Nani amegharimia hizo kadi. Kama ni yeye binafsi hakuna neno kwani naye ana mapenzi yake na chochombo chochote cha habari lakini kama ni kadi zimechapwa kwa pesa zetu wananchi ndio hapo tunapata shida kwani atakuwa anavuruga dhana yake ya kubana matumizi
Thibitisha....!Media zote zimepewa kadi mbona mnadakia msilolijua kupongeza sio shuruti ni hiari
I wish iwe hivyo,lakini utupe chanzo cha kuaminika kudhihirisha hivyo.....Sijui kama huo mwandiko kwenye kadi ni wake yeye binafsi ama lah..Kama ni wake basi inamaana alihitaji kufanya hivyo kwa vituo vya redio pekee zaidi ya 125 hapa nchini..(kwa logic ya ''zote'') ili usionekane ''uspesho'' wowote kwa CMG..Hapo hatujagusia magazeti,majarida, na vituo vya televisheni..Media zote zimepewa kadi mbona mnadakia msilolijua kupongeza sio shuruti ni hiari
Dhambi gani, ya uoga!?Tanzania tuna hasara kubwa,
Dhambi tuliyoichagua itakula vizazi na vizazi,msema kweli ni .........!
Ni kweli kabsa....Clouds siku zote hufanya kazi ya UHURU na MZALENDO Ndio maana mkuu anaipenda.
...Hebu niulize ka swali kangu ka kizushi;
Nimejiuliza kwanini Rais akuwatakia vyombo vyote vya habari?
Je,Hii hawezi kuwafanya media nyingine kuwa na kinyongo?
Au ni kweli Mhe.Rais clouds ndio radio/Tv yake pendwa tanzania?
uhuru na uzalendo kuliko TBC?Clouds siku zote hufanya kazi ya UHURU na MZALENDO Ndio maana mkuu anaipenda.
Sidhani kama ni mambo ya KIKANDA. Pengine vipindi vya Cloud VINAMBAMBA na ametuma salamu kama SHABIKI na si kama Rais.Wamiliki wake wanatoka kanda ya ziwa.
Una hulka ya Kikabila wewe siyo bure. Kanda ya Ziwa TV yetu pendwa ni Star TV.Wamiliki wake wanatoka kanda ya ziwa.
Usidanganye watuMbona lugha zimechanganywa hapo,,,,? au naona vibaya""""?