Kero kwani umelazimishwa kumuangalia? Stesheni za tv si ziko nyingi tu.Vitu vingine bwana hadi mabweni anazindua rais,kuna vitu vingine ni vya kufanywa na mawaziri pekee.sasa kama kila kitu anzindua rais mawaziri watakuwa na kazi gani?
Kila siku unaonekana kwenye television khaaaa hii sasa kero.
Rais unatakiwa uadimike kidogo kama shilling,siku watu wakikuona unaongea wapate shauku ya kukuona na kujua naongelea nini??