kiumbe kipya
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 2,831
- 1,304
Ataajiri wangapi ?Ongeza, kutokuwaajiri vijana ambao wengi wao ni watoto wa wakulima.

Kwani ameajiri wangap kati ya 71,000+ aliodaiAtaajiri wangapi ?
Ajira bado subirini mbona mna kiere hereKwani ameajiri wangap kati ya 71,000+ aliodai
Magu hoyeeee!piga kaxi baba nyumbu wakimbie wenyewe
Wewe ndie unakihere hereee maana unajibu maswali yasiyokuhusu,.Ajira bado subirini mbona mna kiere here
Crap of the highest order!Tuweke uvyama, ushabiki na wivu pembeni. Rais JPM,
1. Ametoa wafanyakazi hewa 17,000 na zoezi linaendelea;
2. Amenunua ndege nzuri mbili aina ya Bombardier;
3. Fly- over TAZARA imeanza
4. Barabara ya airport Mwanza imejengwa;
5. Amesitisha sherehe zisizo na tija, zinazoleta hasara;
6. Ameunda Baraza dogo la Mawaziri;
7. Hasafiri sana nje ya nchi na hapendi viongozi wengine wapishane angani kama kumbikumbi;
8. Amewatumbua vigogo wengi wenye kasoro mchana kweupe,mara nyingi weekend;
9. Heshima na nidhamu kazini na mtaani imerudi kwa kasi;
10. Anapenda Tanzania ya viwanda na tumeshuhudia marais karibu 7 wakitiliana mikataba mbalimbali na serikali yetu,hasa ya viwanda;
11. Vijana wengi wameteuliwa katika nyadhifa mbalimbali za uongozi kama ma-DED,DC,RC,DAS etc
13. Hakuna kelele za upinzani kwa kuwa anatekeleza mambo mengi kwa wakati;
14. Ni rais wa watu na wa wanyonge;
15. Serikali kuhamia Dodoma;
16. Ameziba mianya mingi sana ya rushwa na MENGINEYO MENGI SANAAAA.
N.B
1. Suala la mishahara kupanda kwa watumishi wa umma lipo palepale. Rais hawez kuziba mianya ya rushwa na kuongeza mapato serikalini halafu mishahara isipande.
2. Fedha utashuka chini kwa mfumo wa miradi mingi itakayojengwa na inayoendelea kujengwa.Miradi ya ujenzi huajiri watu wengi sana.
Huduma za afya,maji, kilimo na zinginezo zitashughulikiwa kwa kuwa ameonesha nia na ameanza.
Tusimbeze rais wetu, tuwe na subira.Tuendelee kumwombea president wetu.
Tuweke uvyama, ushabiki na wivu pembeni. Rais JPM,

Iyo nyimbo ya frofesa j ajira zitamwagika kama njugu mabomba ya tatoa maziwa na maji kila baa median atamiliki benziMkuu,swala la bukoba Rais na safu yake amelihandle vzr sana.Lilikuwa la kitaifa na la kimataifa.
Mpaka lilitumbua DED na RAS.
Rais siyo wa mchezo mchezo.
Ajira zitamwagika kama njugu.
We umekosa kazi yakufanya sema rais wako nasio rais wa watu... Mbn ela za waanga watetemeko hujasema alizikwapuaTuweke uvyama, ushabiki na wivu pembeni. Rais JPM,
1. Ametoa wafanyakazi hewa 17,000 na zoezi linaendelea;
2. Amenunua ndege nzuri mbili aina ya Bombardier;
3. Fly- over TAZARA imeanza
4. Barabara ya airport Mwanza imejengwa;
5. Amesitisha sherehe zisizo na tija, zinazoleta hasara;
6. Ameunda Baraza dogo la Mawaziri;
7. Hasafiri sana nje ya nchi na hapendi viongozi wengine wapishane angani kama kumbikumbi;
8. Amewatumbua vigogo wengi wenye kasoro mchana kweupe,mara nyingi weekend;
9. Heshima na nidhamu kazini na mtaani imerudi kwa kasi;
10. Anapenda Tanzania ya viwanda na tumeshuhudia marais karibu 7 wakitiliana mikataba mbalimbali na serikali yetu,hasa ya viwanda;
11. Vijana wengi wameteuliwa katika nyadhifa mbalimbali za uongozi kama ma-DED,DC,RC,DAS etc
13. Hakuna kelele za upinzani kwa kuwa anatekeleza mambo mengi kwa wakati;
14. Ni rais wa watu na wa wanyonge;
15. Serikali kuhamia Dodoma;
16. Ameziba mianya mingi sana ya rushwa na MENGINEYO MENGI SANAAAA.
N.B
1. Suala la mishahara kupanda kwa watumishi wa umma lipo palepale. Rais hawez kuziba mianya ya rushwa na kuongeza mapato serikalini halafu mishahara isipande.
2. Fedha utashuka chini kwa mfumo wa miradi mingi itakayojengwa na inayoendelea kujengwa.Miradi ya ujenzi huajiri watu wengi sana.
Huduma za afya,maji, kilimo na zinginezo zitashughulikiwa kwa kuwa ameonesha nia na ameanza.
Tusimbeze rais wetu, tuwe na subira.Tuendelee kumwombea president wetu.
Sasa huoni kuwa Magu anajaribu kurekebisha uozo uliopikwa na wajombazenu?hebu jaribu ku comment wanafunzi wa chuo ambao wameteuliwa na vyuo, wamefika kule hakuna kuwa registered bila mkopo kuingia, wamekosa mikopo, ni watoto masikini kabisa wa vijijini, na wameambiwa wajaze upya form wasubiri kwa siku 90 (miezi mitatu) kama watapata mkopo au la, wakati huo, wale watoto wa vigogo na wengine waliobahatika mkopo wanaendelea kusoma, hawa watoto wa masikini kama watabahatika mkopo baada ya miezi mitatu, watawakuta wenzao wameshasoma miezi mitatu. huyo ndiye mtoto wa masikini, just try to comment on this as well.
walipe mikopo toka kwenye ajira gani mzee? hao viongozi wote unaowaona majukwaani walisomeshwa na nyerere bure, tena walikuwa washamba bush party kuliko hata watoto wa vijijini wa siku hizi wanaojua hata kutumia simu ya nokia. lakini kwasababu wameshapata, wameshasahau walikotoka.Harafu tuwaulize waliohitim vyuo, walipe mikopo yao ili watoto wa masikin wanaotegemea maisha ya MKOPO wapate pesa.