Rais Magufuli kutembelea China

Rais Magufuli kutembelea China

Hao wazungu mnaowaona kama vile ni watakatifu kila siku wanauana kwa kuchapana risasi mpaka wanaandamana kupinga silaha kuuzwa kama karanga mitaani.

Sijasema ni watakatifu nimesema wao ni bora. Au kwako utakatifu na ubora unafanana
 
Wapi kuna haki za binadamu mkuu,Marekani au Ulaya?Hamna lolote.Fuata link ifuatayo uone hali ilivyo Marekani.


Trump a Disaster for Human Rights in First Year

Mkuu haki za binadamu zinazopigiwa kelele Marekani sitakuwa sawa na zinazopigiwa makwetu? Acha utani kwetu bado sana. Makwetu waweza sotea dhamana miezi 4. Hata wa kusema sorry hutomwona kana kwamba huko ulikuwa honey moon tu.
 
Western countries ni bora kuliko maelezo. Magufuli anawapenda wachina maana hawajali demokrasia. Hata ukiua nusu ya wananchi wako, wao wanajali maslahi yao. Asichofahamu Magufuli, wachina wakiona nchi za magharibi zimekutema na wao wanatumia huo mwanya kukuteketeza.
Wanajua huna tena pa kwenda.

Na wachina hawatoi msaada, watakachompa ni mkopo wenye riba kubwa.
 
Huyo ameona ajinyoshe tu huko, China hamna lolote kabisa kwa maana halisi ya uwekezaji.

Mugabe alipotiliwa ngumu na wazungu naye alihamia huko akifikiri wangeweza kumsaidia lkn yaliyofuata ni kilio na simanzi. Zimbabwe ilipigwa nuks ya milele.

Hivyo mkiona na Magufuli naye eti anaenda huko, kisa wazungu wamemchunia kwa utawala mbovu, basi mjue ndio mwanzo wa kuuwa uchumi wa Tanzania. Time will bear me a witness.
 
Lissu ndiyo habari ya mjini kwa sasa !!
 
Back
Top Bottom