Rais Magufuli kutembelea China

Every Tanzanian dream is to have a socialist economy in our country and that's what our President thinks of. Go! Go mr.President and open the socialist world for us
"Every Tanzanian dream"??????????!!!!!!!!!!!!!!!! go back to school
 
Sawa Lumumba,this means ni busara tuka emulate miracle ya China kuliko ya nchi za magharika,a miracle which is now backfiring,jambo ambalo linaonyesha wazi kwamba all is not well.Lumumba tuache kuimba parrot songs ambazo nchi za magharibi wametufundisha na ambazo hazina ukweli wowote just because they are afraid that the cake will be taken away from them.Hakuna ubaya wowote wa Wachina,tuchukue mikopo yao,ila tulipe.Dawa ya mkopo wahenga walisema ni kulipa.
Binafsi wachina hata siwaogopi, bali nawaogopa viongozi aina ya Raisi Magufuli. Maana ni hatari sana kwa taifa kuliko hao wachina.
 
Anaenda kukopaa!!!!!!!!! Sisi ni matajiri sana
Tutalipa na nn hata machinga wanakimbizana kutoa ishirini,labda negotiations ya kubadilishana shida ya Jamaa maamuzi ya wengi ufanya yeye kama yye wasinegotion kwa makubaliano ya kupewa raslimali zetu, si ajabu tukasikia wamepewa ziwa Victoria au mlima Kilimanjaro au mbuga ya Serengeti, Jamaa anaamini sana kwenye kukopa kuliko kuchochea uzalishaji wa ndani kwa kuwajengea uwezo wa kuzalisha tuuze nje nadhani hadi miradi ya kiki za kuombea kura hadi ikamilike tutakuwa na deni kubwa kushinda la Ethiopia na China,MTU apendae kukopakopa si mzuri kwenye uchumi, shida uja hivi je hawa mashetani hoe hae wasioweza kupanda hata bombadia wataweza kulipia gharama za miradi hio?
 
Hizi mindset za kujua kiingereza ndo kufanikiwa akili zitatutoka lini watanzania, Marais wangap wamekuja Tanzania toka JPM aingie madarakani, je wote walikuwa wanajua kiswahili? na pia hata kama issue ni kiingereza mbona siku hizi katika technology ya leo huitaji hata mkalimani maana unaweka earphone sikioni una-switch kwenye lugha unayoielewa story zinaendelea ndo maana unafanyika mkutano wa watu kutoka mabara tofauti duniani na wote mnaelewana, tuukatae huu utumwa na kuzikomboa fikra zetu, hata shuleni wengu tu tiumesoma nao walikuwa mabingwa wa kuongea kiingereza mwisho wa siku walifeli so kiingereza ni lugha kama lugha zingine, kukijua kuongea haimaanishi kwamba ndo una akili sana!!!
 
Hahahaha chige jamaa yetu anaenda Uchina bwana. Angemsikiliza Jakaya mapema na kutokuleta unazi usio na mantuki leo hii asingefika hapa. Ooh bandari Bagamoyo blah blah, oooh SGR iende Kigali. Sasa wachina wameshajua ana shida, watamminya huko.
Unajua hapo kwenye RED ni maneno machache lakini yenye maana kubwa sana! Ile ya JK na Uchina ilikuwa "we need each other, let's be partners" lakini hii ya sasa Mchina ndani ya moyo anasema "you need us, so you have to suck our dick!"

JK kwa kweli ni wamadiplomasia hasa! Hivi yule jamaa aliweza vp kuwa-handle Uchina na Marekani kwa wakati mmoja?! Yaani alikuwa ni kama mtu ambae ikifika Jumapili, anaingia Kanisani kupiga sala na ikifika Ijumaa anaenda Msikitini, na waumini wa pande zote mbili wanamkubali kwamba mwenzao!!

Magu na Ujamaa Uchwara wake anaelekea kutaka kuchukua upande huku akisahau "you must be too smart to survive after taking side" though it's also true that, you must be even more smarter to concurrently handle a block of monstrous fire in your one hand and an iceberg in another!

I hate to say that, he's neither smarter nor smart... >>>Please God, Save Us!!

Bado naililia Bandari ya Bagamoyo! Mradi ambao ungezalisha viwanda ambavyo thamani yake ni mara bilioni moja zaidi ya uchafu wa Magu unaoitwa eti viwanda!

Ni bahati mbaya sana tuna rais ambae hafahamu aanze na nini na amalize na nini!! Kuna kila dalili endapo JPM angeanza urais wakati alipoanza JK, bado angeanza na ujenzi wa reli wakati nchi haikuwa na barabara?!

So sad!!

Naona sasa serikali inataka ku-influence foreign exchange market! Lakini wakati wenzake huwa wanaingiza government influence kwenye currency price movement ili ku-encourage exports, anachojaribu kufanya Magu ni kinyume chake!
 
Wewe unaaangalia haya mambo kwa juu juu sana ndiyo maana unakuja na maelezo kama haya, umejiuliza kuhusu IMF na WB kukataa kumkopesha nyerere. Umejiuliza kwanini walikataa kumkopesha fedha kujenga bwawa la umeme mto la rufiji? kumbuka kipindi hicho hakukuwa na China yenye misuli kama sasa.

Sababu za uchumi kuwa mbaya ni mjumuisho wa mambo mengi miaka ya kati ya sabini. kulikuwa na ukame ulioikumba afrika ya mashariki, pia kulikuwa na uhaba wa mafuta (oil embargo), kuanguka kwa jumuiya ya EAC na hatimaye vita ya Kagera, ukichanganya na fitna za mabeberu, mambo yalikuwa si mambo wakati ule.

Nyerere alikuwa anapigwa sana kwasababu alichokifanya nikutengeneza mfumo (model) uliokuwa umeanza kufanya kazi (hata wewe unakubali kuwa uchumi ulikuwa mzuri). Na kwa kuwa alikuwa na ushawishi kusini mwa Africa na hata Afrika nzima, wakubwa hawakupenda kuona Watanzania wakifanikiwa, wakiogopa kuwa wengine watafuata mfumo huo na wao kukosa ushawishi, ndipo fitna zilipoanza kudhoorisha uchumi wa Tanzania, vita na kuanguka kwa EAC.

Umejiuliza kwanini legacy ya Nyerere ina funikwa funikwa na wakubwa wakati ya Mandela inapaishwa?

Mambo yamebadilika sana siku hizi, hivi ulitengemea Tanzania kuweza kufanya upasuaji wa moyo? Ulitengemea kuwa na treni ya umeme? Wasomi wameongezeka, teknolojia na biashara pia zimekuwa na uchumi kwa nchi za kiafrika na Asia umekuwa sana, hivyo siyo lazima kutegemea tena kila kitu kutoka Ulaya. Nyerere hakuwa na jinsi lakini sasa kuna mbadala.
Hakuna kitu hapo. China hajawahi kumsaidia mtu, ni watu wamekaa kimaslahi zaidi. Mugabe amesota hapa wee na Zimbabwe yake wala China hawajamsaidia.

Leo hii Venezuela wana shida ya kufa mtu lkn China na Russia wanawaza tu deni lao wanaoidai Venezuela. Hawana msaada wowote wa kiuchumi kwa nchi hiyo.

Tanzania hii bila misaada na mikopo toka kwa Western countries tutakufa kifo cha mende. Tuache porojo za kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Hawa wako na mentality kwamba Tanzania inaenda kuomba msaada wa Uchina. Ukweli mchungu ni kwamba hata ule ujenzi wa TAZARA Uchina haukufanya bure, bali kimakakati. Yaani watanzania inabidi tubadilike aisee, sijui hizi akili ni za wapi.
 
Unajua hapo kwenye RED ni maneno machache lakini yenye maana kubwa sana! Ile ya JK na Uchina ilikuwa "we need each other, let's be partners" lakini hii ya sasa Mchina ndani ya moyo anasema "you need us, so you have to suck our dick!"

JK kwa kweli ni wamadiplomasia hasa! Hivi yule jamaa aliweza vp kuwa-handle Uchina na Marekani kwa wakati mmoja?! Yaani alikuwa ni kama mtu ambae ikifika Jumapili, anaingia Kanisani kupiga sala na ikifika Ijumaa anaenda Msikitini, na waumini wa pande zote mbili wanamkubali kwamba mwenzao!!

Magu na Ujamaa Uchwara wake anaelekea kutaka kuchukua upande huku akisahau "you must be too smart to survive after taking side" though it's also true that, you must be even more smarter to concurrently handle a block of monstrous fire in your one hand and an iceberg in another!

I hate to say that, he's neither smarter nor smart... >>>Please God, Save Us!!

Bado naililia Bandari ya Bagamoyo! Mradi ambao ungezalisha viwanda ambavyo thamani yake ni mara bilioni moja zaidi ya uchafu wa Magu unaoitwa eti viwanda!

Ni bahati mbaya sana tuna rais ambae hafahamu aanze na nini na amalize na nini!! Kuna kila dalili endapo JPM angeanza urais wakati alipoanza JK, bado angeanza na ujenzi wa reli wakati nchi haikuwa na barabara?!

So sad!!

Naona sasa serikali inataka ku-influence foreign exchange market! Lakini wakati wenzake huwa wanaingiza government influence kwenye currency price movement ili ku-encourage exports, anachojaribu kufanya Magu ni kinyume chake!

Kaka Chige hivi unajua Uchina alikuwa anaomba sana kununua gesi kutoka Urusi kwa bei ndogo lakini Urusi akawa anakataa ??

Unajua nini kilitokea kweli lile dili lao la mwaka 2015 la GAZPROM ? Baada ya Urusi kuwekewa vikwazo ilibidi akubali kuwauzia gesi wachina. Ambacho kimefichwa ni kwamba Urusi alikubali kuwauzia Wachina kwa bei ndogo tofauti na bei anazouza Ulaya.

Kiufupi Uchina alimlalia Urusi kwasababu alijua alikuwa yuko desperate sana. Sasa kama mti mbichi Urusi alifanyiwa hivyo, sisi Tanzania ambao ni mti mkavu ??

Yaani huyu Raisi tulipomtoa basi bwana.....
Sijawahi kumkubali, wala siji kumkubali.
 
Hakuna kitu hapo. China hajawahi kumsaidia mtu, ni watu wamekaa kimaslahi zaidi. Mugabe amesota hapa wee na Zimbabwe yake wala China hawajamsaidia.

Leo hii Venezuela wana shida ya kufa mtu lkn China na Russia wanawaza tu deni lao wanaoidai Venezuela. Hawana msaada wowote wa kiuchumi kwa nchi hiyo.

Tanzania hii bila misaada na mikopo toka kwa Western countries tutakufa kifo cha mende. Tuache porojo za kwenye vijiwe vya kahawa.
Naposema mbadala si maanishi vitu vya bure bali uwezo wa nchi kufanya mazungumzo huku kukiwa na uchaguzi wa maamuzi. Mfano ni pale tulipowapiga chini Wachina na kuwachagua Yapi Markezi kwenye ujenzi wa reli.
 
Don't just say nonsense,give alternative facts why you think what I have said is nonsense.But Ilan facts on the ground prove that America is moving towards underdevelopment and may be even a third World country status,infact by design.The hurricanes,the bushfires,the floods,the volcanoes,the politics of the likes of Trump believe me,are all designed to pull America down.Don't you see the alarming increase in poverty?Where is Detroit today.Americans must wake up,"The big Brother" is on their neck.Listen to the following clip to get the real picture about the fate of Americans.It is sad to say the least.

Don't just say nonsense,give alternative facts why you think what I have said is nonsense.But Ilan facts on the ground prove that America is moving towards underdevelopment and may be even a third World country status,infact by design.The hurricanes,the bushfires,the floods,the volcanoes,the politics of the likes of Trump believe me,are all designed to pull America down.Don't you see the alarming increase in poverty?Where is Detroit today.Wake up America,"The big Brother" is on your neck.
Ok, well said, Let us hope that Tanzania, with the present leadership, will definitely rise and take up the position the US is currently occupying.
 
Back
Top Bottom