Rais Magufuli kufanya ziara mkoani Lindi

Peter Dafi

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
392
272
TAARIFA
Karibuni katika matangazo ya moja kwa moja yaani Live ya ziara ya Rais Magufuli akiwa njiani kwenda Lindi. Kupitia TBC1 muda huu.
Matangazo haya yanakujia Live kwa mara ya kwanza ambapo msafara wa Rais unarushwa hewani kituo kwa kituo.

=========
Rais Magufuli atoa siku 28 kwa meneja wa idara ya maji Rufiji kuhakikisha maji yanapatikana Ikwiriri,asema yasipopatikana atamchukulia hatua

d472a5933ba3d954d3cedcf3a01f7f8d.jpg
 
Haya ndugu zetu wa Lindi ugeni huo, nafikiri lawama za kutotembelewa zitakoma.
 
nadhan ziara yake kwangu haina tija,kiongoz gan mwenye roho mbaya! anawafanya wafanyakaz kama chuma ulete,hakuna vyanzo vngne vya mapato mpaka uwakabe koo wafanyakaz?
 
Back
Top Bottom