
Naukumbuka huu wimbo wa yule mvuta bangi wa Temeke wa Mgambo wanavyoruka na kukanyagana!!!!!! .
yaani habari nzima inaelezea jinsi china itakavyonufaaika tu, hakuna neno wala.sentensi inayoonekana kuwa tanzania tutanifaika vipi na viwanda vya wachina. Badala ya kusema China na tanzania watajenga viwanda kwa mikataba ya ubia, wanasema china itajenga na itanufaika na soko kwa sababu tanzania ni nyonga ya afrika. Zaidi ya kwenda china kama kuwakomoa watu wa Magharibi na ulaya sioni sababu nyingine ya ziara ya china ya Magufuli.

Jamaa ni bora aaende china hata kam hakuna manufaa ili tu kuwaonesha Wamagharibi na Ulaya kwamba safri zake zimeanzia china.

Hopeless.
 
Wewe unawaza kwa nini??? Hivi mnaweza kuwaslap Western?? Iran amedumu sababu ni nchi tajiri nyie mtapumua? Wakikata kila kitu, au mnadhani Marekani TanZania inampa nini ambacho akikikosa uchumi utashuka
 
Mugabe alipotiliwa ngumu na wazungu naye alihamia huko akifikiri wangeweza kumsaidia lkn yaliyofuata ni kilio na simanzi. Zimbabwe ilipigwa nuks ya milele.
Uchumi wa Zimbabwe siyo kama wa Tanzania, wao ni wa mashamba makubwa na kununua vyakula kwenye supermarket. Sisi wetu unaendeshwa na wakulima/wafanyabiashara wadogo wadogo, tunanunua vyakula magengeni kwa hiyo siyo rahisi mtu kubonyeza kutufe akiwa huko na kuuzima uchumi wetu.
 
Amalize Kwanza huu mgao wa umeme wa kimya kimya Ndio , aende huko ............Kwanini kila kitu hasemi ukweli????? Nchi hii ni yetu sote sio Biashara yake
 
Maybe atakwenda kwenye safari ya uzinduzi wa route ya China ya 787-8

Wakina Nani watapanda hiyo ndege ya kwenda China na India wakati keshavuruga wafanyabiashara wote Labda yeye mwenyewe na hii Serikali iliyofeli kila kitu
 
Saafi sana hiyo.

Naona balozi Mbelwa Kairuki akiwa anajianda ipasavyo.
 
Back
Top Bottom