Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,142
- 26,132
Kuna jambo ambalo naona analifanya sana JPM,either kwa kujua au kutokujua na halina tija!
Hotuba ambazo amekuwa akizitoa baada ya teuzi zake zimekuwa zikinipa maswali sana!Nitatotelea mifano ya watu watatu!
Makonda,Muhongo na Anna Mgwira!
Teuzi zilizojadiliwa sana nchini katika awamu hii ya 5 basi utakubaliana na mimi ni za hao watu watatu!Kitila haikuvuma sana!
Mara baada ya teuzi hizo katika hotuba zako za either kuwaapisha au unapopata nafasi ya kuongea na umma ndio zimenifanya niandike!
Kwanini isitoshe kusema kwamba umewateua kwa kuwa una imani wana uwezo wa kwenda na kasi unayoitaka??Cha ajabu unaweka na vijembe,kuwa watu watawaonea wivu au watu hawawapendi ila wewe umewachagua na wachukie sasa!
Kwani unamkomoa nani kwa teuzi hizo?Teua watu wakafanye kazi,hivyo vijembe havina maana!Wala usitake tuamini kuwa kuna teuzi unazifanya kukomoa watu fulani eti wachukie zaidi!Wakichukia ndio inatusaidia nini wananchi?
Mazingira hayo yanaweza kukufanya ushindwe kuchukua maamuzi dhidi ya kiongozi uliyemteua kisa tu unajua kuna watu hawapendi mtu fulani awepo sehemu fulani na ili kuwakomoa ni kumuacha hapo hapo!
Man up!