Hahaha kweli umepatiaJF ina vilaza, lakini mtoa mada ni kilaza wa kutupwa. Hana logic katika arguments zake.
Lowasa in wa Chadema lakini JPM sasa hivi ni wa TZ na anafanya kazi ya nchi na kuwajibika kwa nchi sio kwa chama chake pekeeMbona Bwana Lowasa aliongea na wazee wa UKAWA juzi tu. Vijana Mna matatizo Sugu sana.
Ujaribu kuacha hiyo kitu ni hatariTeeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh, naona nguvu ya kayoga inajionyesha wazi wazi...olakotze kayoga
Kayoga unakunywa weweLeo naona umeamua kuligonga kayoga
Mkuu wanaugua ugonjwa gani tena huo ni mpya nini?Unajuwa hawa watu hawana ushauri makini.Sio aongee na wazee wa DSM waseme anaongea na wazee wa nchi hii.
Then wapige marufuku manguo ya kijani mule ndani,Wananchi wengi wakiziona zile rangi wanaugua.
Nasikia hakutakuwa na bahasha za khaki,sijui kama watamuelewaNi maadhimisho ya siku zake 100 akiwa Ikulu. Ataongea na watanzania kupitia wazee wa Dar.
Utaratibu huu wa Rais kuongea na wazee kwa niaba ya wengine umeasisiwa na akina Nyerere, hawa wanaendeleza tu.
Kwa sababu wazee ni kundi lililochoka (weakest link). Hapo atajimwaga, na wengine watakuwa wameuchapa usingizi na wengine ni kupiga makofi.
Huyu jamaa ni one of the jingalest people ever lived hapa duniani.Mbona Bwana Lowasa aliongea na wazee wa UKAWA juzi tu. Vijana Mna matatizo Sugu sana.
Marangi ya Ccm yanaambukiza maradhi ya ZIKA mkuuMkuu wanaugua ugonjwa gani tena huo ni mpya nini?
Aseme anaongea na wazee wa Lumumba na sio wazee mjumuiko.Mbona Bwana Lowasa aliongea na wazee wa UKAWA juzi tu. Vijana Mna matatizo Sugu sana.
Ni kweli Mkuu. Hawa UKAWA kweli ni UKIWA sasa hivi! Wamesahau kabisa kuwa EL aliongea na wazee wa UKAWA hivi karibuni!Mbona Bwana Lowasa aliongea na wazee wa UKAWA juzi tu. Vijana Mna matatizo Sugu sana.
Shida kajumuisha wazee wote aseme wazee wa Lumumba yatoshaWewe Bavicha ulitaka aongee na wazee wa moshi? Kuna shida gani Rais kuongea na wazee?
Mbona hujiulizi wiki iliyopita babu yenu Lowassa aliongea na wazee wa ubungo? Magufuli kwa kuwa ni rais ndo maana anaongea na wazee wa Jiji zima. Alafu wakati mwingine ukikosa la kuandika humu Jf si dhambi kuchangia ya wengne kwani sioni athali ya rais kukutana na wazee.Rais magufuli kesho ataongea na wazee wa mkoa wa dsm kuanzia saa 8 mchana diamond jubilee, yale yale ya jk yameanza