Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,798
- 71,218
Umemjibu vema sana. Hata kama Tanzania ingekuwa imewakilishwa na Kingwendu, kwa South Africa angeshangiliwa sana tuu kwa vile ametoka TanzaniaHata kama CHADEMA wanafanya upuuzi, siyo sawa kuandika huu ujinga wako maana siyo uzalendo.
Ukae ukijua kwamba Taifa la Tanzania linaheshimika sana Afrika Kusini kwa kuwa tuliwakomboa.
Pia Magufuli ni rais wetu wote, na siyo wa CCM pekee hata hao Chadema, JPM ni rais wao.
Kwa hiyo, si busara kuuliza eti Chadema wanachukuliaje Magu kushangiliwa, Bali, ungeuliza Watanzania tunachukuliaje.
Sasa Magu ni Icon wa Taifa letu, iweje kushangiliwa kwake kuanze kutufarakanisha?