Rais Magufuli, katiba mpya, na Umoja wa Mataifa

Rais Magufuli, katiba mpya, na Umoja wa Mataifa

Sawa wote ni binadamu but tofauti yao magu ni rais na seif ni kiongoz wa cuf. Anachofanya magu kinatuhusu watanzania lazima tukiongee. Anachofanya seif kinawahusu wana cuf sio lazima tukiongee.
Rais hashiki utashi wa nchi ni wake na alisema yeye hawezi kumsikiliza mtu anayemzarau huyo ni yeye? sio ajabu maana ni mtu na kaongea kile cha rohoni. Ukiwa rais unatakiwa uwe malaka au?
 
Mie niliwahi kuandika hapa huyu bila shaka ana hitilafu tena si ndogo ya kiakili, labda siku moja itakuja kuthibitika maana chuki anazotema nchini zinashangaza sana.
Jamani msameeni kwani mwenzenu anahubiri amani huku akimpiga mwenzie pia hajui alipo.
 
Mie niliwahi kuandika hapa huyu bila shaka ana hitilafu tena si ndogo ya kiakili, labda siku moja itakuja kuthibitika maana chuki anazotema nchini zinashangaza sana.

Labda tuseme tuliomchagua ndo wenye hitilafu!

Siasa za nchi yetu zimejaa unafiki kupindukia. Kiukweli wengine tumechoka na huu unafiki uliopitiliza. What kind of a leader do we want? Yes. Kuna mengi sikubaliani na Magufuli. Lakini elites wa nchi hii wanaangalia matumbo yao tuu. Tanzania tunaweza mpata Kiongozi wa aina yoyote kwa sababu wananchi tulio wengi tunaangalia maslahi yetu. Wengi wanaolia na Magufuli ni washabiki wa CCM walio msupport kwa ajili ya interests zao. Kusudi waibe. kusudi wakwepe kodi. Kusudi wawe na access kwa wenye madaraka. Leo Rais Kakataa huu ufisadi na uzembe watu wanalia na dikteta. Fundisho: Watanzania tujifunze kuweka maslahi ya taifa na walalahoi wa nchi mbele. Otherwise tutakuwa tunalialia tuu.

I can guarantee, leo Magufuli akiitisha uchaguzi hata bila kuiba kura moja atashinda kwa landslides (full disclosure-as things stand: na mimi nitampigia kura). Kwa sababu elites na mlalahoi wa nchi hii wana priorities tofauti. watu tunalilia demokrasia..lakini hakuna anayempa credit Magufuli kwa kupambana na ufisadi uliotamalaki. Watumishi hewa. wezi wa mali za umma. Sasa sijui hiyo democrasia tutaifanyia nini.

Leo watu tunapiga kelele bandarini mizigo imeshuka..YES. Imeshuka. Tumejaribu kufanya utafiti kuangalia tatizo liko wapi? is it only in Tanzania? Ofcourse not. But kila kitu tunakiangalia kwa siasa. Ukweli ni kwamba containers nyingi zilikuwa zinaingia hazilipi kodi. Mawakala wa forodha ndo walikuwa wanapewa hela kidogo kufanya clearance lakini serikali haipati kitu (na wenyewe hawalipi kodi!). Full ujanja ujanja. Leo tunasema watu walipie kodi.....watu wanaweka visingizio.... By the way unadhani kwa mfanya biashara anayelipa kodi zake vizuri na kufanya mambo yake kwa kufuata sheria atapata mabilioni ya kuwapa CCM? bure? Ukweli ni kwamba hawa wafanyabiashara walikuwa wanafadhili wanasiasa kwa sababu walikuwa wanapesa excess za wizi na wanategemea favour.

Hiyo kwamba Magufuli hasafiri kwenda kwenye vikao...I am sorry to say but it is nonsense. Katika miaka 42 ya Gadafi madarakani alikwenda UN mara ngapi? Rais wa Botswana ameenda UN mara ngapi? wapo viongozi wengi ambao hawaendi huko UN wala kwingineko.....Yes tunaweza sema inasaidia exposure nk..lakini is this our priority? Kikwete alikuwa hakosi mikutano almost yote..kama watanzania tulipata nini? zaidi ya wapambe wake wanaoenda kufanya shopping?

In Dr. Mahiga we have the finest diplomat Tanzania ever had! there a lot of things he can and will do. Magufuli akiamua kwenda atakwenda popote..ila all we need ni yeye kufanya kazi aliyotumwa na watanzania.

Mimi nasema Tanzania is in transition. Wengi mpaka sasa wako kwenye sintofahamu. Things have changed! Unafanya kazi Ikulu au BOT..lakini safari ya nje unaisikia! That's Tanzania we want. Kama ni afisa wa serikali nenda nje kama kuna ulazima. People should drive nice cars. go for holidays. support their families. BUT at their expense not on taxpayers shilling!

This is new Tanzania the earlier we adjust the better.
 
Lugha ndio kigezo cha kuhudhuria mkutano wa umoja wa mataifa? Putin huwa anaongea kiingereza hapo mkutanoni?
Mimi naona lugha siyo ishu kubwa sana. Tatizo ni substance! Kama huna substance, ni hatari zaidi...maana unaweza kuongea lugha yoyote kwa ufasaha lakini usieleweke. Hilo ndilo tatizo kuu.
 
Kudhani ni haki yako na kuishia kudhani huku ukitoa hitimisho ni dalili ya watu ambao hawana uwezo mkubwa kifikra au wamechoka kifikra.

Wanasayansi huwa haishii kudhani bali huwa wanautafuta ukweli.

Kama ni ukatili na visasi basi hata Mwenyezi Mungu ana ukatili na visasi kwa sababu aliwahi kuua watu ambao hawakukubaliana na alichokisema na kukitaka!

Tumezoea siasa za kinafiki kiasi kwamba anachokisema mwanasiasa siyo kile anachoimanisha au kukitenda.

Rais Magufuli anakuambia na kukitenda kile anachokisema.

Hiyo dhana ya udikteta ni hisia tu kama zilivyo hisia zingine za kibinadamu.

Jielimishe zaidi kupitia The Presidential Affairs Act Cap. 9 (RE: 2002).

Hakuna sheria inayomtaka Rais wa Tanzania kwenda UN.

Ikumbukwe kuwa, Katiba ya Tanzania 1977 katika Ibara ya 34(4) inasema;
‘’Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, madaraka ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano yatatekelezwa ama na Rais mwenyewe moja kwa moja au kwa kukasimu madaraka hayo kwa watu wengine wenye madaraka katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano’’.

Katiba inasema Rais anaweza kukasimu madaraka kwa kiongozi yoyote ili kumuwakilisha UN.
Kisasi ni cha Mungu tu na wala si cha mwanadamu.
 
Lakini anakiri mwenyewe kuwa Mwenyezi Mungu amjalie japo one fourth ya busara ya Dk.Shein.
Ndiyo mtu tuliye naye watanzania.
Ni vizuri hata yeye mwenyewe anajijua kwamba hamnazo.
 
Kudhani ni haki yako na kuishia kudhani huku ukitoa hitimisho ni dalili ya watu ambao hawana uwezo mkubwa kifikra au wamechoka kifikra.

Wanasayansi huwa haishii kudhani bali huwa wanautafuta ukweli.

Kama ni ukatili na visasi basi hata Mwenyezi Mungu ana ukatili na visasi kwa sababu aliwahi kuua watu ambao hawakukubaliana na alichokisema na kukitaka!

Tumezoea siasa za kinafiki kiasi kwamba anachokisema mwanasiasa siyo kile anachoimanisha au kukitenda.

Rais Magufuli anakuambia na kukitenda kile anachokisema.

Hiyo dhana ya udikteta ni hisia tu kama zilivyo hisia zingine za kibinadamu.

Jielimishe zaidi kupitia The Presidential Affairs Act Cap. 9 (RE: 2002).

Hakuna sheria inayomtaka Rais wa Tanzania kwenda UN.

Ikumbukwe kuwa, Katiba ya Tanzania 1977 katika Ibara ya 34(4) inasema;
‘’Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, madaraka ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano yatatekelezwa ama na Rais mwenyewe moja kwa moja au kwa kukasimu madaraka hayo kwa watu wengine wenye madaraka katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano’’.

Katiba inasema Rais anaweza kukasimu madaraka kwa kiongozi yoyote ili kumuwakilisha UN.[/QUOT
swala si kusimamia unacho kiamini tu, bali usahii wa unacho amini na kukisimamia. Kutoidhinisha malipo ya mstaafu ambayo yapo kisheria kwa sababu ya kukunyima mkono ni kosa, siyo sahihi.
 
Mimi naona lugha siyo ishu kubwa sana. Tatizo ni substance! Kama huna substance, ni hatari zaidi...maana unaweza kuongea lugha yoyote kwa ufasaha lakini usieleweke. Hilo ndilo tatizo kuu.

Sahihi kabisa,
 
Kudhani ni haki yako na kuishia kudhani huku ukitoa hitimisho ni dalili ya watu ambao hawana uwezo mkubwa kifikra au wamechoka kifikra.

Wanasayansi huwa haishii kudhani bali huwa wanautafuta ukweli.

Kama ni ukatili na visasi basi hata Mwenyezi Mungu ana ukatili na visasi kwa sababu aliwahi kuua watu ambao hawakukubaliana na alichokisema na kukitaka!

Tumezoea siasa za kinafiki kiasi kwamba anachokisema mwanasiasa siyo kile anachoimanisha au kukitenda.

Rais Magufuli anakuambia na kukitenda kile anachokisema.

Hiyo dhana ya udikteta ni hisia tu kama zilivyo hisia zingine za kibinadamu.

Jielimishe zaidi kupitia The Presidential Affairs Act Cap. 9 (RE: 2002).

Hakuna sheria inayomtaka Rais wa Tanzania kwenda UN.

Ikumbukwe kuwa, Katiba ya Tanzania 1977 katika Ibara ya 34(4) inasema;
‘’Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, madaraka ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano yatatekelezwa ama na Rais mwenyewe moja kwa moja au kwa kukasimu madaraka hayo kwa watu wengine wenye madaraka katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano’’.

Katiba inasema Rais anaweza kukasimu madaraka kwa kiongozi yoyote ili kumuwakilisha UN.
Wewe acha kulinganisha Mungu na vitu vya ...... Mungu anaumba labda kama umesahau.... anakuwa anachukua vyake kama unavo weza bomoa nyumba yako na kujenga nyingine....
 
Ulichoandika ni kweli tupu Mkuu, kuhusu kuhudhuria mkutano wa Umoja wa Mataifa hilo sahau kabisa atazungumza kwa lugha ipi kwenye kikao hicho cha Umuja wa Mataifa? Ni lazima tutasikia Mama Samia atamuwakilisha kama siyo Majaliwa.
Nimecheka sanaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
waandishi wa habari kama wa CNN na BBC - Hard talk, kuhusu masuala mbali mbali ya nchi yake ikiwa ni pamoja na demokrasia
Hard talk? joking bro, lugha gani atayoongea? English? Kiswahili? May be kisukuma...ila BBC na CNN kisukuma? Joke of the century
 
Hard talk? joking bro, lugha gani atayoongea? English? Kiswahili? May be kisukuma...ila BBC na CNN kisukuma? Joke of the century
Mkuu yule ni Phd. Hicho kiingereza ni utelezi kwake kama anavyoteleza kisukuma. Subirini siku ikifika akiwa UN
 
Tatizo Watanzania tulikuwa tumezoea kiswahili laini cha mzee wa msonga,maneno kama hutaki kuhamia dodoma acha kazi,mimi sitestiwi,kwenye maadamano anataka kuwaona viongozi mbele na siyo kuwatanguliza masikini,kwa Watanzania huu ndio udikteta
 
Mbaya zaidi Ni pale anapotaka katiba kuifanya Mali yake Na maamuzi yote anayo yeye.Suala la Maalim Seifu kupokea mafao Ni lakikatiba Sasa anaposema ingekua yeye asingesain Hapo Ni kikatiba au kwa maamuzi yake?
Ama kweli kazi tunayo.
 
I am also getting very worried kuhusu katiba mpya!
Kama mleta post anavyosema, kusema ukweli mtu mwenye dhana na kauli kama hizi, aanze sasa hivi kusimamia mchakato wa kubadilili katiba, yani! One can only guess ni katiba ya aina gani itatengenezwa chini ya usimamizi wake!!
The situation is getting very desparate kusema ukweli. What I am saying ni kwamba, what are we going to do kuhusu katiba mpya? Je tuendelee kupigania kubadili katiba na ku-risk kuletewa katiba ambayo ni majanga, tena inayoweza hata kuhalalisha ukurunziza, au tupiganie tu tume huru ya uchaguzi?!
 
Back
Top Bottom