Rais Magufuli endapo utarudi madarakani badilika

Sidhani kama kuupenda upinzani maana yake ni kukaa meza moja na Lissu!

Ni vigumu:
[emoji277]Kukaa kwenye kijiwe kimoja na mtu ambaye kila akipata fursa ya kusema kitu ni kukutukana na kukukashifu tu.
[emoji277]Kupanda mtumbwi mmoja na mtu ambaye ana hila za wazi wazi za kutoboa mtumbwi uzame. Maalim, Lissu na Zitto ni watu ambao wameonesha kwa vitendo utayari wao kufanya chochote ili nchi yao ipate tabu, wakiamini shida watakazozipata wananchi zitawanufaisha wao kisiasa.

Sio dhambi kukaa mbali na mwanasiasa narcissist kama Lissu (mtu ambaye kipaumbele chake ni yeye mwenyewe). The correct order of things ni taifa kwanza, Lissu baadaye (sio Lissu kwanza, taifa baadaye)!
Msaada mkubwa katika maisha ya mtu yeyote ni kumfundisha kuwa mtu mzuri kwa kadri itakavyokupendeza. Hii ni bila kujali yeye ni nani na mangapi amefanya.

Anaweza kuwa yule unayemaifia au unayemchukia.

Swali: Utamsaidiaje mtu ambaye huwezi kuwa naye karibu?
 
Sidhani kama kuupenda upinzani maana yake ni kukaa meza moja na Lissu!

Ni vigumu:
[emoji277]Kukaa kwenye kijiwe kimoja na mtu ambaye kila akipata fursa ya kusema kitu ni kukutukana na kukukashifu tu.
[emoji277]Kupanda mtumbwi mmoja na mtu ambaye ana hila za wazi wazi za kutoboa mtumbwi uzame. Maalim, Lissu na Zitto ni watu ambao wameonesha kwa vitendo utayari wao kufanya chochote ili nchi yao ipate tabu, wakiamini shida watakazozipata wananchi zitawanufaisha wao kisiasa.

Sio dhambi kukaa mbali na mwanasiasa narcissist kama Lissu (mtu ambaye kipaumbele chake ni yeye mwenyewe). The correct order of things ni taifa kwanza, Lissu baadaye (sio Lissu kwanza, taifa baadaye)!
Yani kwakweli watu mmeumbwa na ukatiri wa kiwango cha juuu, wewe ni mtanzania? Au ni muhutu? Sisi tunachopinga cha Kwanzaa Kabisa ni kuondoa rais katiri, watu wawe huru, watu wasiuwawe Halafu yafuate mambo ya haki, Halafu ndio Maendeleo, sasa wewe unataka kumtetea katiri? Duniani kote makatiri hawakudumu hata yeye hawez kudumu atatoka tu
 
Hivi wewe una akiri kweliii? Yani mtu anaeuwa watu wake na kuteka na kuwwaacha watoto wa watu Yatima unamtetea? Yani magufuli katiri vile unaweza kuwa na ujasiri wa kumtetea mtu katiri Kama Yule? Yani hata Aibu huna? Magufuli kafanya ukatiri hadharani pasipo kificho uje humu kumtetea kuona kuwa akina lisu ndio wabaya? Au kwakuwa hayajakukuta?

Akiri ni nini? Sijui kama unajua ulichoandika.

The bottom line (and the correct order of things) is: Taifa kwanza, mtu baadaye. Taifa halina sababu ya kuingizwa kwenye shida kwa sababu ya kumkomoa Magufuli. That’s completely unacceptable!

Mimi sipo hapa kujadili speculations na prejudices zako. Mashitaka na ushahidi (wa wazi ulionao) dhidi ya Magufuli vipeleke kunakohusika (The Hague). Magufuli atafanya utetezi wake huko.
 
Hatutaki kuokoa taifa tukaacha mtu anapotea, hilo taifa ataishi bibi yako? Taifa bila watu uliona wapi kenge wewe? Umesikia wapi kuwa taifa Lina hama? Hilo taifa pasipo watu ulisikia wapi? Kwan hiyo uokoe nyumba isiungue ili Hali wanaopaswa kuishi humo wanakufa? Una akiri wewe? Yani ndio watu mliofilisika kisiasa kusema kuwa mkimchagua lisu Au zito taifa litachukuliwa si lichukuliwe tu tutahama nalo tukaishi huko ulaya wote? Si watubebe tu Au watatushusha wapi wakalibebe hilo? Watabebea nini hili taifa? Wataliweka kwenye usafiri upi? Na sisi watatupakia kwenye kitu gani haya majitu Sijui ndio Yale mashamba Ya kabila lile alilosema lisu
 
Yani kwakweli watu mmeumbwa na ukatiri wa kiwango cha juuu, wewe ni mtanzania? Au ni muhutu? Sisi tunachopinga cha Kwanzaa Kabisa ni kuondoa rais katiri, watu wawe huru, watu wasiuwawe Halafu yafuate mambo ya haki, Halafu ndio Maendeleo, sasa wewe unataka kumtetea katiri? Duniani kote makatiri hawakudumu hata yeye hawez kudumu atatoka tu

Ukiweza kumuondoa Magufuli, muondowe hata leo, lakini usifanye hivyo kwa kumsababishia matatizo mtu ambaye unajitia unamsaidia. Yapo mataifa mengi yameumizwa kwa kuamini kwamba kiongozi ndiye anayeumizwa. That’s nonsense. Anaumiaje? The Castros in Cuba have outlasted so many US Presidents despite embargoes put in place more than 50 years ago!

Kunisaidia kwa kuniumiza sio aina ya kunisaidia inayokubalika!
 
Hiyo point ya tano nadhani ni point muhimu sana sisi wote ni watanzania mwisho wa siku tunatakiwa tuijenge nchi yetu
 
Hatutaki kuokoa taifa tukaacha mtu anapotea, hilo taifa ataishi bibi yako? Taifa bila watu uliona wapi kenge wewe? Umesikia wapi kuwa taifa Lina hama? Hilo taifa pasipo watu ulisikia wapi? Kwan hiyo uokoe nyumba isiungue ili Hali wanaopaswa kuishi humo wanakufa? Una akiri wewe? Yani ndio watu mliofilisika kisiasa kusema kuwa mkimchagua lisu Au zito taifa litachukuliwa si lichukuliwe tu tutahama nalo tukaishi huko ulaya wote? Si watubebe tu Au watatushusha wapi wakalibebe hilo? Watabebea nini hili taifa? Wataliweka kwenye usafiri upi? Na sisi watatupakia kwenye kitu gani haya majitu Sijui ndio Yale mashamba Ya kabila lile alilosema lisu

I have zero tolerance for indecency. Kama una hoja, toa hoja. Kama matusi ndiyo hoja zako nenda kwenye kijiwe cha Lissu!

Kama unaweza kumtoa Magufuli mtoe hata leo, lakini fanya hivyo bila kulitia taifa kwenye shida!
 
Akiri ni nini? Sijui kama unajua ulichoandika.

The bottom line (and the correct order of things) is: Taifa kwanza, mtu baadaye. Taifa halina sababu ya kuingizwa kwenye shida kwa sababu ya kumkomoa Magufuli. That’s completely unacceptable!

Mimi sipo hapa kujadili speculations na prejudices zako. Mashitaka na ushahidi (wa wazi ulionao) dhidi ya Magufuli vipeleke kunakohusika (The Hague). Magufuli atafanya utetezi wake huko.

Tulia wewe MATAGA,mpendwa wako Magufuli anapigwa spana huko yaani aamini kinachotokea maana mlimuaminisha uchaguzi utakuwa mwepesi sana. Kilichobaki sasa ni kuiba kura tu.

Aliyetoa ushsuri ametoa ushsuri mzuri sana lakini huyo Magufuli anayeshauriwa akili zake ni kama zako. Tunajua ataiba kura na miaka mitano ijayo hali zetu kiuchumi zitakuwa mbaya zaidi,ukandamizaji wa hali za binadamu utaongezeka zaidi,sekta binafsi itaungua kabisa maana alishaiua hii miaka mitano iliyopita.

Mkuu wewe shangilia tu maana unapata maslahi lakini kumbuka ndugu zako wanateseka huku mtaani,hata kupata mlo mmoja ni shida sijui hiyo nchi kwanza ni nchi gani ambayo RAIA wake wanateseka!!!
 
I have nothing to gain personally, if Magufuli wins. So, go vote him out, if you can, but please do no harm to our beloved country!

Upendo huo wa kutaka kumuumiza unayempenda (ukiamini anayeumia ni yule unayedhani anamtesa unayempenda) siutaki na sidhani kama kuna mwananchi anautaka. Hiyo ni approach ya Pwagu!
 
Ila wapo wanaoomba asibadilike ili iwe njia ya kubomoka kwa CCM mradi tu asing'ang'anie kuendelea kubaki.
 
Yote ni sahihi, yote yanawezekana na kwa nia njema.

Siyo wote watafurahia haya yafanyike hasa waliozoea kumpotosha kmna kumsifia. Lakini sasa hali halisi anajionea mwenyewe.

Jambo moja tu ambalo kwake ni ngumu kutimiza na endapo atafanikiwa hata Malaika watamsifu, ni kuupenda upinzani na kukaa meza moja na TL.
Na akifanikiwa kufanya hivyo basi atakuwa amepiga hatua kubwa sana ktk kurudisha Upendo,Ndivyo Mungu anavyotaka.
 
Yote ni sahihi, yote yanawezekana na kwa nia njema.

Siyo wote watafurahia haya yafanyike hasa waliozoea kumpotosha kmna kumsifia. Lakini sasa hali halisi anajionea mwenyewe.

Jambo moja tu ambalo kwake ni ngumu kutimiza na endapo atafanikiwa hata Malaika watamsifu, ni kuupenda upinzani na kukaa meza moja na TL.
Si kweli kwamba kuna watu wanampotosha, yeye mwenyewe ana tabia ya ujuaji na ubishi
 
Back
Top Bottom