Rais Magufuli Jumapili asali kanisani St. Peter

Rais Magufuli Jumapili asali kanisani St. Peter

bora alienda kutubu. walitukana mno washindani wao majukwaani!
 
Mbona hukumwonyesha jk wakati na yeye akifanya swala:what:
 
Kwa kuwa umenitukana wakati tulishasali na kurudi majumbani, naanza kusali kukuombea japo uwe na busara kidogo tu hata ya kuishauri familia na rafiki zako.

mkuu umesali kweli au ulimshangaa magufuli tu?
 
Ukiona rais anahudhuria sana kwenye nyumba za ibada ujue huyo si mzuri vya kutosha. Duniani kote marais bora huwa si waumini sana wa dini. Marais kama Bush mtoto alikuwa mlokole na hakuwa rais mzuri. Obama aliacha kwenda kusali katika kanisa alilokuwa anasali kwa miaka 20 kabla ya kuwa rais kwa sababu ya kutofautiana na kiongozi wake wa kanisa. Lakini Obama ni kati ya marais bora America.
 
Na leo kaenda peke yake hii ndoa mh....
sababu ya kwenda peke yake badala ya familia nzima ama na mkewe nadhani ni kuondoa attention kwa baadhi ya waumini na kuwaondoa kwenye mood ya kusali na kubaki kuwashangaa, pili kanisa katoliki kutegemeana na makanisa wanayo misa zaidi ya tatu hivyo sio lazima kama rais anaenda misa ya kwanza basi na mke aende katika misa hiyo, kila mmoja na chaguo lake mwingine anaweza kwenda misa ya pili au ya tatu au hata ya kwanza.
mke wake mbona simuoni?
Tuwaulize nyie ma ccm, je Pombe ni bachela!?
...... alishiriki sacrament?
Wakuu Mheshimiwa Rais wetu alikwenda kanisani na First Lady na walishiriki sakramenti, hata kama kulikuwa na makandokando katika ndoa yao nafikiri sasa tofauti hakuna.
JEMBEK.jpg


#HAPA KAZI TU, Jumapili ya Jana na Mkewe wakipokea sakramenti .
 
Hivi inazuiliwa Rais kuwa na wake wawili au watatu? Kama haizuiliwi kwa nini asimweke hadharani huyu Kabula Malomo wa Kebby's Hotel? Hii itamsaidia kuambatana na mmojawao kila inapobidi! Kwa mfano hili tukio la leo alipaswa kuwa na mama na watoto pembeni, ingependeza sana! Hawaoni wenzake?

WATANZANIA NI ZAIDI YA C.I.A na F.B.I KWA KUCHOKONOA MAMBO.
 
Back
Top Bottom