Rais Magufuli is very strategic

Rais Magufuli is very strategic

Serikali ya JPM haina strategy yoyote inaenda enda tu haina jipya imekalia kuwaangamiza na kuwatesa wananchi masikini huku ikiwaacha mafisadi wanadunda tu, kiufupi mwananchi wa kawaida ndio anaeisoma namba, .Mawaziri wake waropokaji kila jambo wanadandia bila kuwa za kiundani, wanaropoka kama vile wamelewa kangara.. Hii serikali baada ya miaka 5 itaprove failure na hii sio rocket science.
 
Migomo mashuleni hakuna, wale waliokuwa wanaenda vyuoni kwa ushindi wa wizi wakifika vyuoni masomo yanawashinda wanaanza vurugu za migomo.

Sherehe za ''welcome first year'' safari hii hakuna watoto wanasoma kwa utulivu.

Walimu wagomaji nao wamedhibitiwa kumbe walikuwa na vyeti vyakugushi wakishindwa kufundisha waanza migomo.

Walimu wakuu sasa wanasimamia taaluma siku za nyuma walikuwa kiguu na njia wilayani wakirudi wanakuja na virisiti vya kugushi na kujiandikia posho.
ndugu, hivi unavyoandika hiyo comment yako, kuna watoto yatima na masikini wamefaulu lakini hawajapata mkopo hadi sasaivi. jaribuni kuwa na huruma basi, acheni ushabiki wa kufuata upepo.
 
Amevunja rekodi duniani, ameshindwa kwenda kuwatendea haki wahanga wa tetemeko ikiwemo kupora pesa zao mchana kweupe

Rais n taasisi.Waziri mkuu alienda Bukoba.
 
Tuweke uvyama, ushabiki na wivu pembeni. Rais JPM,

1. Ametoa wafanyakazi hewa 17,000 na zoezi linaendelea;

2. Amenunua ndege nzuri mbili aina ya Bombardier;

3. Fly- over TAZARA imeanza

4. Barabara ya airport Mwanza imejengwa;

5. Amesitisha sherehe zisizo na tija, zinazoleta hasara;

6. Ameunda Baraza dogo la Mawaziri;

7. Hasafiri sana nje ya nchi na hapendi viongozi wengine wapishane angani kama kumbikumbi;

8. Amewatumbua vigogo wengi wenye kasoro mchana kweupe,mara nyingi weekend;

9. Heshima na nidhamu kazini na mtaani imerudi kwa kasi;

10. Anapenda Tanzania ya viwanda na tumeshuhudia marais karibu 7 wakitiliana mikataba mbalimbali na serikali yetu,hasa ya viwanda;

11. Vijana wengi wameteuliwa katika nyadhifa mbalimbali za uongozi kama ma-DED,DC,RC,DAS etc

13. Hakuna kelele za upinzani kwa kuwa anatekeleza mambo mengi kwa wakati;

14. Ni rais wa watu na wa wanyonge;

15. Serikali kuhamia Dodoma;

16. Ameziba mianya mingi sana ya rushwa na MENGINEYO MENGI SANAAAA.

N.B

1. Suala la mishahara kupanda kwa watumishi wa umma lipo palepale. Rais hawez kuziba mianya ya rushwa na kuongeza mapato serikalini halafu mishahara isipande.

2. Fedha utashuka chini kwa mfumo wa miradi mingi itakayojengwa na inayoendelea kujengwa.Miradi ya ujenzi huajiri watu wengi sana.

Huduma za afya,maji, kilimo na zinginezo zitashughulikiwa kwa kuwa ameonesha nia na ameanza.

Tusimbeze rais wetu, tuwe na subira.Tuendelee kumwombea president wetu.
Ni bavichaa tu ndio watakupinga, kama uonavyo hapa.
 
hebu jaribu ku comment wanafunzi wa chuo ambao wameteuliwa na vyuo, wamefika kule hakuna kuwa registered bila mkopo kuingia, wamekosa mikopo, ni watoto masikini kabisa wa vijijini, na wameambiwa wajaze upya form wasubiri kwa siku 90 (miezi mitatu) kama watapata mkopo au la, wakati huo, wale watoto wa vigogo na wengine waliobahatika mkopo wanaendelea kusoma, hawa watoto wa masikini kama watabahatika mkopo baada ya miezi mitatu, watawakuta wenzao wameshasoma miezi mitatu. huyo ndiye mtoto wa masikini, just try to comment on this as well.

Harafu tuwaulize waliohitim vyuo, walipe mikopo yao ili watoto wa masikin wanaotegemea maisha ya MKOPO wapate pesa.
 
Ukikaa tu kijiweni lazima utakuwa na akili za aina hii.
Watu hawajakaa kijiweni tu, wanahangaika Sana ila mafanikio hamna...
Hujiulizi wakulima mazao yao hayauziki yanaoza tu, nao wapo kijiweni?
Kwanini mnapenda ushabiki wa kijinga Kama mashoga?

Hali ya nchi ni ngumu Sana, pesa haipo kwenye mzunguko kabisa.
Ajira zimesimamishwa hovyo tu na wafanyabiashara wengi wametoa mitaji yao na kupeleka nje.
Hamna lolote mnalosifia zaidi ya ujinga tu...
Siyo kila mtu anaweza kuwa Rais na haya ndo matokeo yake...
 
Mchezo huu hauhitaji hasira, shusha pumzi kwanza ndipo uongee.

Wale wakulima wa korosho waliokuwa wanauza shilingi 600 na leo wameuza kilo shilingi 4,000, ni wenyeji wa Msumbiji au?.

Hakuna maisha ya mteremko, haiwezekani nchi ya watu milioni 49 ikautumikia mkoa wa Dar na mingine michache, ni lazima ugumu wa maisha utokee kwa muda fulani ili kuondoa dhana ya upatikanaji wa fedha hata kwa mtu asiyevuja jasho.

Ni suala la kuzoea tu, wafanyabiashara wawili wakipeleka fedha zao nje kuna wamorocco 1,000 wanaokuja kuwekeza.

Fairness lazima iwepo, mtandao wa JK na ENL ulikuwa unatupeleka kubaya sana. Mungu ni mwema mirija imekatwa na inaendelea kukatwa.
 
Ni rais fisadi asiyetaka wanasiasa au waandishi kufatilia utendaji wa serikali,ukithubutu kuukosoa unaitwa mchochezi
 
Unafiki gharama inafika wakati itakulazimu useme au uandike
 
Tuweke uvyama, ushabiki na wivu pembeni. Rais JPM,

1. Ametoa wafanyakazi hewa 17,000 na zoezi linaendelea;

2. Amenunua ndege nzuri mbili aina ya Bombardier;

3. Fly- over TAZARA imeanza

4. Barabara ya airport Mwanza imejengwa;

5. Amesitisha sherehe zisizo na tija, zinazoleta hasara;

6. Ameunda Baraza dogo la Mawaziri;

7. Hasafiri sana nje ya nchi na hapendi viongozi wengine wapishane angani kama kumbikumbi;

8. Amewatumbua vigogo wengi wenye kasoro mchana kweupe,mara nyingi weekend;

9. Heshima na nidhamu kazini na mtaani imerudi kwa kasi;

10. Anapenda Tanzania ya viwanda na tumeshuhudia marais karibu 7 wakitiliana mikataba mbalimbali na serikali yetu,hasa ya viwanda;

11. Vijana wengi wameteuliwa katika nyadhifa mbalimbali za uongozi kama ma-DED,DC,RC,DAS etc

13. Hakuna kelele za upinzani kwa kuwa anatekeleza mambo mengi kwa wakati;

14. Ni rais wa watu na wa wanyonge;

15. Serikali kuhamia Dodoma;

16. Ameziba mianya mingi sana ya rushwa na MENGINEYO MENGI SANAAAA.

N.B

1. Suala la mishahara kupanda kwa watumishi wa umma lipo palepale. Rais hawez kuziba mianya ya rushwa na kuongeza mapato serikalini halafu mishahara isipande.

2. Fedha utashuka chini kwa mfumo wa miradi mingi itakayojengwa na inayoendelea kujengwa.Miradi ya ujenzi huajiri watu wengi sana.

Huduma za afya,maji, kilimo na zinginezo zitashughulikiwa kwa kuwa ameonesha nia na ameanza.

Tusimbeze rais wetu, tuwe na subira.Tuendelee kumwombea president wetu.
Very strategic?
Which strategy is he implementing?
When was that strategy established?
With who did he implement the strategy?
Where is the action plan for implementing the strategy?
 
!!!!!!!!!!!!!!!!!!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hayo mazuri yote ndio kafikia kupandisha bei ya umeme halafu anahubiri viwanda, huku haonyeshi jitihada za wazi kunyanyua kilimo?
Ila swala la kupandisha bei za umeme naona wanataka watanzania waishi kama mashetani,,, gesi inawasaidiaje watanzania??? Kama imeongeza gharama badala ya kupunguza,,, mi nidhani gesi itakua bei nafuu hata majumbani waweze kutumia kupikia watu wa kipato cha chini imekua kinyume, gesi itabaki kutumiwa na wachache maskini wanaendelea kupikia kuni, Mbwembwe nyingi kusaini mikataba utazani watakufa kesho....
 
Back
Top Bottom