Rais Magufuli, katiba mpya, na Umoja wa Mataifa

Rais Magufuli, katiba mpya, na Umoja wa Mataifa

Namuongelea mamako.

Who cares if you don't see how it relates...

hivi ndio vichwa vinavyotaka ku steer the direction of African opinion baada ya kupata exposure ya u "usa baby." Hawezi hata kuandika coherent theme moja kwenye mada ikajadiliwa. Mara udikteta wa Magufuli mara Kikwete kaenda Disney parks Florida mara hatupaki Katiba Mpya. Pathetic.
 
Nani kakuambia mimi ni kichwa kinachotaka ku steer direction of African opinion?

We jamaa vipi wewe?

Pathetic mamako.
 
Sasa nina wasi wasi na image ya Tanzania katika nchi za nje. Pia mahusiano ya Kimataifa. Siasa hizi zilikuwa zafaa Enzi za Nyerere, hivi sasa wakati umegeuka. Hawa watu wanaishi dunia hii hii au mwezini?
Maskini Tanzania! nilikuwa nimefurahi mno kwa kuondoka YuLee, nikaona sasa amekuja mtu serious. Kama anaiga Rwanda, afikirie upya, Tanzania si Rwanda kwa kihistoria, ki-geopolitic na hata hulka za watu. Matamshi ya violence hayakai vizuri na hulka ya Watanzania.
 
Jmaa FEKI, hana masikini wala walalahoi. Ni huyuhuyu aliye wadhalilisha masikini walalahoi waliokuwa na vijumba vyao katika barabara ya morogoro. Sisi wazanzibari tumemchoka wala hatuna haja na yeye. Huyo kibaraka wake pia hamna mwenye wakati na yeye.
 
Wahenga walisema 'majuto ni mjukuu'
na akitoka Magufuli aje Makonda kuwa Rais....
acha tu....
 
In my opinion jinsi anavyozidi kuitwa dikteta ndivyo anavyozidi kuongeza sifa, that man is deranged, he is not right in his head, he sadistically enjoys terrifying all of us. He is playing mind games and having fun , he could make a perfect serial killer
Serial killer ni Bush na blair and Magufuli knows is not a dictator it's just a nickname,
 
Mwigulu je...?

Ngabu unawajua wale watu mashuleni walikuwa ukiongea kingereza wanakuita 'bishoo'?
na wanamchukia yeyote anaependeza au kupendwa na warembo?
wakimuona mwalimu wa English wanakaa nyuma kabisa wanapiga story?
ndio 'types' za viongozi ambao tunao sasa....

Watu ambao wanachukia kila mtu alie tofauti na wao
na kila wasichhokielewa wanakiponda
 
Labda ni joking waandishi ingefaa mengine mpuuze.
Moja limenishangaza Sana nalo ni kukataakusaini mtu akatibiwe kisa kasusa lupines mkopo. Ila akaomba tumwombeee
 
Kwa hiyo mlitaka amlongeze sefu kwa kutokumpa mkono?
 
Huyu mungu anayezungumzwa na hawa wanasiasa wa aina hii sijui ni mungu wa wapi? Mbona ni kama kufuru kubwa sana? Labda kama sielewi maana ya Mungu.
 
Nani kakuambia mimi ni kichwa kinachotaka ku steer direction of African opinion?

We jamaa vipi wewe?

Pathetic mamako.
Mkuu naona umechafukwa roho sana...siyo mbaya ukawa unawachukulia powa watu kama hao.....Afadhali Ujerumani waliwahi kupata dikteta mwenye akili na utashi...aliyekuwa na spirit ya maendeleo, ingawa waliisoma number lakini leo hii Ujerumani ni kati ya mataifa yenye nguvu Duniani....Akitokea dikteta Afrika ni vilio na kusaga meno,...hawana dira wala akili, kazi ni kunyanyasa raia wanao waongoza.Matokeo yake ni umasikini na KUTA zisizo na maana.
 
Nani kakuambia mimi ni kichwa kinachotaka ku steer direction of African opinion?

We jamaa vipi wewe?

Pathetic mamako.
Hizi ndio minds tunazo import from the "usa baby"! Mitandao haijasaidia kuwasogeza na kuchuja hawa watu ku add any value to the mind capital of the nation. Total pea brain.
 
Hizi ndio minds tunazo import from the "usa baby"! Mitandao haijasaidia kuwasogeza na kuchuja hawa watu ku add any value to the mind capital of the nation. Total pea brain.
*** you.
 
Hata huko kumwita dikteta ni kumpa sifa asiyostahili kuwa nayo, yeye ni dikteta uchwara tu, full stop!.
 
Back
Top Bottom