Rais Magufuli Jumapili asali kanisani St. Peter

Rais Magufuli Jumapili asali kanisani St. Peter

Cochabamba

Member
Joined
Feb 4, 2014
Posts
76
Reaction score
98
Magufuli leo ni Jumapili yake ya kwanza kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na amesali na waumini wenzake kwenye kanisa la St.Peter.

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 

Attachments

  • 9b7126df0362b5969689a4fccb5dbfa3.jpg
    9b7126df0362b5969689a4fccb5dbfa3.jpg
    153.1 KB · Views: 18,959
  • 0727c26813d4833394d16cb05d91c8f6.jpg
    0727c26813d4833394d16cb05d91c8f6.jpg
    137 KB · Views: 17,443
  • 18330c6589a64ab0dd5f00778ca1cd01.jpg
    18330c6589a64ab0dd5f00778ca1cd01.jpg
    233.2 KB · Views: 17,173
Aage tu sasa, awe anasali pale St. Joseph, tena aende kwa miguu.
 
Kwa kuwa umenitukana wakati tulishasali na kurudi majumbani, naanza kusali kukuombea japo uwe na busara kidogo tu hata ya kuishauri familia na rafiki zako.

Samahani mkuu, usichukie ndugu yangu. Hebu nenda hapo jirani grocery waambie wakupe bia mbili nitakuja kulipa mkuu
 
FaizaFoxy unakubali kuongozwa na -----.i safari hii teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Nyerere alikuwa anasali hapo pia. Alikuwa anakaa row ya katikati ya mabenchi. Benchi la tatu toka mbele na walinzi wake wawili.
Benchi linalofuata na mawili ya mbele walikaa watoto wadogo tu na walinzi wengine. Enzi za akina Father Lwambano. Down the memory lane!
 
Back
Top Bottom