Baba wa Mapaka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,828
- 1,662
Na waanze na mgao wa umemeHaya ndugu zetu wa Lindi ugeni huo, nafikiri lawama za kutotembelewa zitakoma.
Na waanze na mgao wa umemeHaya ndugu zetu wa Lindi ugeni huo, nafikiri lawama za kutotembelewa zitakoma.
Mkikubaluana=mkikubalianaKwahio nyie bavicha mkikubaluana misimamo yenu mnaigeneralise???
Maana wahun tu walau viroba vimekatazwa mtakuwa mnajadili mambo ya msingi humu
Hivi mwenyekiti wenu alipata ngapi mtihani wa darasa la kumi na mbili?Ni zaidi ya kaskazini?
Kama anatafuta uzuri mbona huku haendi?
Magufuli PHD fake
Daudi Bashite foji foji vyeti
Yaani tunaongozwa na watu fake fake ndio maana mahakama zinatoa hukumu fake fake
TRA mashtaka na ushuru fake fake
Kuhamia Dodoma fake fake kila siku tuko Dar sijui tumehama nini
Kupandishwa vyeo fake fake kama hao maaskari tuu ndio wanastahili
Ninaandika kwa uchungu maana hata sasa kachaguliwa Salma Kikwete kuendeleza huu u-fake fake
Mungu njoo sasa tumechoka
Ishu sio kufeli ni kufoji vyeti hapaHivi mwenyekiti wenu alipata ngapi mtihani wa darasa la kumi na mbili?
Yeye huyo Bashite alikua na ushaidi gani juu ya gwajima dhidi ya madawa ya kulevya alikua anaeneza uongo kwenye mitandao kwa faida yanani?Faida yamuongo ni mauti tu na bashite atapata umauti au?Mwenye ushahidi wa vyeti aende mahakamani sio kueneza uongo wenu kwenye mitandao.faida ya mwongo ni mauti tu.
Ni zaidi ya kaskazini?
Kama anatafuta uzuri mbona huku haendi?
Magufuli PHD fake
Daudi Bashite foji foji vyeti
Yaani tunaongozwa na watu fake fake ndio maana mahakama zinatoa hukumu fake fake
TRA mashtaka na ushuru fake fake
Kuhamia Dodoma fake fake kila siku tuko Dar sijui tumehama nini
Kupandishwa vyeo fake fake kama hao maaskari tuu ndio wanastahili
Ninaandika kwa uchungu maana hata sasa kachaguliwa Salma Kikwete kuendeleza huu u-fake fake
Mungu njoo sasa tumechoka
Mkuu kugumu hukuMbona Arusha, Kilimanjaro, manyara, na Tanga haendi kunani huko
Huku maendeleo tayari yapo.Mbona Arusha, Kilimanjaro, manyara, na Tanga haendi kunani huko
Mwenye ushahidi wa vyeti aende mahakamani sio kueneza uongo wenu kwenye mitandao.faida ya mwongo ni mauti tu.
anti unapenda mziki gani
Tauheed inatuambia mkamilifu ni Allah.... Hata ayatul Qursy Allah anajinasibu hivyo.... Nakukumbusha tu mama yng.
KIFIMBOCHEZA= waliovifilisi
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?