Rais Magufuli: Kawafundishe Mabalozi wenzako, Wajifunze namna ya kuishi na nchi ya Tanzania ambayo hababaishwi

Rais wa Tanzania ndugu John Pombe Magufuli amemtaka Balozi wa Uingereza hapa nchini akawaeleze mabalozi wenziye hasa wanaopenda ku-tweet tweet kwamba Tanzania ni nchi huru na inayojiamulia mambo yake yenyewe na kamwe haiyumbishwi na haitayumbishwa na yeyote!

Pia, amempongeza Balozi huyo wa Uingereza kwa namna anavyotimiza majukumu yake hapa nchini kwa weredi na ndivyo wawakilishi nchi nyingenezo hapa nchini wanapaswa wawe
Na mabalozi pia hawatishwi na kichaa yeyote
 
Si afadhali ya mwanaume Magufuli anaweza kuongea. Nyie hapa mnaweza kusema lolote kwa wake zenu tu? Manina
 
Ila ana Ujasiri Sana huyu Mzee, yaani unazindua shule iliyojengwa kwa almost 10+ Billions za Wahisani then hapo hapo unawapiga Mkwara.

Kwamba wasiwashwe washwe na yanayoendelea Tanzania🙌

Another Mugabe in the making 🙌
Watanzania wenye Akili timamu lazima wakatae hayo maneno ya mtukufu lakini kumbuka wapo baadhi ya watanzania ni wanufaika wa huu mfumo wa kuwatesa baadhi ya wafanyabiashara kwa njia mbalimbali za kishetani hao ndiyo hufurahia kila neno litokalo kinywani mwa Mtukufu
 
Nashauri Mh. ajikite na utekelezaji wa ilani na ahadi zake hao jamaa aachane nao hata kama yeye binafsi hana mpango wa kwenda nchi yoyote huko Ulaya.

Hawa watu wakiamua kukufanyizia wana mbinu nyingi na michezo mingi, sio wa kuchokonoachokonoa! Kuwa na urafiki na China kusitufanye tukaamini China wanaweza kutusaidia kupambana nao wakiamua kukinukisha, mchina mwenyewe anawagwaya!
Watu km ninyi, ni hasara kwa taifa
 
Lisu hana ujeuri wa kutamko maneno kama hayo mbele ya mzungu!

Lisu hata wazungu wakimtia vidole machoni atachekelea tu
 
Si afadhali ya mwanaume Magufuli anaweza kuongea. Nyie hapa mnaweza kusema lolote kwa wake zenu tu? Manina
Mkeo kakuonea weee mpaka umenisahau na kuja na mfano wake humu, endelea kuonewa wewe peke yako sisi tunazikataa Kelele za mtukufu za kuuma na kupuliza huku akiendelea kuomba omba misaada kwa hao hao wazungu akiwaita wafadhili na wahisani.
 
Lisu hana ujeuri wa kutamko maneno kama hayo mbele ya mzungu!

Lisu hata wazungu wakimtia vidole machoni atachekelea tu
Huwezi kumsifia kwa kuongea vitu havina umuhimu wowote! Walianza kuongea akina Mugabe siku ya mwisho wameondoka kwa aibu na kuiacha Zimbabwe maskini.

Vita makini hupiganwa kimya kimya ndo utashinda! Yawezekana wanamchora na kumuona mshamba tu amalize muda wake akatulie Chattle.

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Watu km ninyi, ni hasara kwa taifa
Faida yako wewe unayehamasisha dhihaka na vijembe ni ipi! Watanzania tunahitaji maendeleo, hatuitaji ugomvi na taifa lolote tulishaexperience hasara tuloipata vita ya Kagera! Tumehangaika kiuchumi zaidi ya 20yrs, hivyo ni budi tujenge mazingira ya kuendelea tunakokwenda na si kurudi tena!
 
Rais wa Tanzania ndugu John Pombe Magufuli amemtaka Balozi wa Uingereza hapa nchini akawaeleze mabalozi wenziye hasa wanaopenda ku-tweet tweet kwamba Tanzania ni nchi huru na inayojiamulia mambo yake yenyewe na kamwe haiyumbishwi na haitayumbishwa na yeyote!

Pia, amempongeza Balozi huyo wa Uingereza kwa namna anavyotimiza majukumu yake hapa nchini kwa weledi na ndivyo wawakilishi nchi nyingenezo hapa nchini wanapaswa wawe.
Huyu huyu ambaye juzi kati katoka kushangilia Wachina kutupa madafu milioni 300?
 
Rais wa Tanzania ndugu John Pombe Magufuli amemtaka Balozi wa Uingereza hapa nchini akawaeleze mabalozi wenziye hasa wanaopenda ku-tweet tweet kwamba Tanzania ni nchi huru na inayojiamulia mambo yake yenyewe na kamwe haiyumbishwi na haitayumbishwa na yeyote!

Pia, amempongeza Balozi huyo wa Uingereza kwa namna anavyotimiza majukumu yake hapa nchini kwa weledi na ndivyo wawakilishi nchi nyingenezo hapa nchini wanapaswa wawe.
Najua Tanzania tuna Uhuru wetu ambao haupaswi Kuingiliwa na Taifa lolote ila Kauli za Kijeuri za Rais JPM hazina Tija na bado hatujaimarika vile.
 
Rais wa Tanzania ndugu John Pombe Magufuli amemtaka Balozi wa Uingereza hapa nchini akawaeleze mabalozi wenziye hasa wanaopenda ku-tweet tweet kwamba Tanzania ni nchi huru na inayojiamulia mambo yake yenyewe na kamwe haiyumbishwi na haitayumbishwa na yeyote!

Pia, amempongeza Balozi huyo wa Uingereza kwa namna anavyotimiza majukumu yake hapa nchini kwa weledi na ndivyo wawakilishi nchi nyingenezo hapa nchini wanapaswa wawe.
Rais wetu mpendwa kwa kutumia lughà yoyote anashindwa nini kuwaambia Mabalozi hayo anayomtuma huyu Balozi akawaambie wenzake? Watangulizi wake kila mwanzo wa mwaka walikuwa wanaandaa chakula cha jioni Ikulu kwa ajili ya Mabalozi ili waongee nao mambo mbalimbali ikiwa pamoja na uhusiano wa nchi yetu na nchi zao katika mazingira muafaka. Bahati mbaya utamaduni huo Awamu ya Tano imeachana nao na kutumia njia zisizo za kidiplomasia kufikisha ujumbe kwa Mabalozi ambao ni wanadiplomasia wabobezi. Huu ni udhaifu mkubwa wa Awamu hii na ulionyeshwa mapema ambapo chakula cha kwanza kwa ajili ya Mabalozi kilichoandaliwa January, 2016, Rais huyu hakuhudhuria ingawa alikuwepo Ikulu. Maswali mengi yaliulizwa na ndo suala la kutojua lughà lilijitokeza na ukweli kuthibitika baadaye!
 
Mara nyingi nawaza sana............................. hivi JPM akimaliza muda wake kweli tunaweza kupata mtu IMARA asiye yumba wala kuyumbiswa?! sijui....sijui
Magufuli katufanya watanzania tujiamini kama taifa huru lisilo ingiliwa kwa namna yoyote ile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wa Tanzania ndugu John Pombe Magufuli amemtaka Balozi wa Uingereza hapa nchini akawaeleze mabalozi wenziye hasa wanaopenda ku-tweet tweet kwamba Tanzania ni nchi huru na inayojiamulia mambo yake yenyewe na kamwe haiyumbishwi na haitayumbishwa na yeyote!

Pia, amempongeza Balozi huyo wa Uingereza kwa namna anavyotimiza majukumu yake hapa nchini kwa weledi na ndivyo wawakilishi nchi nyingenezo hapa nchini wanapaswa wawe.
Hapo ni sawa na Mau Fundi kumpiga biti Twaha Kiduku.

Wazungu walishatujua akili hamna, wanaamua tu kukaa kimya au kuepusha migogoro.
 
Hawa wazungu usipowambia ukweli wanakupanda kichwani, hawachelewi kutaka wanaume waoane wao kwa wao..
Ni kuwakazia tu
Kuwakazia ni kuacha kuchukua pesa zao. Vinginevyo Jitu mpska linafake wabunge wa PAC na LAAC ili lipate pesa ya wazungu hapo linatafuta sifa kwa wapuuzi tu.

Hata wazungu wenyewe walishalijua akili ZERO ndio maana hata hizo pesa za Ihungo wametoa ni Kwasababu masikini ndio watasoma hapo na UTU uliotokana na tetemeko.
 
Ila ana Ujasiri Sana huyu Mzee, yaani unazindua shule iliyojengwa kwa almost 10+ Billions za Wahisani then hapo hapo unawapiga Mkwara.

Kwamba wasiwashwe washwe na yanayoendelea Tanzania🙌

Another Mugabe in the making 🙌
Wewe mgonjwa mahututi kakondeana yuko kitandani, akikupiga mkwara utamfanyaje au kumwonaje ??

Utaacha kumsaidia ??
 
Back
Top Bottom