Rais Magufuli azidi kuiandama mitandao ya kijamii

Rais Magufuli azidi kuiandama mitandao ya kijamii

Bora hata kipindi kile alivyokuwa ananukuu idadi ya samaki au umbali wa barabara alikuwa anavutia.

Hahahaaaa!!!!
Umenichekesha sana ndugu
huna nia nzuri na mbavu zangu..
Asante kwa kweli..
 
Mitandao ya hovyo halafu unashinda humu!! Hebu acha unafiki DU! Ya Bashite mbona huyasemi!? Kuna siri ipi nzito kati yenu mpaka umlinde kama lulu!?
 
Asinipangie cha kuandika maana cm nilikwenda mwenyewe kununua sikwenda na mtu
 
...tena bado hajaona "full potential" ya social media (kama ni ya ovyo ovyo au vipi). Tusubiri kidogo ndugu zetu huko vijijini wauze uze hivyo hivyo kwa shida hizo korosho zao alafu na wao wabadili zile tochi zao wanunue simu zenye usokitabu...

Hatari sana kwa kiongozi wa caliber yake kwenye dunia hii ya leo kutokujua umuhimu wa social media, kuona eti social media eti ni ya ovyo ovyo...

Alafu unauliza eti mbona habari za mtu fulani mlisema hamtaandika mbona bado za kumtukana zinaandikwa. Hee... Inamaana hakuelewa wanahabari walikuwa wanamaanisha kwamba hawataandika habari zake akiwa ana parade kama rc... kuna ugumu gani kuelewa hilo? Khaaa, unasoma mitandao na hauelewi? What do you expect?
 
Media imefanya kazi sikuamini leo kama itakuwa hivo keep on going
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ...... Mkuu ndiyo maana huwa naipenda JF na nawapenda mno Members wa JF kwa kuwa ni Watu wenye AKILI kubwa na zilizotukuka kabisa.

Mkuu nimeipenda hiyo. Kwahiyo Mkuu ndiyo kusema kumbe hata Mimi ninayetiririka sasa hivi katika Mtandao huu ni wa hovyo? Vipi kuhusu zile taarifa za Serikalini ambazo nyingi hutolewa kupitia Mitandao mbalimbali ya Kijamii je na wale wanaoziweka nao huwa ni wa hovyo? Na je inamaana kumbe hata zile taarifa zao nazo huwa ni za hovyo?

Twende tu kwa mwendo huu ila ipo siku Watumiaji wa hii Mitandao tutakuja kumjua nani ni wa hovyo. Ni suala la muda tu!
Sisi ni wa hovyo, muandishi ni wa hovyo, Baruza zao ni za hovyo, wasomaji wake ni wa hovyo, watoa barua ni wa hovyo...hahhahahaha Ijumaa Kareem
 
Rais anakemea magazeti kuchapisha picha ya mtu anaydaiwa kuwa ni askali kutoa silaha mbele za watu na kumtishia Nape badala ya kukemea kile kilichofanywa na yule askari.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Hivi kuna ubaya gani kuelezea migogoro ya wafugaji au anataka kituo cha kutangazia kikawekwe magogoni kum cover kila afanyacho. Huko ni kujua kwingi.....kila kitu anataka kumpangia mtu.... Namwonea huruma sana Ayubu Ryoba anavyofanya kazi kwa kubanwa
 
ha ha ha impact inaonekana hadi mkuu anatoa povu hivyo teh teh
 
Back
Top Bottom