Rais Magufuli is very strategic

jsenyinah

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
249
338
Tuweke uvyama, ushabiki na wivu pembeni. Rais JPM,

1. Ametoa wafanyakazi hewa 17,000 na zoezi linaendelea;

2. Amenunua ndege nzuri mbili aina ya Bombardier;

3. Fly- over TAZARA imeanza

4. Barabara ya airport Mwanza imejengwa;

5. Amesitisha sherehe zisizo na tija, zinazoleta hasara;

6. Ameunda Baraza dogo la Mawaziri;

7. Hasafiri sana nje ya nchi na hapendi viongozi wengine wapishane angani kama kumbikumbi;

8. Amewatumbua vigogo wengi wenye kasoro mchana kweupe,mara nyingi weekend;

9. Heshima na nidhamu kazini na mtaani imerudi kwa kasi;

10. Anapenda Tanzania ya viwanda na tumeshuhudia marais karibu 7 wakitiliana mikataba mbalimbali na serikali yetu,hasa ya viwanda;

11. Vijana wengi wameteuliwa katika nyadhifa mbalimbali za uongozi kama ma-DED,DC,RC,DAS etc

13. Hakuna kelele za upinzani kwa kuwa anatekeleza mambo mengi kwa wakati;

14. Ni rais wa watu na wa wanyonge;

15. Serikali kuhamia Dodoma;

16. Ameziba mianya mingi sana ya rushwa na MENGINEYO MENGI SANAAAA.

N.B

1. Suala la mishahara kupanda kwa watumishi wa umma lipo palepale. Rais hawez kuziba mianya ya rushwa na kuongeza mapato serikalini halafu mishahara isipande.

2. Fedha utashuka chini kwa mfumo wa miradi mingi itakayojengwa na inayoendelea kujengwa.Miradi ya ujenzi huajiri watu wengi sana.

Huduma za afya,maji, kilimo na zinginezo zitashughulikiwa kwa kuwa ameonesha nia na ameanza.

Tusimbeze rais wetu, tuwe na subira.Tuendelee kumwombea president wetu.
 
hebu jaribu ku comment wanafunzi wa chuo ambao wameteuliwa na vyuo, wamefika kule hakuna kuwa registered bila mkopo kuingia, wamekosa mikopo, ni watoto masikini kabisa wa vijijini, na wameambiwa wajaze upya form wasubiri kwa siku 90 (miezi mitatu) kama watapata mkopo au la, wakati huo, wale watoto wa vigogo na wengine waliobahatika mkopo wanaendelea kusoma, hawa watoto wa masikini kama watabahatika mkopo baada ya miezi mitatu, watawakuta wenzao wameshasoma miezi mitatu. huyo ndiye mtoto wa masikini, just try to comment on this as well.
 
Tuweke uvyama, ushabiki na wivu pembeni. Rais JPM,

1. Ametoa wafanyakazi hewa 17,000 na zoezi linaendelea;

2. Amenunua ndege nzuri mbili aina ya Bombardier;

3. Fly- over TAZARA imeanza

4. Barabara ya airport Mwanza imejengwa;

5. Amesitisha sherehe zisizo na tija, zinazoleta hasara;

6. Ameunda Baraza dogo la Mawaziri;

7. Hasafiri sana nje ya nchi na hapendi viongozi wengine wapishane angani kama kumbikumbi;

8. Amewatumbua vigogo wengi wenye kasoro mchana kweupe,mara nyingi weekend;

9. Heshima na nidhamu kazini na mtaani imerudi kwa kasi;

10. Anapenda Tanzania ya viwanda na tumeshuhudia marais karibu 7 wakitiliana mikataba mbalimbali na serikali yetu,hasa ya viwanda;

11. Vijana wengi wameteuliwa katika nyadhifa mbalimbali za uongozi kama ma-DED,DC,RC,DAS etc

13. Hakuna kelele za upinzani kwa kuwa anatekeleza mambo mengi kwa wakati;

14. Ni rais wa watu na wa wanyonge;

15. Serikali kuhamia Dodoma;

16. Ameziba mianya mingi sana ya rushwa na MENGINEYO MENGI SANAAAA.

N.B

1. Suala la mishahara kupanda kwa watumishi wa umma lipo palepale. Rais hawez kuziba mianya ya rushwa na kuongeza mapato serikalini halafu mishahara isipande.

2. Fedha utashuka chini kwa mfumo wa miradi mingi itakayojengwa na inayoendelea kujengwa.Miradi ya ujenzi huajiri watu wengi sana.

Huduma za afya,maji, kilimo na zinginezo zitashughulikiwa kwa kuwa ameonesha nia na ameanza.

Tusimbeze rais wetu, tuwe na subira.Tuendelee kumwombea president wetu.
Amevunja rekodi duniani, ameshindwa kwenda kuwatendea haki wahanga wa tetemeko ikiwemo kupora pesa zao mchana kweupe
 
Migomo mashuleni hakuna, wale waliokuwa wanaenda vyuoni kwa ushindi wa wizi wakifika vyuoni masomo yanawashinda wanaanza vurugu za migomo.

Sherehe za ''welcome first year'' safari hii hakuna watoto wanasoma kwa utulivu.

Walimu wagomaji nao wamedhibitiwa kumbe walikuwa na vyeti vyakugushi wakishindwa kufundisha waanza migomo.

Walimu wakuu sasa wanasimamia taaluma siku za nyuma walikuwa kiguu na njia wilayani wakirudi wanakuja na virisiti vya kugushi na kujiandikia posho.
 
Back
Top Bottom