FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,817
Ndiyo huwa wanasali ila hawashwali km wafanyavyo watoto wa step mother...!
Last edited by a moderator:
Ndiyo huwa wanasali ila hawashwali km wafanyavyo watoto wa step mother...!
Hapo ndipo nilipobatizwa. Ni maarufu kama "Kanisa la Nyerere"
Aaah Kiongozi, kwani Pombe ni jina la dini? Hapana bwana la kanisani ni John. Siyo kweli kwamba atafutiwa dhambi, kama ana kizuizi hataweza kupata komunio!!!Hasali huyo bila mashaka ana vizuiz Kwan alikuwa na dirisha dogo
Makanisa yetu haya akiwa na cheo tu dhambi zote zinafutika duh
We ni mkatoliki jina pombe