Rais Magufuli kufanya ziara mkoani Lindi

Rais Magufuli kufanya ziara mkoani Lindi

Hatutaki huo upuuzi..

Taarifa tunayoitaka kutoka Ikulu ni ya kusema amemtimua huyu mwizi wa vyeti Daudi Albert Bashite...

Basi.
Kuna vitu havina tija ktk baadhi ya topic humu!
Kidogo tuwe tunajadil vilivyomo..
Japo ni mawazo ila mkuu hapo upo OP!
 
Mbona Arusha, Kilimanjaro, manyara, na Tanga haendi kunani huko
Huko wenzetu wa janja na wanajitambua sisi watu wa mikoa ya lindi na mtwara hajujitambui... Nina video ya issue ya gas hakika ndg zetu walipigwa km nao walikuwa na siraha ila ujaguzi ulipo wadia tuliwapa kura Chama tawala .... Ngoja tuone safari yake labda itakuwa tofauti na watangulizi wake.... Insha Allah asafiri salama.
 
Bunge sio Live

Ikulu iko Live



haahahahhahaah
 
Hatutaki huo upuuzi..

Taarifa tunayoitaka kutoka Ikulu ni ya kusema amemtimua huyu mwizi wa vyeti Daudi Albert Bashite...

Basi.
Mko wangapi msiotaka. Au ni wewe nakijambio chako tu... M##""$$@*@ ...kaoge wewe huna haya
 
😀😀😀😀 ziara inaambatana na uteuzi wa Chinga!!!!
 
Wana beach nzuri tu halafu vi gesti vyao bei rahisi kweli! Mji mzima hoteli ya maana ni moja tu!
flora 059.png
 
Back
Top Bottom