hapana, anazo ila za kijinga.Wewe huna akili.
hapana, anazo ila za kijinga.Wewe huna akili.
Huyu bado ni mtawala wa UD? Daaaaah! Ni VC wa maisha au kuna nini?Rwekeza Mkandara naye anaanza kunena
TCU huingilia hata mfumo na kuwapanga wanafunzi. Ndo maana hata form 4 waliingia St Joseph na kuanza kusoma digrii wakati wa Mchome na mwenzake Mugasa. Walihongwa pesa na wakapanga wanafunzi kwenye mshiko.Kwa anayeijua vizuri system ya TCU , ni kwamba wao hawakuchagulii chuo , mwanafunzi anachagua mwemyewe kulingana na vigezo kama cut off points , courses na nafasi zilizopo. Wao wanakupa info tu wewe unachangua na unapewa mda wa kubadili mpaka majibu ya mwisho yatakapo toka .. Hapa tumedanganywa
Tujitathmini??? Labda tume huru na katiba mpya basi ila kma wapiga kura tunao wengi tu ndio maana ccm mmepungua toka 86% mpaka 57% mwaka juzi!!!
Mnashangilia bajeti hewa???? Hivi unajia miradi mingapi imelala?? Hvi hujui bajeti hewa itachelewesha zile million 50 mlizoahidi kila kijiji??? Afu unashangilia then tukija kuwakosoa mnasema ssi wapiga dili ??
Ok nmekuelewa hoja yako ilipo na naheshimu mawazo yako ila naomba usitoke nje ya reli na wee unijibu haya yafuatayo maana jibu lako limeleta maswal mengi kuliko majibuKumekucha zitto junior upokee jibu la utata wako kuhusu bajeti hewa ukiandika Mnashangilia bajeti hewa???? Hivi unajua miradi mingapi imelala??:
Wewe ni Mtanzania na unajua nchi imekuwa uhuru zaidi ya miaka 50. Wewe ni shahidi kwamba moja ya mambo makuu yanayokwamisha maendeleo ni matumizi ya fedha za maendeleo kwa shughuli tofauti. Hili linabainishwa katika ripoti za kila mwaka za CAG na wananchi ni mashuhuda.
Kinachofanyika katika awamu hii ya utawala wa nchi hii, chini ya Rais Magufuli, ni kurudisha nidhamu ya kazi, uwajibikaji na uadilifu kwa Watendaji wote kabla ya kuaminika kupewa fedha ya maendeleo.
Mimi naamini Hazina ina fedha, siyo nyingi, lakini za kukidhi mahitaji yote kulingana na bajeti. Kutokana na hoja yangu hapo juu, wakati bado wa kuwaamini hao watendaji. Bado kuna watumishi hewa, watumishi wenye sifa hewa na watumishi wenye vyeti hewa. Mwisho wa siku ni maamuzi na utekelezaji hewa. Km ni hivi karibuni pesa za elimu bure zimesabibisha baadhi ya shule kuandikisha wanafunzi hewa.
Siyo tu fedha za maendeleo zilizotelewa pungufu na Hazina, hata fedha za matumizi ya kawaida pia zimetolewa pungufu, km za vikao vya Kamati za Bunge, CAG kufanya ukaguzi, nk. Lakini shughuli za Serikali hazikusimama wala kuteteleka. Maana yake ni kwamba makadirio ya bajeti ya matumizi ya kawaida zimekuwa zikilenga ulaji tu.
Hata hizo 50m/- za kila kijiji zingetolewa hakuna cha maendeleo ambacho kingefanyika na badala yake kubebesha lawama Watawala (Serikali)
HERI LAWAMA KULIKO FEDHEHA ni msemo unaoujua vizuri maana yake.
Kama haya hayatoshi, waheshimiwa wabunge wetu wanafikisha bungeni 'hoja hewa' wakilazimisha zijadiliwe badala ya bajeti.
NAMBA YA KWENDA TANZANIA MPYA TUTAENDELEA KUISOMA.
PASAKA NJEMA
Mmhwewe mjinga mabweni mengi kuliko yote yaliyoko udsm unaona sio jambo la kitaifa.
huko waliko dodoma wapo kwenye kikao cha chadema tu.ndio jambo muhimu kwenu
ee?
HawapewiAisee inasikitisha kama kweli wanapewa mwaliko na hawafiki kwenye haya matukio huo ni udhaifu mkubwa sana
Siasa tu zimewajaa.. Wanapenda tu jinsi watu wanavowapigia makofiKwa anayeijua vizuri system ya TCU , ni kwamba wao hawakuchagulii chuo , mwanafunzi anachagua mwemyewe kulingana na vigezo kama cut off points , courses na nafasi zilizopo. Wao wanakupa info tu wewe unachangua na unapewa mda wa kubadili mpaka majibu ya mwisho yatakapo toka .. Hapa tumedanganywa
Mkuu , nibachikema ni kuwa tcu haijaanzishwa kuwachagualia wanafunzi vyuo, bali wanaweka vigezo vya chini ambavyo kila muombaji anatakiwa awe navyo eg cut-off point,Mkuu sasa unambishia Magu! Magu kasema hivi " Tufikie mahali, TCU iwe mdhibiti lakini watoto wawe na haki ya kuchagua vyuo wanavyovitaka, kuna vyuo vinalazimisha kupata wanafunzi kwa sababu wanapokea mkopo, muwaache wanafunzi wachague vyuo wanavyovitaka, vyuo visivyochaguliwa vife. Nina uhakika mkiwaacha, chuo cha Dar, UDOM, SUA na vyuo vingine vyenye qualification vitapata wanafunzi wengi" Magu mwenyewe kasema hapo kuwa TCU inachagulia watu vyuo hii kwangu ni utaratibu wa hovyo sana watu waachwe wasome vyuo watakavyo na vyuo ndo viamue vinataka watu wa aina gani. By the way hata hilo la uthibiti ubora TCU wamefeli sana tena sana! In fact TCU ilibidi ifumuliwe kabisaaa na ianze upya kabisa! Issue ya kuzuia mtu asipate vyuo viwili ni issue ndogo sana ni software tu inafanya hiyo kazi na infact excel hivyo sioni haja ya TCU kudai eti inazuiaga watu kupata vyuo zaidi ya kimoja as if hiyo ni kazi kubwa saaaaaana.
"Watanzania tukiamua tunaweza.kama mimi nilivyoamua kufungua ubalozi wa israel, sasa watalii wanafika na tunaingiza mahela.sio watanzania waende kutembea kule,na wao waje kwenye ardhi takatifu ilipoanzia dunia.kwenye red hapo ndo natafakari alichomaanisha.
Mimi c nwongo nakuambia kazi ya tcu di kuchagua wanachuo balivkusimamia wanachuo wekanaochaguliwa wawe na sifa zisizopungua kiwango cha chin cha tcu, kwa sasa vyuo ndiyo uchagua wanafunzi na kuwatumia tcu.Acha uongo, lazima uchague vyuo vitano kisha utapata kimoja kati ya hivyo, sasa waboreshe mtu awe na uwezo wa kuchagua chuo kimoja tu au viwili basi! Kikawaida haiwezekani mtu kupenda vyuo vitano kwa pamoja, so vingine huwa vinajazwa tu kujaza nafasi na kozi
Kama mabweni na namna ya upangaji wa vitanda pale UDM.Kama ipi?
Tulia wewe staff wa TCU kwataarifa yako huo uchafu unatakiwa kufumuliwaMimi c nwongo nakuambia kazi ya tcu di kuchagua wanachuo balivkusimamia wanachuo wekanaochaguliwa wawe na sifa zisizopungua kiwango cha chin cha tcu, kwa sasa vyuo ndiyo uchagua wanafunzi na kuwatumia tcu.
Ilo la kujaza vyuo vitano ni kweli kuokaba na uhaba wa nafas vyuoni/Competition ya wanafunzi (zamani walijaza vyuo 8).
Na nyuma zaid mwanafunzi aliomba kwenye chuokwa kilipa ada ya maombi.20000 kwa kila chuo, hii ilipelekea mtu mmoja kuchaguliwa vyuo zaid ya kimoja nfiyo wakaanzisha tcu kama msimamizi wa vyuo vikuu. Kwa hiyo kazi ya tcu ni kusimamia tu