Rais Magufuli endapo utarudi madarakani badilika

Taja hizo hujuma zinazofanyiwa taifa.

Kampeni za CCM zinajaza na wanafunzi wa chekechea,shule za msingi na sekondari,na watumishi wa umma wanaolazimishwa kuuzuria hiyo mikutano(hao wote wanasomba malori na mabasi). Wengine ni wanaokuja kwenye matamasha ya Bure ya wasanii wengi wa hao vijana hawatompigia kura Magufuli, wanakuja kuburudika na akina Hormanize/Ally Kiba ili wapunguze stress za maisha magumu halitosis banishes na Magufuli.

Vitu vingine havihitaji kubishaniwa sana. October 28 sio mbali; mbivu na mbichi zitajulikana soon. Nakushauri uanze kutafuta visingizio mapema!
 
Mheshimiwa Rais kwanza pole na misukosuko ya kampeni za uchaguzi ambapo unajiwinda kurudi tena. Ila mambo sio mepesi, hata kama utashinda ila utakuwa umejifunza la sivyo utakiacha chama chako tabuni sana kipindi ukiondoka. Mungu akuepushe na mipango ovu ya wapambe wako wanaotaka ubaki madarakani, jambo hili hata mimi linanipa hofu kubwa ila mungu akupe hekima na busara ukimaliza muda wako upumzike.

1. Mheshimiwa Rais JPM. Akingalia hali hii ya kampeni zako zimekuwa ngumu sana hasa kwa wasaka tonge kukudanganya juu ya mipango yao ya kujidai wanatokomeza upinzani kwa kununia madiwani na Wabunge, hapa walisahau kitu diwani anachaguliwa na raia je kuna jipya jema ambalo umemtendea raia. Ukirudi acha kuongea kwa kudharau watanzania, punguza chuki na wapinzania.

2. Endapo utarudi, japo najua utarudi tengeneza taifa la wapendwa, acha kutengeneza mipaka ya maendeleo leta kongamano la upendo wa kitaifa uje uhudumu kama baba mzazi. Jukwaani ongea ukifundisha upendo na mshikamano. La sivyo ukiendelea na tabia yako ya dharau utaiacha CCM katika hali mbaya.

3. Ukirudi tena rudisha pesa kwa kwa Wananchi na endesha nchi kwa uwazi sana. Japo napatwa na hofu kuu hasa juu ya wewe kuachia madaraka maana ulisjasema hii miradi mikubwa uliyoanzisha ukiondoka unadhani itaishia hewani na kuna kila dalili mpaka unaondoka hakuna mradi hata mmoja ambao utakuwa umekamilika kwa asilimia 100. Ukidanganywa ucheze na katiba utakuwa umekosea sana mizimu yetu na wazee wetu. Fanya kwa kiasi chako muda ukimalizika ondoka. Ila nakushauri ubaki kuwa mwenyekiti wa CCM ili uweze kumuendesha mgombea uraisi wenu.

4. Naamini kabisa 2023 kuna watu watakuibukia ndani ya chama chako na uenda ukavaa upinzani mkubwa sana maana utakuwa na mwaka mmoja tu wa kuwa raisi. Hivyo nakuomba ubadilishe aina ya mfumo wa kuendesha nchi. Kinachoendelea ni chuki za wazi juu ya mfumo wako wa kuendesha nchi, hii nchi inahitaji kuungwa upya kutokana na mfumo wa uongozi uliofanya.

5. Muite Lissu unywe nae chai...hapa utaishangaza dunia. Lisu analia Lisu kaumizwa najua fika wewe haukuhusika lakini kumbuka mtoto wa jirani kaumia ndani ya nyumba yako. Na wewe baba mwenye nyumba umekaa kimya ebu onyesha kukemea lakini matokeo yake. Wajomba na baba wadogo wanazidi kutoa maneno ya hovyo kwa majeruhi yaliyompata mtoto wa jirani.
Ukirudi mfukuze Polepole na genge lake hawa hawana jema na wewe.

Nakutakia kampeni njema na ushindi mnono.
NGUMU KUMEZA KWA JIWE
 
Sina uhakika kama huwa unafuatilia wanachokifanya hao watu wako nje ya mipaka ya Tanzania. Fuatilia kwanza kabla hatujapoteza muda mwingi kujadili mambo ambayo yako kwenye public domain!

FYI, mimi ni mpiga kura kama wewe. Tofauti zetu ni kwamba mimi ni muumini wa “Taifa Kwanza” na wewe ni muumini wa “Lissu Kwanza”!

Wewe ni MATAGA muumini wa tumbo lako taifa ni kichaka tu cha kujifichia ili ufaidi vizuri keki ya taifa.
 
Nani ka kwambia kuwa magufuli anaweza sikiliza ushauri wa mtu?

Watu aina Ya magufuli sio rahis Kama unavyofikiria kuwa anaweza kumsikiliza mtu akiwa anamshauri, ila umemshauri vizur Sana, hata Mimi nimeliona hilo kuwa Kama akirudi akaendelea na Yale Yale manyanyaso atategeneza taifa lililopasuka na kugawanyika vipande vipande na kutakuwa na vurugu kubwa miaka Yote mitano ya utawala wake na asitegemee CCM 2025 kushinda tena, kutakuwa na vuguvugu la kufa mtu na Mimi ningekuwa Kama wazee wale akina lukuvi ningeachia mapemaaaa mambo ya siasa ili kupona na kinachoenda kutokea huko mbeleni, yani magufuli hata akishinda kutatokea shida kubwa mno huko mbele, kwenye chama chake, Kwan raia, huko serikalini na kwenye vyama vya siasa anatakiwa ajue kuwa katumbukiza taifa kubaya na vijana ndio wanapikwa na chadema hasa hasa wanakuwa wengi na wakudhubutu na Kwa kuwa sasa wameanza kukataa kuonewa, kuna shida mbele
Mji mdogo wa Katoro Geita bodaboda wazuiwa kufunga bendera za CHADEMA
 
5. Muite Lissu unywe... Lisu analia Lisu kaumizwa najua fika wewe haukuhusika
Huwa nachukia sana mnapojaribu kumfunikafunika eti hahusiki...nani Sasa anahusika?

Alitoa maagizo asubuhi Saa 5, mchana kweupe mbele ya TV Live kuwa Lissu hastahili "kusurvive"....na ndani ya masaa mawili Lissu was fighting for his life, Sasa mnamtetea wa nini jambazi huyu?
 
Vitu vingine havihitaji kubishaniwa sana. October 28 sio mbali; mbivu na mbichi zitajulikana soon. Nakushauri uanze kutafuta visingizio mapema!

Sina haja ya kutafuta visingizio tayari najua Magufuli na CCM yake+ MATAGA wasaka vyeo kama wewe hamuwezi kuachia nchi kwa njia ya makaratasi labda damu imwagike kitu ambacho Watanzania bado hutajafikia labda kule Zanzibar wanaweza kuuwana kwa sababu ya siasa. Cha msingi baada ya uchaguzi mwambieni huyo Magufuli abadilike sisi siyo wa kutuswaga kama ng'ombe zake za Chatto,hasipobadilika watu watafikia kikomo cha mwisho cha uvumilivu hapo itabidi mnywe damu za watu ili kulinda madaraka yenu.

Sikiliza wewe MATAGA na huyo Magufuli wako hakuna uvumilivu kwenye njaa,dhuluma,ubabe na vitisho,hatuwezi kuongizwa kama Mang'ombe wa Usukumani huko.
 
Nani ka kwambia kuwa magufuli anaweza sikiliza ushauri wa mtu?

Watu aina Ya magufuli sio rahis Kama unavyofikiria kuwa anaweza kumsikiliza mtu akiwa anamshauri, ila umemshauri vizur Sana, hata Mimi nimeliona hilo kuwa Kama akirudi akaendelea na Yale Yale manyanyaso atategeneza taifa lililopasuka na kugawanyika vipande vipande na kutakuwa na vurugu kubwa miaka Yote mitano ya utawala wake na asitegemee CCM 2025 kushinda tena, kutakuwa na vuguvugu la kufa mtu na Mimi ningekuwa Kama wazee wale akina lukuvi ningeachia mapemaaaa mambo ya siasa ili kupona na kinachoenda kutokea huko mbeleni, yani magufuli hata akishinda kutatokea shida kubwa mno huko mbele, kwenye chama chake, Kwan raia, huko serikalini na kwenye vyama vya siasa anatakiwa ajue kuwa katumbukiza taifa kubaya na vijana ndio wanapikwa na chadema hasa hasa wanakuwa wengi na wakudhubutu na Kwa kuwa sasa wameanza kukataa kuonewa, kuna shida mbele
Nani ka kwambia kuwa magufuli anaweza sikiliza ushauri wa mtu?

Watu aina Ya magufuli sio rahis Kama unavyofikiria kuwa anaweza kumsikiliza mtu akiwa anamshauri, ila umemshauri vizur Sana, hata Mimi nimeliona hilo kuwa Kama akirudi akaendelea na Yale Yale manyanyaso atategeneza taifa lililopasuka na kugawanyika vipande vipande na kutakuwa na vurugu kubwa miaka Yote mitano ya utawala wake na asitegemee CCM 2025 kushinda tena, kutakuwa na vuguvugu la kufa mtu na Mimi ningekuwa Kama wazee wale akina lukuvi ningeachia mapemaaaa mambo ya siasa ili kupona na kinachoenda kutokea huko mbeleni, yani magufuli hata akishinda kutatokea shida kubwa mno huko mbele, kwenye chama chake, Kwan raia, huko serikalini na kwenye vyama vya siasa anatakiwa ajue kuwa katumbukiza taifa kubaya na vijana ndio wanapikwa na chadema hasa hasa wanakuwa wengi na wakudhubutu na Kwa kuwa sasa wameanza kukataa kuonewa, kuna shida mbele
Jamani mbona tumekubali kushindwa hata kabla ya kura kupigwa? Maana kamanda anaongelea 2025 sasa. Usikate tamaa bado mapema sana.
 
Mkuu umeshauri kama mtanzania wa kawaida kabisa usietaka makuu na yeyote aisee
 
Baikije: hii nchi ni yetu sote hakuna haja ya kutaka kuumizana ama kujione upo juu ya wenzako kisa cheo. Magufuli alipendwa sana tokea akiwa waziri lakini sijui kwanini amekengeuka na kuwa tofauti na kutoa kauli za kuumiza na kukera wenzake. Kakanyaga sana vidole vya Watanzania wenzake kwa amri zake ambazo sio rafiki. Kuna mfumo wa maisha kauleta kila nafsi imejaa hofu. Abadilike huyu Lissu atamsumbua sana tena sana
 
Sina haja ya kutafuta visingizio tayari najua Magufuli na CCM yake+ MATAGA wasaka vyeo kama wewe hamuwezi kuachia nchi kwa njia ya makaratasi labda damu imwagike kitu ambacho Watanzania bado hutajafikia labda kule Zanzibar wanaweza kuuwana kwa sababu ya siasa. Cha msingi baada ya uchaguzi mwambieni huyo Magufuli abadilike sisi siyo wa kutuswaga kama ng'ombe zake za Chatto,hasipobadilika watu watafikia kikomo cha mwisho cha uvumilivu hapo itabidi mnywe damu za watu ili kulinda madaraka yenu.

Sikiliza wewe MATAGA na huyo Magufuli wako hakuna uvumilivu kwenye njaa,dhuluma,ubabe na vitisho,hatuwezi kuongizwa kama Mang'ombe wa Usukumani huko.

No name calling; kama umeishiwa hoja sio lazima uandike kitu. If you cannot afford decency, do not debate me!

Sio kila anayetofautiana na wewe kimtazamo ana maslahi ndani ya CCM. Mimi nimekuwa sio mwanachama wa chama chochote cha siasa tangu mfumo wa vyama vingi ulipoanza. Nimeshakuambia mimi ni muumini wa “Taifa Kwanza”. Bila taifa, hata hiyo siasa unayoifanya haiwezekani!
 
Kama awamu ya Kwanza alikua jeuri na wakat alijua kabisa atakuja kuomba awamu nyingine je awamu ya mwsho unafikiri atajirekebisha?
 
No name calling; kama umeishiwa hoja sio lazima uandike kitu. If you cannot afford decency, do not debate me!

Sio kila anayetofautiana na wewe kimtazamo ana maslahi ndani ya CCM. Mimi nimekuwa sio mwanachama wa chama chochote cha siasa tangu mfumo wa vyama vingi ulipoanza. Nimeshakuambia mimi ni muumini wa “Taifa Kwanza”. Bila taifa, hata hiyo siasa unayoifanya haiwezekani!

Wewe ni MATAGA tu huna hoja zaidi ya kutetea tumbo lako.
 
Hivi mtu anayefanya juhudi za waziwazi kushawishi development partners wasitishe ufadhili wa miradi ya taifa na huduma muhimu kwa jamii hajahujumu taifa? Huu ni mfano mmoja tu wa aina za hujuma wanazofanya hao mnaowaabudu!
Hapo ujue ufadhili huo hauwezi kunufaisha taifa,bali kundi la wahuni fulani
 
Akirudi madarakani huyu waoinzani wataishi kwa tabu kuliko kipindi cha kwanza. Wakati yupo Kigoma alilisema hili kwa wapinzani wa ndani ya chama akakazia kwa wa vyama pinzani.
Huko sio kukomaa kisiasa.Hata hivyo ya Mungu mengi,yeye ni mwanadamu tu km mimi na wewe tu kwa hiyo hamna cha ajabu hapo.Hakuna jipya chini ya jua.
 
Magufuli hawez kushinda atashindwa na lisu, ukitizama watu wanaoenda kumsikiliza lisu wako Tiyari kumpa kura karibu wooote na wwote watapiga kura ukirud kutazama wa magufuli unaona Kabisa kuwa wanalazimishwa na wanatumia nguvu kubwa Sana kukusanya watu, wanatumia nguvu kubwa kulazimisha watu na wanatumia nguvu Ya pesa, rasilimali Ya umma Lakini bado lisu anawapiga, na kila Siku magufuli anazid kuipoteza watu wewe unategemea had tarehe 27 watakuwa wamemkimbia wote na Yule lisu ni mbishi baraaa ila atatangazwa magufuli Halafu kitawaka vibaya mno Na magufuli ataondolewa madarakani Kwa nguvu Ya umma
 
Joyce bhana![emoji23][emoji23][emoji23].....unajua kunifikisha kileleni
 
Back
Top Bottom