Rais Magufuli azindua Hostel UDSM; TCU dhibiti lakini Wanafunzi wawe na haki ya kuchagua vyuo

Kwa anayeijua vizuri system ya TCU , ni kwamba wao hawakuchagulii chuo , mwanafunzi anachagua mwemyewe kulingana na vigezo kama cut off points , courses na nafasi zilizopo. Wao wanakupa info tu wewe unachangua na unapewa mda wa kubadili mpaka majibu ya mwisho yatakapo toka .. Hapa tumedanganywa
 
MAGU is the best president ever...watu wasio na hoja hujadili personalities na sio utendaji.
 
Kwa anayeijua vizuri system ya TCU , ni kwamba wao hawakuchagulii chuo , mwanafunzi anachagua mwemyewe kulingana na vigezo kama cut off points , courses na nafasi zilizopo. Wao wanakupa info tu wewe unachangua na unapewa mda wa kubadili mpaka majibu ya mwisho yatakapo toka .. Hapa tumedanganywa
TCU huingilia hata mfumo na kuwapanga wanafunzi. Ndo maana hata form 4 waliingia St Joseph na kuanza kusoma digrii wakati wa Mchome na mwenzake Mugasa. Walihongwa pesa na wakapanga wanafunzi kwenye mshiko.
 
Tujitathmini??? Labda tume huru na katiba mpya basi ila kma wapiga kura tunao wengi tu ndio maana ccm mmepungua toka 86% mpaka 57% mwaka juzi!!!
Mnashangilia bajeti hewa???? Hivi unajia miradi mingapi imelala?? Hvi hujui bajeti hewa itachelewesha zile million 50 mlizoahidi kila kijiji??? Afu unashangilia then tukija kuwakosoa mnasema ssi wapiga dili ??

Kumekucha zitto junior upokee jibu la utata wako kuhusu bajeti hewa ukiandika Mnashangilia bajeti hewa???? Hivi unajua miradi mingapi imelala??:

Wewe ni Mtanzania na unajua nchi imekuwa uhuru zaidi ya miaka 50. Wewe ni shahidi kwamba moja ya mambo makuu yanayokwamisha maendeleo ni matumizi ya fedha za maendeleo kwa shughuli tofauti. Hili linabainishwa katika ripoti za kila mwaka za CAG na wananchi ni mashuhuda.

Kinachofanyika katika awamu hii ya utawala wa nchi hii, chini ya Rais Magufuli, ni kurudisha nidhamu ya kazi, uwajibikaji na uadilifu kwa Watendaji wote kabla ya kuaminika kupewa fedha ya maendeleo.

Mimi naamini Hazina ina fedha, siyo nyingi, lakini za kukidhi mahitaji yote kulingana na bajeti. Kutokana na hoja yangu hapo juu, wakati bado wa kuwaamini hao watendaji. Bado kuna watumishi hewa, watumishi wenye sifa hewa na watumishi wenye vyeti hewa. Mwisho wa siku ni maamuzi na utekelezaji hewa. Km ni hivi karibuni pesa za elimu bure zimesabibisha baadhi ya shule kuandikisha wanafunzi hewa.

Siyo tu fedha za maendeleo zilizotelewa pungufu na Hazina, hata fedha za matumizi ya kawaida pia zimetolewa pungufu, km za vikao vya Kamati za Bunge, CAG kufanya ukaguzi, nk. Lakini shughuli za Serikali hazikusimama wala kuteteleka. Maana yake ni kwamba makadirio ya bajeti ya matumizi ya kawaida zimekuwa zikilenga ulaji tu.

Hata hizo 50m/- za kila kijiji zingetolewa hakuna cha maendeleo ambacho kingefanyika na badala yake kubebesha lawama Watawala (Serikali)

HERI LAWAMA KULIKO FEDHEHA ni msemo unaoujua vizuri maana yake.

Kama haya hayatoshi, waheshimiwa wabunge wetu wanafikisha bungeni 'hoja hewa' wakilazimisha zijadiliwe badala ya bajeti.

NAMBA YA KWENDA TANZANIA MPYA TUTAENDELEA KUISOMA.

PASAKA NJEMA
 
Ok nmekuelewa hoja yako ilipo na naheshimu mawazo yako ila naomba usitoke nje ya reli na wee unijibu haya yafuatayo maana jibu lako limeleta maswal mengi kuliko majibu

1. Unasema kuwa kwa miaka 50 bajeti imekuwa hewa kwa kuwa matumizi ya pesa yanapelekwa kwenye shughuli nyingine ssa ndio swali linakuja kma magufuli alilijua hili ni kwanni alipandisha bajeti from trillion 22 hadi kufikia trillion 29???? Does it make sense kuwa unajua kabisa trillion 22 haitekelezeki maana pesa huwa zinaenda kwa matumizi tofauti then instead ya kusolve tatizo wwe unaongeza bajeti??? Kuna logic gani hapa naomba unisaidie

2. Unasema shida ni matumizi mengine??? Hivi kuna miradi mingapi au pesa ngapi magufuli kamwaga ambazo hazikupitishwa na bunge kwenye bajeti??? Unaweza niambia ujenzi wa airport chato ulupitishwa na kikao gani cha bajeti(if at all kiliidhinishwa na bunge!! ), je huoni hata magufuli pia kachangia kwenye kusababisa bajeti hewa maana amekuwa anafanya miradi kibao nje ya bajeti iliodhinishwa na bunge??? Sasa unamtoaje kwenye mess hii na kuanza kusingizia watumishi hewa!!!???

3.mkuu pia unasema eti bajeti ya matumizi ya kawaida ilikuwa pungufu ila kazi za serikali hazikutetereka!!! Are u sure??? Hivi unajua bajeti ya CAG ilikuwa almost bilion 80 ikafyekwa hadi bilion 40 na baada ya CAG kupiga kelele kuwa watashindwa kutekeleza majukumu yao ndio wakaongezewa hadi bilion 60!!!!! Sasa huoni hapo shughuli zilikwama???

Pia cha kuchekesha magufuli alipunguza bajeti ya CAG wakati bajeti ya serikali kuu imeongezwa ssa kma tu mtu analia ukata kwenye bajeti ya trilion 22 sembuse trillion 29??? ssa badala ya kumuongezea maana bajeti imeongezeka magu akapunguza ssa hapo bado utasema ni ulaji??? R we serious???

Embu tuanzie hapa kwanza tuwekane sawa
 
Naona kuna dalili ya Kubenea na Mnyika kupoteza majimbo hayo uchaguzi mkuu ujao hawawezi kuendeleza malumbano na serikali badala kuwatumikia wapiga kura wao.
 
Zungu ni mbunge wa chama gani? Na lengo la kuteuliwa Makonda kuwa mkuu wa mkoa na nduguye Hapi ni kuhakikisha upinzani unatoweka Dar. So, usishangae mialiko ikawa kiitikadi zaidi. Rejea uzinduzi wa mradi wa umeme kinyerezi na jinsi meya wa jiji alivyotengwa na kutotambulishwa!
Kama msivyotaka kuambiwa ukweli basi na wabunge hao hawapo tayari kusimangwa mbele ya waliowaamini.
Mleta hoja na lumumbans mkaje kivingine kwani janja ya nyani kula hindi bichi tulishaijua kabla ndo maana mlijifariji kwa kuwaulizia eti waombe chochote mtawapa as if watavifaidi na familia zao.
 
Kwa anayeijua vizuri system ya TCU , ni kwamba wao hawakuchagulii chuo , mwanafunzi anachagua mwemyewe kulingana na vigezo kama cut off points , courses na nafasi zilizopo. Wao wanakupa info tu wewe unachangua na unapewa mda wa kubadili mpaka majibu ya mwisho yatakapo toka .. Hapa tumedanganywa
Siasa tu zimewajaa.. Wanapenda tu jinsi watu wanavowapigia makofi
 
wanafunzi wachagua wenyewe chuo ni nzuri ila wapo ambao hawana points yet wanataka hivyo vyuo inakuaje
? wanaenda au system inamkatalia direct
 
Mkuu sasa unambishia Magu! Magu kasema hivi " Tufikie mahali, TCU iwe mdhibiti lakini watoto wawe na haki ya kuchagua vyuo wanavyovitaka, kuna vyuo vinalazimisha kupata wanafunzi kwa sababu wanapokea mkopo, muwaache wanafunzi wachague vyuo wanavyovitaka, vyuo visivyochaguliwa vife. Nina uhakika mkiwaacha, chuo cha Dar, UDOM, SUA na vyuo vingine vyenye qualification vitapata wanafunzi wengi" Magu mwenyewe kasema hapo kuwa TCU inachagulia watu vyuo hii kwangu ni utaratibu wa hovyo sana watu waachwe wasome vyuo watakavyo na vyuo ndo viamue vinataka watu wa aina gani. By the way hata hilo la uthibiti ubora TCU wamefeli sana tena sana! In fact TCU ilibidi ifumuliwe kabisaaa na ianze upya kabisa! Issue ya kuzuia mtu asipate vyuo viwili ni issue ndogo sana ni software tu inafanya hiyo kazi na infact excel hivyo sioni haja ya TCU kudai eti inazuiaga watu kupata vyuo zaidi ya kimoja as if hiyo ni kazi kubwa saaaaaana.
Mkuu , nibachikema ni kuwa tcu haijaanzishwa kuwachagualia wanafunzi vyuo, bali wanaweka vigezo vya chini ambavyo kila muombaji anatakiwa awe navyo eg cut-off point,
But chuo kinaweza kuweza zaid ya tcu. Kwa hiyo tcu ni msimamizi wa vyuo vikuu. Mfano tcu wanaweza kuotaji D mbili kwenda chuo kikuu but chuo kikaitaji uwe na minimum of 2 B angali kozi za muhas udsm .
Tatu, kutokana na ufinyu wa nafas tcu wanakupa option ya kuchagus kozichuo ukipendacho kutokana na competition watu wakikosa wanailaum tcu wakati tcu ni msimamizi tu
 
"Watanzania tukiamua tunaweza.kama mimi nilivyoamua kufungua ubalozi wa israel, sasa watalii wanafika na tunaingiza mahela.sio watanzania waende kutembea kule,na wao waje kwenye ardhi takatifu ilipoanzia dunia.kwenye red hapo ndo natafakari alichomaanisha.

Mkuu, alinaabisha binadam wa kwanza ni zinjathropaz ndiyo binadam wa kwanza jama adith zetu za shuleni na vyuon, alafu tukienda msikitin/kabisan tunaambiwa ni adam,
Hii imepelekea sis kuongoza kwa unafiki dunian, chukulia una mtoto anakuuliza binadamu wa kwanza dunia ni nani, uramjibuje ikiwa mzazu wake ni mchungaji/shehe na ni mwalimu wa historia
 
Acha uongo, lazima uchague vyuo vitano kisha utapata kimoja kati ya hivyo, sasa waboreshe mtu awe na uwezo wa kuchagua chuo kimoja tu au viwili basi! Kikawaida haiwezekani mtu kupenda vyuo vitano kwa pamoja, so vingine huwa vinajazwa tu kujaza nafasi na kozi
Mimi c nwongo nakuambia kazi ya tcu di kuchagua wanachuo balivkusimamia wanachuo wekanaochaguliwa wawe na sifa zisizopungua kiwango cha chin cha tcu, kwa sasa vyuo ndiyo uchagua wanafunzi na kuwatumia tcu.
Ilo la kujaza vyuo vitano ni kweli kuokaba na uhaba wa nafas vyuoni/Competition ya wanafunzi (zamani walijaza vyuo 8).
Na nyuma zaid mwanafunzi aliomba kwenye chuokwa kilipa ada ya maombi.20000 kwa kila chuo, hii ilipelekea mtu mmoja kuchaguliwa vyuo zaid ya kimoja nfiyo wakaanzisha tcu kama msimamizi wa vyuo vikuu. Kwa hiyo kazi ya tcu ni kusimamia tu
 
Muslim University of Morogoro jipangeni kubooresha digrii zenu hapo, vinginevyo msitafute lawama kwenye mwamvuli wa dini.
 
Mimi c nwongo nakuambia kazi ya tcu di kuchagua wanachuo balivkusimamia wanachuo wekanaochaguliwa wawe na sifa zisizopungua kiwango cha chin cha tcu, kwa sasa vyuo ndiyo uchagua wanafunzi na kuwatumia tcu.
Ilo la kujaza vyuo vitano ni kweli kuokaba na uhaba wa nafas vyuoni/Competition ya wanafunzi (zamani walijaza vyuo 8).
Na nyuma zaid mwanafunzi aliomba kwenye chuokwa kilipa ada ya maombi.20000 kwa kila chuo, hii ilipelekea mtu mmoja kuchaguliwa vyuo zaid ya kimoja nfiyo wakaanzisha tcu kama msimamizi wa vyuo vikuu. Kwa hiyo kazi ya tcu ni kusimamia tu
Tulia wewe staff wa TCU kwataarifa yako huo uchafu unatakiwa kufumuliwa
 
Hongereni akina Kubenea, mimi hata nikisikia anakuja kwangu nitamkwepa. Gazeti likiandika habari zake silinunui, nikimuona ktk tv nabadili chanel. Nchi imekuwa shubiri kwa raia wengi kwa ajili yake.
 
Back
Top Bottom