Rais Magufuli Jumapili asali kanisani St. Peter

Hapo ndipo nilipobatizwa. Ni maarufu kama "Kanisa la Nyerere"

Hebu nieleweshe Mkuu, ina maana Mwl. alikuwa anatoka Magogoni mpaka Oyster bay kwenda kusali? Maana mara nyingi nimesikia habari za Mwl. na Kanisa la Mt. Petro!
 
ndoa inapumulia mashine..kweli michepuko noma

Hivi inazuiliwa Rais kuwa na wake wawili au watatu? Kama haizuiliwi kwa nini asimweke hadharani huyu Kabula Malomo wa Kebby's Hotel? Hii itamsaidia kuambatana na mmojawao kila inapobidi! Kwa mfano hili tukio la leo alipaswa kuwa na mama na watoto pembeni, ingependeza sana! Hawaoni wenzake?
 
Ni St. Peter au St. Joseph? Pale St. Joseph sio mbali na Ikulu, huenda JPM kaenda kwa miguu.
 
Hebu nieleweshe Mkuu, ina maana Mwl. alikuwa anatoka Magogoni mpaka Oyster bay kwenda kusali? Maana mara nyingi nimesikia habari za Mwl. na Kanisa la Mt. Petro!

Mwalimu Nyerere, aliitambua na kuiheshimu Ikulu kama ofisi. Makazi yake yalikuwa nyumbani kwake Msasani-nyumba aliyojenga kwa mkopo, akaishiwa fedha, na kuamua kuirejesha serikalini. Shughuli za kiserikali, kama dhifa, kuapisha viongozi, kuwapokea viongozi wakuu wa nchi, alizifanyia Ikulu. Msasani pia alikuwa na ki-ofisi kidogo, lakini ambacho yeyote aliyeitwa huko alianza "kuugua" hata kabla ya kujua ameitwa kwa shauri gani.
Kila asubuhi Mwalimu alifika St. Peter kwa ajili ya kusali. Hiyo ilikuwa ratiba yake kwa maisha yake yote. Kwa sababu hiyo, St. Peter pakajulikana na "Kanisa la Nyerere".
 
Samahani mkuu, usichukie ndugu yangu. Hebu nenda hapo jirani grocery waambie wakupe bia mbili nitakuja kulipa mkuu

Ha ha haaa ImageUploadedByJamiiForums1446982012.283771.jpg
 
Hivi inazuiliwa Rais kuwa na wake wawili au watatu? Kama haizuiliwi kwa nini asimweke hadharani huyu Kabula Malomo wa Kebby's Hotel? Hii itamsaidia kuambatana na mmojawao kila inapobidi! Kwa mfano hili tukio la leo alipaswa kuwa na mama na watoto pembeni, ingependeza sana! Hawaoni wenzake?

jamani, JP sio laigwani, ni mtumishi wa umma kama walivyo walimu manesi na askari, ya mke wake na wanae yanatuhusu nini? sasa kila mtu akija na mkewe ofisini haiwezi kuwa ofisi tena. mkewe JP ana ajira yake na majukumu ya kifamilia kama munataka kupiga nae picha nendeni kazini kwake mtamkuta.
 
Mwalimu Nyerere, aliitambua na kuiheshimu Ikulu kama ofisi. Makazi yake yalikuwa nyumbani kwake Msasani-nyumba aliyojenga kwa mkopo, akaishiwa fedha, na kuamua kuirejesha serikalini. Shughuli za kiserikali, kama dhifa, kuapisha viongozi, kuwapokea viongozi wakuu wa nchi, alizifanyia Ikulu. Msasani pia alikuwa na ki-ofisi kidogo, lakini ambacho yeyote aliyeitwa huko alianza "kuugua" hata kabla ya kujua ameitwa kwa shauri gani.
Kila asubuhi Mwalimu alifika St. Peter kwa ajili ya kusali. Hiyo ilikuwa ratiba yake kwa maisha yake yote. Kwa sababu hiyo, St. Peter pakajulikana na "Kanisa la Nyerere".

yule golikipa nadhani angemshika kiuno kabisa mumewe.
 
Kwa kuwa umenitukana wakati tulishasali na kurudi majumbani, naanza kusali kukuombea japo uwe na busara kidogo tu hata ya kuishauri familia na rafiki zako.

Umemjibu kiustarabu sana. Unaweza kuwa na busara kama za Lowasa
 
Back
Top Bottom