Ahsante kwa majibu!Kwa hiyo kwako wewe vitisho, kejeli na maneno ya hovyo hovyo ndio sahihi sio? Lack of emotional intelligence ni upungufu mkubwa sana kwa huyo shoga yako! Sorry you are not convincing enough.
Hawampendi sababu maisha magumu zaidi ya sanaUnadhan watanzania wanampenda nani
AliibaHawampendi kwa lipi. Labda tupe sababu. Kwa sabab nahis kama ingekuwa hivyo basi asngeshinda urais
Hueleweki unaongea nini au buku 3 imeingia mapemaEeeeeh wewe husiyependa ya awamu hii, naona kawapiga bonge la bao. Kwa kweli acha awe anasema ukweli kabisaaaa na ndio ukweli huwa hadanganyi Rais wetu mpendwa.
Na juu ya yote unamuonea wivu RC mpya kawaacha ukooooo na pia unawaonea wivu hao
Ha ha ha ha
Tayari ashawaingizia ujinga wake kwenye mind zenu,ona ulichochangiaEeeeeh wewe husiyependa ya awamu hii, Mbona unayotaka anene huwa ananena wazi kabisa!! Naona kawapiga bonge la bao. Kwa kweli acha awe anasema ukweli kabisaaaa na ndio ukweli huwa hadanganyi Rais wetu mpendwa.
Na juu ya yote unamuonea wivu RC mpya kawaacha ukooooo na pia unawaonea wivu hao
Ha ha ha ha
Tayari ashawaingizia ujinga wake kwenye mind zenu,ona ulichochangia
Heshima tele Mkuu!
Mada yako imekaa kihisia sana.Sote tukisema tuandike kwa kuendeshwa na hisia zetu, basi nakuhakikishia kuwa humu kutakuwa genge la kishabiki na si pa kutafakuri na kudodosa mambo kwa weledi unaotakiwa.
Kama ni Maendeleo, basi yataletwa kwa Nguvu za Hoja na si Hoja za Nguvu.Unaposema "Teua watu wakafanye kazi,hivyo vijembe havina maana", ni command na si ushauri kwa huyu uliyemuita JPM.
Tujifunze kuandika kwa Utashi wa kawaida.Ushabiki, hisia, hasira, kulazimishana nk si sahihi.