Rais Magufuli kufanya ziara mkoani Lindi

Rais Magufuli kufanya ziara mkoani Lindi

kinachonimaliza akianza kutoa kauli zake utasikia akina mama wanapiga vigelegele, huwa nabaki mdomo wazi, mnazidi umia vigelegele vya nini
 
Mwenye ushahidi wa vyeti aende mahakamani sio kueneza uongo wenu kwenye mitandao.faida ya mwongo ni mauti tu.
 
Kuna wakati natamani mheshimiwa asiongee lolote,huwa hachelewi kuropoka huyu.
 
Huyu mbunge aliyebananishwa na Magufuli anaitwa nani?
 
Kashaanza kufyatuka au bado ili nifunge macho kwa sababu huwa anafyatuka yeye mimi ndiyo napata aibu
 
Katika hiyo ziara Daudi Albert Bashite atakuwepo?
 
Lindi ni pazuri sana wakuu!
Ni zaidi ya kaskazini?

Kama anatafuta uzuri mbona huku haendi?

Magufuli PHD fake

Daudi Bashite foji foji vyeti

Yaani tunaongozwa na watu fake fake ndio maana mahakama zinatoa hukumu fake fake

TRA mashtaka na ushuru fake fake

Kuhamia Dodoma fake fake kila siku tuko Dar sijui tumehama nini

Kupandishwa vyeo fake fake kama hao maaskari tuu ndio wanastahili

Ninaandika kwa uchungu maana hata sasa kachaguliwa Salma Kikwete kuendeleza huu u-fake fake

Mungu njoo sasa tumechoka
 
Huko Lindi na Mtwara ndipo gesi inapotokea, right??? Tulipewa ahadi kwamba tutulie gesi ya Mtwara ikishafika Dar, uchumi wa Tanzania utakuwa wa gesi, na kila mtu atapikia gesi. Hebu Rais aulize ni kwa nini gesi imepanda kwa asilimia 16 (toka Tshs 46,000 mwezi January, hadi 55,000 mwezi March)????
 
Back
Top Bottom