Ndio.Anaenda kutibiwa?
/
Ndio.
Kama ni kutibiwa kwa nini asiende Mloganzila badala yake anakwenda kwa Mabeberu?Nakumbuka alipougua ghafla bungeni enzi zile waziri, alipelekwa germany nadhani muda umefika wa kubadili kifaa
Alafu utafaidi nini?Nasubiri kwa hamu aende kuji-embarrass
Atageuka "meme" kwenye majukwaa ya comedy duniani ya kina Jimmy Kimmel, Trevor NoahNasubiri kwa hamu aende kuji-embarrass
Kwanza hata viza ilitakiwa isiwepo kuja au kwenda ujerumani basi tu, Mjerumani ana roho ya hitlerSafi kabisa.
I have always said Germans owe us for colonising us! Tunatakiwa tuwe na 'special relationship' nao.
Wapi pameandikwa anaenda na ndege za public.Kwanini aende na ndege za public wakati tuna Gulfstream G550,ambayo ikiamka Dar kituo cha kwanza ni Hamburg Ujerumani...?