GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,662
- 128,092
Akikaribishwa tena kutoa neno lake kama tu Kiongozi Rais JPM amesema kifuatacho ambacho nakinuu na naamini hata tuliokuwa na bado tunaangalia mubashara mmemsikia msije mkasema Mimi nimezuka tu kama ambavyo Wapuuzi fulani hukurupuka na kusema hivyo.
Namnukuu...." Mimi sina la kusema kwani nilitegemea hawa niliowateua ndiyo waseme mengi kwani Mitandao yetu hii ya hovyo jana ilisema kuwa amekataa uteuzi wangu na kwamba hatokuja kuapishwa hivyo nilikuwa nangojea tu asitokee ili niamini ".
Naomba kuwaulizeni hivi JamiiForums nayo siyo moja ya Mitandao? Je kama Mitandao imeitwa ni ya hovyo hivi na Watumiaji wake nao wataitwaje?
Hata hivyo nilichogundua leo ni kwamba kumbe hata Kiongozi wetu huyu na yeye ni msomaji na mfuatiliaji mzuri mno wa hii Mitandao ya hovyo ukiachilia mbali kukipenda na kukifuatilia Kipindi kilichovamiwa na Mpendwa wake cha SHILAWADU.
Nawasilisha.