Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 724
sawa mmm ni kweli uwaziri ni Mzuri yaani mtu hawezi kuzira kuaibishwa kote kule, naona hawajazoea kukaa njee ya vyeo.
sawa mmm ni kweli uwaziri ni Mzuri yaani mtu hawezi kuzira kuaibishwa kote kule, naona hawajazoea kukaa njee ya vyeo.
Kwenye mtandao umeliona Hilo Tu la mwakiembe ??? La Bashite hujaliona ?Akiongea leo wakati anaapisha wateule wapya Ikulu. Amesema mitandao yetu ni ya ovyoovyo na inaandika mambo ya ajabu ajabu.
"Jana nimesoma kwenye mitandao ya kijamii kuwa eti Mwakyembe hawezi kuja kuapishwa, na mimi nilikuwa nasubiri asifike nione. ''Sasa si huyu hapa amefika"
Well said...kumbe na yeye anafuata ya hovyo mbona hakwenda kwenye website ya world bank, au UN au AU kaja kwenye mitandao ya hovyo ukiona hivyo ujue .........stand up for your right
tehe tehe teheMbona bado ndo kwanza kumekucha
..tutampeleka na kumuongoza KIMTANDAO MTANDAO japo anasema ni ya hovyo..!!Akiongea leo wakati anaapisha wateule wapya Ikulu. Amesema mitandao yetu ni ya ovyoovyo na inaandika mambo ya ajabu ajabu.
"Jana nimesoma kwenye mitandao ya kijamii kuwa eti Mwakyembe hawezi kuja kuapishwa, na mimi nilikuwa nasubiri asifike nione. ''Sasa si huyu hapa amefika"
Asiije akatupa nguo MUNGU tunusuru.huyu jamaa nina wasiwasi kuna siku anaweza kusema kitu cha ajabu tukaaibika nchi nzima!
aupate mara ngapiAsipoangalia hii mitandao itampa ugonjwa wa moyo
Sikiliza mantiki iko hapa, amesikia toka kwenye mitandao ya hovyo, kwahio mtu hovyo anasikiliza mitandao ya hovyo, saafi kabisa. Hata mimi ni wa hovyo nasikiliza hotuba ya hovyo toka kwa mtu wa ho..
Hahahaha! Mjiandae kupambana na jeshitehe tehe tehe
tuna mpango mzito wa kuvunja mapenzi yao
tehe tehe tehe anachosha kweliNimeipenda hii. Ameshanichosha mie
Yani anakera kila kitu anaongea..kina mkapa sijui wapo wapi wamfunge kamba mana anaanza kupiga hadi madokta..wampe dawa zake ameze asituchoshe