Mulangira nipo. Upinzani si uhuni. Ni kutoa hoja nzito, za kweli, za kisheria, ubinadamu, utu , heshima ukawafikirisha watu tofauti na walivyozoea, wkabadilika. Si matusi hata kidogo. Ningelikuwa BK nisingelikwenda kumsikiliza. Hilo sio tusi.mmmh! Tarairota Mlangila wangu! waguma! unajua tunapishana malezi. Hata kama ni masuala ya upinzani lakini bado JPM atakuwa ni mkubwa kwa umri kwa MKWEPA KODI (japo simjui). si umeona alivyonijibu:
Hao akina maulana ndio jana wameua watu Uturuki wakitaja jina la mulanaEhh MAULANA MOLA WETU RHABUKA MBARIKI RAIS WETU WA JAMHURI YA TANZANIA MUHESHIMIWA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI MILELE YOTE KATIKA JINA LA YAHUSHUA HA MASHAIC. ...AMEN RA
Mbona washajaa uwanjani?Wana Bukoba
Toka Kitengaduro hadi Rwamishenye
Toka Izimbya hadi Igundanyondo
Jipangeni barabarani MZOEMEENI kwa nguvu Rais Magufuli
Ipuuzeni hotuba yake waende wana CCM tu
Hakuwa na utu wkt wa shida zenu na kaja huko sasa kisiasa tu ili arekebishe mambo kwa 2020
Muonyeshi kuwa yy ana dola nyie mna kura 2020
Nasisitiza tena wana Bukoba MPUUZENI msiende popote
Aaaaamen!!Ehh MAULANA MOLA WETU RHABUKA MBARIKI RAIS WETU WA JAMHURI YA TANZANIA MUHESHIMIWA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI MILELE YOTE KATIKA JINA LA YAHUSHUA HA MASHAIC. ...AMEN RA
Chonka bojo mara Ihungo sasa ni Kaitaba duuh ngoja niende zangu Akilombe maana shule karibu kufunguliwaWana Bukoba
Toka Kitengaduro hadi Rwamishenye
Toka Izimbya hadi Igundanyondo
Jipangeni barabarani MZOEMEENI kwa nguvu Rais Magufuli
Ipuuzeni hotuba yake waende wana CCM tu
Hakuwa na utu wkt wa shida zenu na kaja huko sasa kisiasa tu ili arekebishe mambo kwa 2020
Muonyeshi kuwa yy ana dola nyie mna kura 2020
Nasisitiza tena wana Bukoba MPUUZENI msiende popote
wakora tata wakoraMulangira nipo. Upinzani si uhuni. Ni kutoa hoja nzito, za kweli, za kisheria, ubinadamu, utu , heshima ukawafikirisha watu tofauti na walivyozoea, wkabadilika. Si matusi hata kidogo. Ningelikuwa BK nisingelikwenda kumsikiliza. Hilo sio tusi.
Msema ukweli ni mupemzi wa Mungu. Mimi nitaendelea kutumbua majipu tu! mpaka wanyooke na walimie meno!!. Ole wake mtu alete fyoko mimi sijaribiwi. Ninajua hapa kuna wapinzani ambao nimewakanyaga vichwa hawafurukuti. Muulize chifu anafurukuta?? Mimi ndiye John Pombe mtumbua majipu!!Rais Magufuli kuhutubia Taifa leo saa 5:00 asubuhi moja kwa moja kutoka uwanja wa Kaitaba Bukoba, ungana nasi AzamTWO kuanzia muda huo.
View attachment 453242
Kwenye Mwenge watu wanajitokeza lkn kwenda kumsikiriza Mwenyekiti hawaendi yaani...Katonda anawaonaMbona washajaa uwanjani?
Watu tupo tunatafuna senene na tukishushia na rubisi!
Tukitoka hapa,tunaenda Linas kucheza Maisha na Muziki!
Mkuu,karibu uonje Karundarugo!
umeombwa uangalie?Yaani! Unaweza kujuta kwanini umeangalia..
c.c.m ndiye tunaoset ajenda,na wingine kama makasuku wanafuatia!Naona vijana wa operesheni Ukata funua mmeachana na habari ya BenSaa9 mmehamia huku tena?
Ehh MAULANA MOLA WETU RHABUKA MBARIKI RAIS WETU WA JAMHURI YA TANZANIA MUHESHIMIWA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI MILELE YOTE KATIKA JINA LA YAHUSHUA HA MASHAIC. ...AMEN RA
au hawajapata mgao!Kwenye Mwenge watu wanajitokeza lkn kwenda kumsikiriza Mwenyekiti hawaendi yaani...Katonda anawaona
hio ajenda ilishakufa jana!ajenda sasa ni umeme!umeme!umeme!Apeleke rambirambi za watu.
hio ajenda ilishakufa jana!ajenda sasa ni umeme!umeme!umeme!
Tukiona na hii imechuja,tunawaletea nyingine!
Makasuku nyie!